Baba mwenye nyumba huyu ni katili sana, Tanesco naomba muingilie kati jambo hili

kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
616
789
Kuna Mchepuko wangu amepanga Chumba Master, Sebule na Jiko analipa 150k Luku anajitegemea ameishi hapo ni miezi 11 sasa. Sasa hiyo Luku ndio ambayo ameanzia Maisha na aliwekewa Taarifu 0 Umeme wa 10k alikuwa anapata Units 70+ nadhani wengi wenu mnajua huu mfumo wa Tanesco kwa hizo Taarifu.

Sasa yapita week mbili alikuwa amepatwa na Msiba wa Mjomba wake huko Tanga akamuelewa mtoto wa jirani yake amlindie kwa kulala kwake.

Sasa cha ajabu alikuwa ameacha Units 34, cha kustaabu Baba mwenye nyumba nae kumbe kwenye nyumba Kubwa pia aliweka hiyo Taarifu pia ila akaanza na tamaa kuanza kuweka Duka la vyakula na fridge kwa ajiri ya kuuza vinywaji sasa aliponunua umeme amekuta ametolewa kwenye hiyo Taarifu na Tanesco sasa Mpangaji wake alipoona hayupo akaamua kumuita Fundi Umeme kuja kubalisha Luku ya Mpangaji wake bila yeye kuwepo ila alimpa taarifa kuwa kuna shoti inatokea kwenye nguzo so anamuita Fundi kwa ajiri ya kurekebisha ndipo yule Fundi anang'oa Luku ya Mpangaji wake na kuipeleka Home kwake na ile ya kwake akamuwekea Mpangaji ambayo Taarifu umefutwa na akamnunulia umeme Units 10 tu.

Sasa jamaa anarudi anacheck umeme anakuta units zimekata haraka kuuliza akaambiwa Luku yako ilikuwa na tatizo sasa Tanesco wameamua kuibadilisha. Hii kistaarabu imekaaje? Jamaa anaweza kwenda kustaki Tanesco or amuachie tu /MMungu?
 
Nje ya mada, huyo "jamaa" ndo mchepuko wako? 🤔
Kuna Mchepuko wangu amepanga Chumba Master, Sebule na Jiko analipa 150k Luku anajitegemea ameishi hapo ni miezi 11 sasa. Sasa hiyo Luku ndio ambayo ameanzia Maisha na aliwekewa Taarifu 0 Umeme wa 10k alikuwa anapata Units 70+ nadhani wengi wenu mnajua huu mfumo wa Tanesco kwa hizo Taarifu. Sasa yapita week mbili alikuwa amepatwa na Msiba wa Mjomba wake huko Tanga akamuelewa mtoto wa jirani yake amlindie kwa kulala kwake...Sasa cha ajabu alikuwa ameacha Units 34, cha kustaabu Baba mwenye nyumba nae kumbe kwenye nyumba Kubwa pia aliweka hiyo Taarifu pia ila akaanza na tamaa kuanza kuweka Duka la vyakula na fridge kwa ajiri ya kuuza vinywaji sasa aliponunua umeme amekuta ametolewa kwenye hiyo Taarifu na Tanesco sasa Mpangaji wake alipoona hayupo akaamua kumuita Fundi Umeme kuja kubalisha Luku ya Mpangaji wake bila yeye kuwepo ila alimpa taarifa kuwa kuna shoti inatokea kwenye nguzo so anamuita Fundi kwa ajiri ya kurekebisha ndipo yule Fundi anang'oa Luku ya Mpangaji wake na kuipeleka Home kwake na ile ya kwake akamuwekea Mpangaji ambayo Taarifu umefutwa na akamnunulia umeme Units 10 tu. Sasa jamaa anarudi anacheck umeme anakuta units zimekata haraka kuuliza akaambiwa Luku yako ilikuwa na tatizo sasa Tanesco wameamua kuibadilisha....Hii kistaarabu imekaaje??? Jamaa anaweza kwenda kustaki Tanesco or amuachie tu /MMungu???
 
Kwahiyo we kibenten mchepuko wako ni jamaa?
 
Sasa jamaa anarudi anacheck umeme anakuta units zimekata haraka kuuliza akaambiwa Luku yako ilikuwa na tatizo sasa Tanesco wameamua kuibadilisha.

Pole dada yangu mwambie huyo mchepuko apeleke malalamiko yake TANESCO kwani huyo mwenye nyumba ana kosa hili

Kumleta kishoka kuja kubadilisha mita ya TANESCO kinyume cha sheria. Mita ya umeme ya TANESCO inabadilishwa na mafundi wao na si vinginevyo. .
 
