Recent content by kiben10

  1. kiben10

    Alloyce Nyanda ateuliwa kuwa Afisa Habari wa ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE

    Mtangazaji nguli wa medani za Siasa Ndg Aloyce Nyanda ameteuliwa kuwa msemaji wa Chama cha ADC kuanzia leo ambapo uteuzi wake umeanza leo baanda ya Mwenyekiti wa Chama hicho cha Siansa MH. SHAABAN HAJI ITITU kumteua na Ndg ALLOYCE NYANDA, ameomba suala hilo la yeye kukubali ama kukukataa...
  2. kiben10

    Aliyewahi fanya interview TANROADS weighbridge officer naombeni msaada nijiandae wapi?

    Jamani na mimi pia nipo najiandaa na Interview hiyo hiyo ha Tanroads please usisahau kushare kwangu pia ingawa me ninayo Connection ila lazima pia nijiandae kiasi
  3. kiben10

    Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

    Why ulimpatia yote kwa muda mchache ivo? Or ndio tuseme ulidanganyika na ndoa? Basi Sawa karibu kwangu me Sina mke na niko tayari kukuoa
  4. kiben10

    Umeshawahi kumuheshimu mlinzi wa eneo lako la kazi?

    Mwanamke mmoja aliyekuwa anaitwa Nancy alikuwa anafanya kazi kwenye kiwanda cha kusambaza na kusaga nyama. Siku moja, baada ya kumaliza ratiba yake ya kazi, aliingia kwenye chumba cha baridi (friji) cha nyama ili kukagua kitu, lakini kwa bahati mbaya, mlango ulijifunga na akakwama ndani bila...
  5. kiben10

    Unadhani ni nini kilikufanya ukaacha kuendelea kusex na mpenzi wako?

    Alex anaingia duka la dawa kununua kondomu. Mfamasia anamwambia kwamba kondomu zinazopatikana zipo kwenye pakiti kuanzia tatu, tisa, au kumi na mbili, na kumuuliza ni zipi anazotaka. Alex anajibu, "Vizuri," anasema, "Ujue nimekuwa na mwanamke huyu kwa muda mrefu na ni pisi kweli kweli. Sasa leo...
  6. kiben10

    Ahmadi aingia kituo cha Polisi kutafuta kazi!

    Polisi anataka kumuuliza maswali kadhaa ili kujua uwezo wake. Polisi: Ni nini 2+2? Ahmad: Ummm... 4 Polisi: Nitajie square root ya 100? Ahmad: Ni 10 Polisi: Sawa umepatia yote, sasa, nani alimuua Kinjekitile? Ahmad: Kwa kweli sijui. Polisi: Vizuri, sasa unaweza kwenda nyumbani na...
  7. kiben10

    TRUE STORY [emoji3064][emoji119]

    Miaka 10 iliyopita nikiwa napitia kipindi Cha balehe, niliambiwa punyeto haina madhara, na niliingia Google kusearch faida za Punyeto tu.... Gues What!!!? Sikutafuta madhara ya kupiga punyeto kwasababu nilijua kama ningezifahamu basi ingenilazimu kuacha kupiga punyeto! What a life? [emoji2]...
  8. kiben10

    Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

    Tayari yuko mikononi mwa POLISI anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Manyara, pichani akiwa ofisi za RCO - Manyara. Kamanda wa polisi Manyara, GEORGE KATABANZI amegoma kutoa maelezo ya ziada ya kwanini anashikiliwa, amesisitiza ni taratibu za upelelezi. Taarifa nyingine ni kwamba...
  9. kiben10

    Mnyama Vs Asec naona dalili za kupoteza hii game kwa 75%

    Kuelekea Simba day tiketi za Platinum ziliisha ndani ya siku moja, wiki moja kabla ya tukio. Simba SC ilitangaza tiketi zote zimeisha siku (2) kabla ya Mchezo. Kuelekea African Football League tiketi za Platinum ziliisha ndani ya siku moja, wiki moja kabla ya tukio. Michezo ya mwisho ya Simba...
  10. kiben10

    Makosa katika pesa...!!!

    [emoji383]MONEY MISTAKE 1 Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake. [emoji383]MONEY MISTAKE 2 Usitumie pesa ambayo bado haipo mikononi mwako. Wala usije ukamuahidi mtu kumpa pesa ambayo...
  11. kiben10

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Me nawapendea tu kwenye katerero
  12. kiben10

    Maumivu wakati wa kumwaga Mbegu Je, Shida ni nini?

    Eti WanaJF kuna kijana mwenzangu hapa anapata maumivu wakati wa kumaliza kuSex na Demu wake anasema anapofika Mshindo zile shahawa zikiwa zinapita katika mshipa huwa anahisi kama zinamuunguza. Sasa shida inaweza kuwa nini? Maana hii imekuwa inamtokea mara kwa mara na huwa akimeza AZUMA tu...
  13. kiben10

    Baba mwenye nyumba huyu ni katili sana, Tanesco naomba muingilie kati jambo hili

    Kuna Mchepuko wangu amepanga Chumba Master, Sebule na Jiko analipa 150k Luku anajitegemea ameishi hapo ni miezi 11 sasa. Sasa hiyo Luku ndio ambayo ameanzia Maisha na aliwekewa Taarifu 0 Umeme wa 10k alikuwa anapata Units 70+ nadhani wengi wenu mnajua huu mfumo wa Tanesco kwa hizo Taarifu...
  14. kiben10

    Mama mwenye nyumba kanunua friji matumizi ya umeme yameongezeka anataka niongeze pesa ya umeme. Ni sawa hii?

    Kuwa Tanesco tu brother kakate Umeme Kwa Beki3 na Banda la Kuku then Lipa makodi yao ndio atajua au hajui
  15. kiben10

    Mama mwenye nyumba kanunua friji matumizi ya umeme yameongezeka anataka niongeze pesa ya umeme. Ni sawa hii?

    Daaah hapa nahisi kesho asbh asbh nagongewa na M/Kiti wa mtaa kunipa Notice
Back
Top Bottom