Unadhani ni nini kilikufanya ukaacha kuendelea kusex na mpenzi wako?

kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
616
789
Alex anaingia duka la dawa kununua kondomu. Mfamasia anamwambia kwamba kondomu zinazopatikana zipo kwenye pakiti kuanzia tatu, tisa, au kumi na mbili, na kumuuliza ni zipi anazotaka.

Alex anajibu, "Vizuri," anasema, "Ujue nimekuwa na mwanamke huyu kwa muda mrefu na ni pisi kweli kweli. Sasa leo nahitaji kondomu kwa sababu leo usiku ndio siku yenyewe, kwanza tunakwenda kula chakula na wazazi wake kisha tunatoka wote. Mara tu tukitoka kwa wazazi wake, nataka nipige nataka niutumie usiku mzima kupiga shoo hivyo ni bora unipe hizo zinazo kaa kumi na mbili kwenye pakiti."

Alex alinunua na kuondoka.

Baadaye usiku akiwa amekaribishwa kupata chakula cha usiku na wazazi wa mpenzi wake, anaingia na kukaa mezani na mpenzi wake na wazazi wake.

Alex anauliza kama anaweza kuombea chakula na Baba wa mpenzi wake, wote wanakubari kuwa Alex aombee chakula.

Ananza sala lakini anaendelea kuomba kwa dakika nyingi zaidi. Mpenzi wake anamuinamia na kusema,"Mbona hukuwahi kuniambia kama wewe ni mtu wa dini sana."

Alex anamgeukia mpenzi wake na kumwambia, "Mbona wewe hukuniambia kama baba yako ni mfamasia."

Mwisho
 
FB_IMG_17038407095095753.jpg
 
emoji41.png
Story uchwala, BAO 12 umekua JINI wewe? ata mtumia Vumbi hafiki,,,,,,Nyie ndomnawaaminishi mademu wa mtandaoni matangopori Mwisho wasiku Wengine tunaonekana hatupigi show
 
Back
Top Bottom