Kwanza lazima ujue kwamba imebadilishwa kiuhalali au kiuwizi, mana mita ya Tanesco Huwa haiami mana Kuna coordinate za point husika. Pili anaweza kuchukua namba ya mita akaangalia matumizi,
 
Huyo baba mwenye nyumba kaleta/kaonesha tamaa.
Watoto wa Mjini wanamsemo "ataliwa Kiboga".
 
Kuna Mchepuko wangu amepanga Chumba Master, Sebule na Jiko analipa 150k Luku anajitegemea ameishi hapo ni miezi 11 sasa. Sasa hiyo Luku ndio ambayo ameanzia Maisha na aliwekewa Taarifu 0 Umeme wa 10k alikuwa anapata Units 70+ nadhani wengi wenu mnajua huu mfumo wa Tanesco kwa hizo Taarifu. Sasa yapita week mbili alikuwa amepatwa na Msiba wa Mjomba wake huko Tanga akamuelewa mtoto wa jirani yake amlindie kwa kulala kwake...Sasa cha ajabu alikuwa ameacha Units 34, cha kustaabu Baba mwenye nyumba nae kumbe kwenye nyumba Kubwa pia aliweka hiyo Taarifu pia ila akaanza na tamaa kuanza kuweka Duka la vyakula na fridge kwa ajiri ya kuuza vinywaji sasa aliponunua umeme amekuta ametolewa kwenye hiyo Taarifu na Tanesco sasa Mpangaji wake alipoona hayupo akaamua kumuita Fundi Umeme kuja kubalisha Luku ya Mpangaji wake bila yeye kuwepo ila alimpa taarifa kuwa kuna shoti inatokea kwenye nguzo so anamuita Fundi kwa ajiri ya kurekebisha ndipo yule Fundi anang'oa Luku ya Mpangaji wake na kuipeleka Home kwake na ile ya kwake akamuwekea Mpangaji ambayo Taarifu umefutwa na akamnunulia umeme Units 10 tu. Sasa jamaa anarudi anacheck umeme anakuta units zimekata haraka kuuliza akaambiwa Luku yako ilikuwa na tatizo sasa Tanesco wameamua kuibadilisha....Hii kistaarabu imekaaje??? Jamaa anaweza kwenda kustaki Tanesco or amuachie tu /MMungu???
Jieleze vizuri vinginevyo utafungwa, ni kosa la jinai kung'oa mita ya Tanesco, kama kuna tatizo wajulishe Tanesco waje warekebishe, wewe umeng'oa na kuzibadili umiliki bila idhini ya Tanesco kisha unawaita Tanesco waje kukukamata! Unahitaji maombezi.
 
Kuna Mchepuko wangu amepanga Chumba Master, Sebule na Jiko analipa 150k Luku anajitegemea ameishi hapo ni miezi 11 sasa. Sasa hiyo Luku ndio ambayo ameanzia Maisha na aliwekewa Taarifu 0 Umeme wa 10k alikuwa anapata Units 70+ nadhani wengi wenu mnajua huu mfumo wa Tanesco kwa hizo Taarifu. Sasa yapita week mbili alikuwa amepatwa na Msiba wa Mjomba wake huko Tanga akamuelewa mtoto wa jirani yake amlindie kwa kulala kwake...Sasa cha ajabu alikuwa ameacha Units 34, cha kustaabu Baba mwenye nyumba nae kumbe kwenye nyumba Kubwa pia aliweka hiyo Taarifu pia ila akaanza na tamaa kuanza kuweka Duka la vyakula na fridge kwa ajiri ya kuuza vinywaji sasa aliponunua umeme amekuta ametolewa kwenye hiyo Taarifu na Tanesco sasa Mpangaji wake alipoona hayupo akaamua kumuita Fundi Umeme kuja kubalisha Luku ya Mpangaji wake bila yeye kuwepo ila alimpa taarifa kuwa kuna shoti inatokea kwenye nguzo so anamuita Fundi kwa ajiri ya kurekebisha ndipo yule Fundi anang'oa Luku ya Mpangaji wake na kuipeleka Home kwake na ile ya kwake akamuwekea Mpangaji ambayo Taarifu umefutwa na akamnunulia umeme Units 10 tu. Sasa jamaa anarudi anacheck umeme anakuta units zimekata haraka kuuliza akaambiwa Luku yako ilikuwa na tatizo sasa Tanesco wameamua kuibadilisha....Hii kistaarabu imekaaje??? Jamaa anaweza kwenda kustaki Tanesco or amuachie tu /MMungu???
Si uhame tu nyumba zipo nyingi tu
 
Back
Top Bottom