Oneni huyu mzungu anavyoichafua Tanzania.Hii ni email aliyomwandikia mwenzake

what is your source? (Hii habari ya zamani kidogo!)

Join Date: Wed Dec 2009
Posts: 1
Thanks: 1
Thanked 0 Times in 0 Post

Hii habari nilishawahi kuisoma hapa JF miezi kadhaa iliyopitavipi imekuwa thread mpya tena?
 
kama ni kweli,safi sana...............hivi anajua ni kiasi gani babu yake alichukua kwa chifu Mangungo???
 
Katika nchi ambayo Rushwa ni kitu cha kawaida,alichosema ni kweli angalia unapokuja kagari kako ulikonunua £1000 UK halafu wanakucharge sh. Ngapi kwanza wanakavalue ghari sana kuliko pesa uliyonunulia hata kama una udhibitisha, halafu ndio wanaply kodi zao unajikuta umelipa £ 3000 kama kodi, mfumo mzima unatokana na Rushwa na kutowajibika, ukionga kidogo wanakupunguzia thamani ya gari
 
MY NIGHTMARE IN TANZANIA

From: Ray Bergen

To: Lisana Koliskowski

Hello Lisa

I am glad to be back in America after such a disastrous trip to Tanzania . The most important thing was getting back home safely and seeing my family. The only thing I can assure you is that, I will never set my foot in that country, and will advice anybody planning to visit Tanzania to refrain from doing so. The nightmare started at the airport, when my luggage checked in from Amsterdam disappeared mysteriously in Dar es Salaam . And my inquiry with the airport authorities was forwarded to the police. At the police station (Central) I was told that I could not get help unless I bribe them $500, because they needed the money for fuel and other necessary needs to investigate the theft.Supposedly the police officer did not open the case and turned me to be the criminal, constantly coming to my Hotel room, asking me for money. In short all my four year work was lost with the laptop at the Airport.
Came clearing the vehicle we were supposed to use in the research, from the agents to the customs authorities, the vehicle exceeded the actual cost. I would have paid $38,000 for a $16,000 vehicle. I could not bear being in such a corrupt country and decided to terminate my research, and left the vehicle uncleared after one month of struggle with the customs, who needed money after money and bogus letters. Supposedly these exuberant fees were not supposed to be there in the first place, because all registered NGO’s are supposed to be exempted from paying these taxes and fees, but then the deal had been cooked to rip Muzungu off. Being a Muzungu is being a cash cow in Tanzania . They don’t even fucken know that we are trying to help them. I pity the African continent and her people, I am glad they did not confuse me with Albino.

Please advise any potential traveler to Tanzania to look for alternative country to visit, and if possible pass the message to the State Department as a warning to other Americans intending to visit this poor and corrupt country. I visited Botswana with my family in 2006. I tell you, could not be more satisfied with their politeness and straightforwardness, the same was in
Mozambique where we received utmost hospitality.

Please, be careful and only travel to Tanzania when there is need and not to visit and do not carry any valuable. As soon as you arrive, register with the American Embassy.

Sincerely,

Ray Bergen.
Mkuu Derick, wewe ndie Lisa?! Kama sio, how did u get the email?! aliamua kutuma copy kwako?! If so, what was it for?Kama lengo ilikuwa ni kuwa-alert his fellow americans, ilikuwaje atume copy kwako?!Hivi, ngoja kwanza!!! Ina maana mdhungu akishaibiwa tu pale airport issue yake inapelekwa directly Central Police?! Si kuna kituo cha police pale?! Sasa ilikuwaje issue ya bwana mkubwa ray iende moja kwa moja central?! Acheni masihara!!! Huyu jamaa anavyoongea ni kama anamaanisha TZ kwa wizi huwezi kulinganisha na popote pale duniani; hii si kweli- ni upuuzi mtupu!!! Hata huko kwao kuna wezi wa kutisha tena kuliko hapa. Nilikutana na dada mmoja Mholanzi, nae alilizwa pale airport!!! Nilipomuuliza endapo atathubutu kuja tena TZ, akajibu kila mahalai kuna wizi.....na huo ndo ukweli! Tatizo la bwana mkubwa Ray, alizani yeye na udhungu wake basi atanyenyekewa, kiasi kwamba angeweza hata kumpa mtu mizigo yake ampelekee hata hotelini wakati yeye yupo hapo airport kv yeye ni mzungu!!! pyuuu, ukizubaa lazima uibiwe-popote uendapo whether africa, america europe or even mideact!!! Ebo! eti polisi hawakufungua kesi( au jalada?) na badala yake wakamfanya mwalifu kwa kila wakati kwenda hotelini alikofikia na kumuomba hongo!!!! huu ni upuuzi!!Eti miaka yake 4 yote ikapotea na Laptop pale airport!!!!!!!! Anataka kutuambia kwamba kazi zake alizofana kwa miaka hiyo 4 zote alizihifadhi humo kwenye laptop sio?! kama ndivyo, basi ***** na sakala na ndio maana aliibiwa!!! mtu mwerevu hawezi kuhifadhi kazi muhimu in ONLY ONE storage media!!! Hata wakati nipo chuo sikuthubutu kuhifadhi kazi zangu kwenye media moja, je huyu aliye mtaalamu?!!!Bwana Mkubwa Ray anadai alitakiwa kulipa $38,000 kwa gari yenye thamani ya $ 16,000 !!!!!! huu ni uongo mwingine!!! kama alifanya udanganyifu alitarajia nini? Hivi mtu anayekuja kufanya utafiti Africa atakuja na gari ya thamani ya $ 16,000?! si Toyota Mark II hiyo?! was he serious?! Na kama alijufahamu in advance kwamba registered NGOs zinakuwa exempted na taxes, so kwanini hakuenda kulalamika kwa vyombo vya juu kama kweli alihisi alikuwa na hiyo haki?! Eti "they don't even fucken know we're trying to help them" Eti alikuja kufanya research ya kutusaidia wenyewe, mpumbavu sana huyu mzungu!!! hiyo research aliyotaka kufanya ni reseach gani ambayo watafiti wengine hawajafanya?! Kwanza maelezo yake ni full kujichanganya, yeyey si keshapaki virago na kurudi kwao?! sasa kwanini asiende yeye kuriport huko State Department ili iwazuie waamerika kuja TZ kama anazani atakuta wapumbavu kama yeye wa kum-support upuuzi wake?! Na kwanini asisitize waamerica watafute shehemu zingine za ku-visit badala ya TZ?! Yeye alikuja hapa kufanya research au kufanya visit?!! Nishamshtukia huyu jamaa, hakuna cha research wala nini!!! yeye alikuja kutembea kwa kisingizio cha kufanya research kwa kile alichoamini mkoko wake utapita bure pale bandarini na badala ya reseach yake ya uongo angeiuza hiyo gari!!! shenzi taipu, bravo TRA Officials!!!Upuuzi wake mwingine unajionesha pale kwa mara ya kwanza anapomuambia swahiba wake Lisa eti alishawahi ku-visit Botswana na Msumbuji, alikuwa wapi siku zote hizo asimuambie hadi amuambie sasa?! Au urafiki wao umeanza juzi!!!!?? Na anachefua zaidi anaposema anashukuru hakufananishwa na Albinos!!!! Hoja ni pale pale kwamba alizani Wa-TZ washamba sana kwa wazungu hadi wakati mwingine hatujui albino yupi, mzungu yupi!!! Aende mbele na upuuzi wake, akiwa fara kila siku ataibiwa, sio tu TZ bali popote anapoenda!!!! Aende South Africa na uzungu uzungu wake akaone!!!
 
