CHADEMA Jibuni Hoja hii...!!

Ma CCM yote yanawaza siasa na porojo hata utaalam wanaweka nyuma .Vituko tu mara sms ya mchumba wa Slaa mara futa usemi au lete ushahidi ili mradi tu .
 
ukipandisha kima cha chini kwa kiwango hicho si inabidi pia kupandisha kima cha kati na kima ch juu kama vipo? wachumi watufanyie mchanganuo. kwa wale ambao mishahara yao ni mamillioni kadhaa itakuwaje? sio mnatoa majibu ya kishabiki hapa,
 
huyu hawa gasia ni kilaza kama bosi wake,hiyo bajeti ya mshahara ni ya ccm. walisema wanalipa t.3 wakasema kwa vile ukilipa laki tatu ni asilimia mia mbili ya laki na tano wanayolipa kwa hiyo wakazidisha hiyo laki 3*asilimia 200=9000000000.akili ya kimagamba.cdm walisema unaongeza kima cha chini tu. wao wakaongeza mpaka mtu anayelipwa milioni 3 akawa na milioni 9.akili ya kuambiwa changanya na zako.
mkuu hapo umechemsha, huwezi kuongeza mshahara kima cha chni tu wengine ukawaacha, elimu , na uzoefu pia utakuwa hauna tija katika kupanga mishahara. kwa mfano kwa sas mtu mwenye degree mshahara wake unaanzia 340,000/= mpaka 404000/=. huoni kwamba ukiongeza kima cha chini peke yake mfanyakzi wa darasa la saba na yule mwenye degree watalingana kimslahi, so elimu haina dili kwa muona wako.....
 
Ukweli unaujua kwamba CCM ni janga la taifa, hoja yako haina msingi wowote ni kutaka kupoteza muda kubishana petty issues, hoja ngapi za msingi mnazikimbia! Jibuni hoja nyingine zote pia! Ikiwemo kwanini tuna mgao wa umeme miaia 50 baada ya uhuru!
 
Back
Top Bottom