Maumivu wakati wa kumwaga Mbegu Je, Shida ni nini?

kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
616
789
Eti WanaJF kuna kijana mwenzangu hapa anapata maumivu wakati wa kumaliza kuSex na Demu wake anasema anapofika Mshindo zile shahawa zikiwa zinapita katika mshipa huwa anahisi kama zinamuunguza. Sasa shida inaweza kuwa nini?

Maana hii imekuwa inamtokea mara kwa mara na huwa akimeza AZUMA tu tatizo linaisha ila akirudia tena kusex na huyo demu wake matatizo yanarudi.

Sema nini pia huyu ndugu yangu naye huwa anaokota okota sana videnti vya pale RIVER. Tumshauri jamani maana ameshaanza kutokwa na ukurutu matakoni.
 
mkapime wote na mpate matibabu wote full stop na kam unataka usipone endelea kutumia dawa wew na huyo mwenza wake asitumie nakuambia utendelea kuumwa hivo hivo.....Be serious mkuu Afya ni mtaji mkubwa sanaaa
 
Hilo ni GONO

Na limekua sugu, na ukimeza hizo dawa lina poa tu lakini ukigusa mwanamke hata kama ana UTI au infections yoyote linakua activated

Nenda hospitali unaweza kupata utasa
 
Back
Top Bottom