lifeofmshaba
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 867
- 219
eti zitto ana uhakika wa kuishi kumbe kelele zote ni kutafuta uhakika wa kuishi!!!!
kama wao wanaona ubunge ni mzito kwa nini wanatoa rushwa kuwa wabunge?
mbona wafanyakazi kima cha chini ni 15000 yeye milioni 2 hazitoshi