kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 616
- 789
Polisi anataka kumuuliza maswali kadhaa ili kujua uwezo wake.
Polisi: Ni nini 2+2?
Ahmad: Ummm... 4
Polisi: Nitajie square root ya 100?
Ahmad: Ni 10
Polisi: Sawa umepatia yote, sasa, nani alimuua Kinjekitile?
Ahmad: Kwa kweli sijui.
Polisi: Vizuri, sasa unaweza kwenda nyumbani na kufikiria kisha urudi kesho.
Ahmad anaenda nyumbani na kumpigia simu rafiki yake, ambaye anamuuliza kama amepata kazi.
Ahmad anasema kwa shauku sana, "Sio tu kwamba nimepata kazi, lakini tayari nimepewa kesi ya mauaji ni shughulike nayo."
Mwisho