Recent content by kibanzi

  1. kibanzi

    Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

    acha wivu huo utahangaika sana dunia hii kama ndio maradhi uliyo nayo hayo
  2. kibanzi

    Oneni huyu mzungu anavyoichafua Tanzania.Hii ni email aliyomwandikia mwenzake

    jamani sio siri pale airport ni noma kweli na aibu tupu sio kweli Wizi wa airport ni airline wa kulaumiwa ni police dahako na wafanyakazi wengine
  3. kibanzi

    Waraka wasambazwa kuitafuna CCM 2010, kanisa Katoliki laukana

    kweli hilo feki alilete hapa tusemenalo maana hizi habari bwana
  4. kibanzi

    Vodacom mobile partner---ni mimi tu au?

    ila jamaani hizi customer care za mitandao zote ni booom sana hawajui kitu uzushi mtupu wanachojua wao ni washa simu yako na uzime basi kazi kubana pua zao tu ukiongea nao wamekaliaa kutongozwa kwa mademu na mamen kuuza sura tu hawana lolote.
  5. kibanzi

    TUHUMA za nyumba ya Gavana wa BOT na majibu yake

    ahh haya mambo bwana kuna mchangiaji mmoja eti tusubiri mpaka bot wajibu ha ahahah tumeshazoea usanii huuu hayo mambo ni ya kweli ila sisi wa tz tumezoea mpaka tatizo limekuwa la kweli ndio tunaanza kuamini na inakuwa tayari late hatuwezi tena kukatua problem inabakia kwenda mahakamani na...
  6. kibanzi

    Cuf ikishinda 2010, znz kuwa peponi tena!

    duhh kweli wa TZ tumekweisha na tunajiangamiza wenyewe na hatutofika kokote kule.
  7. kibanzi

    Hivi kama JK ngalichukua uongozi baada ya Mwinyi tungelikuwa wapi leo hii?

    achani kuongelea ki ushabiki , eti mwinyi kaipeleka nchi pabaya mmesahu kuwa watu wote wa tz tulikuwa tuvaa nguo za aina moja , ilikuwa issue kubwa mtu akimiliki TV unaonekana kama umetoka mbinguni amekuja mwinyi kila kitu kimekuwa hamna shida ya watu kuhangaika na mahitaji kama hayo kwa hiyo...
  8. kibanzi

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    kweli kabis kuna mambo mengi sana ya kuanga sasa sio kuanza mambo ya kidini hapa kila mtu ana dini yake na aheshimu dini ya mwenzake sio masula ya kuitana mashetani na nguruwe sisi ni wote wa tz BR
  9. kibanzi

    Greetings to all jamii Forum

    Kak karibu sana kwenye game
  10. kibanzi

    Udini wa kutisha UDOM!

    kama hao viongozi ni radicals muslims hicho chuo hakiwezi kwenda kokote kwani uislam na shule za kidhungu ni vitu viwili tofauti (refer Nigerian moslem "Teleban, Alqaida"), hao jamaa walishatamka kabisa kuwa elimu hiyo si sahihi kwa waislamu, lakini kama ni waislamu wa majina chuo kitafiaka...
  11. kibanzi

    Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

    jamaani kwani Manji kuwe po pale kuna ubaya gani ? amekwenda kwenye Tv show tu kwani huko Ulaya na marekani tunako iga sisi hamna watu mashuhuri kama kina manji ? jamaani tuache mambo yetu hayo ya kuona kila kitu chetu kibaya tubadilike na tuungane mokono.:o
  12. kibanzi

    Muungano: Kuna nini ndani ya Hotuba za Marehemu rais Abeid Aman Karume?

    Naona wadau wengi mmetoa maoni yenu ila ukweli wanaujua hao ambao wemeficha hizo hutuba na kwakweli sio hutuba tu hata historia ya ukweli ya znz haiko wazi kila mmoja anasema kivyake wao walitutesa na wengine wanasema kuwa wao walitupindua na kututumbukiza kwenye visima basi ni mkanganyiko tu wa...
  13. kibanzi

    Mganga toka nigeria - mafuta toka congo

    Hayo yote uliyo ongea ni sawa , ila kuna haya: Kuna wakati Fulani Kwenye kona ya kutokea uwanja wa Ndege wa JK nyerere kulikuwa na tangazo la Huduma ya Internet pale toka Kampuni ya Vodacom , kulikuwa na picha inayoonyesha ukurasa wa HI5.COM wakati kuna tovuti nyingi sana nchini sijui kama...
  14. kibanzi

    Madereva wa mikoani wasitisha mgomo wao!

    Miaka 30 jamani sio mchezo serikali lazima ifikirie mara mbili kwani tatizo pia lipo kwenye barabara zenyewe zina bamps kibao kila siku gari ina pita ina regeza sana nut na bolt za gari zenyewe. mimi nafikiri hao madereva kogoma sio solutions ya kuwa mwenzao kutoka warudi na wakaae na serikali...
Back
Top Bottom