Tusiukimbie ukweli kuhusu nchi yetu. Si kila Mzungu anaweza kuandika au kusema Kiingereza kizuri. Si mnakumbuka Kichaka alivyokua anabofoa alipokuwa Gavana na hatimaye Rais? Sasa hivi walio nje hawathubutu hata kutuma kitu chochote kwa ndugu zao, jamaa au marafiki kwa njia ya posta kutokana na wizi uliokithiri. Na hayo ya kuingiza gari na kuchajiwa ushuru mkubwa kuliko thamani ya gari ni ya kweli kabisa. Pia sioni kama kuna umuhimu wa kudai nchi yetu ina afadhali ukilinganisha na nchi fulani. Wakuu wa vyombo husika hawajali kabisa hali hii ya kusikitisha sana na hili limesababisha hali hii ya kutisha kuendelea kuwepo miaka nenda miaka rudi. Nchi yetu inahitaji mabadiliko makubwa sana lakini bahati mbaya sasa hivi kuna wasanii ambao nao wameamua kujiita ni viongozi na si ajabu wakaendelea kuwepo hadi 2015 wakati huo hali ndiyo itakuwa ya kutisha zaidi.
 
Mkuu Derick, wewe ndie Lisa?! Kama sio, how did u get the email?! aliamua kutuma copy kwako?! If so, what was it for?Kama lengo ilikuwa ni kuwa-alert his fellow americans, ilikuwaje atume copy kwako?!Hivi, ngoja kwanza!!! Ina maana mdhungu akishaibiwa tu pale airport issue yake inapelekwa directly Central Police?! Si kuna kituo cha police pale?! Sasa ilikuwaje issue ya bwana mkubwa ray iende moja kwa moja central?! Acheni masihara!!! Huyu jamaa anavyoongea ni kama anamaanisha TZ kwa wizi huwezi kulinganisha na popote pale duniani; hii si kweli- ni upuuzi mtupu!!! Hata huko kwao kuna wezi wa kutisha tena kuliko hapa. Nilikutana na dada mmoja Mholanzi, nae alilizwa pale airport!!! Nilipomuuliza endapo atathubutu kuja tena TZ, akajibu kila mahalai kuna wizi.....na huo ndo ukweli! Tatizo la bwana mkubwa Ray, alizani yeye na udhungu wake basi atanyenyekewa, kiasi kwamba angeweza hata kumpa mtu mizigo yake ampelekee hata hotelini wakati yeye yupo hapo airport kv yeye ni mzungu!!! pyuuu, ukizubaa lazima uibiwe-popote uendapo whether africa, america europe or even mideact!!! Ebo! eti polisi hawakufungua kesi( au jalada?) na badala yake wakamfanya mwalifu kwa kila wakati kwenda hotelini alikofikia na kumuomba hongo!!!! huu ni upuuzi!!Eti miaka yake 4 yote ikapotea na Laptop pale airport!!!!!!!! Anataka kutuambia kwamba kazi zake alizofana kwa miaka hiyo 4 zote alizihifadhi humo kwenye laptop sio?! kama ndivyo, basi ***** na sakala na ndio maana aliibiwa!!! mtu mwerevu hawezi kuhifadhi kazi muhimu in ONLY ONE storage media!!! Hata wakati nipo chuo sikuthubutu kuhifadhi kazi zangu kwenye media moja, je huyu aliye mtaalamu?!!!Bwana Mkubwa Ray anadai alitakiwa kulipa $38,000 kwa gari yenye thamani ya $ 16,000 !!!!!! huu ni uongo mwingine!!! kama alifanya udanganyifu alitarajia nini? Hivi mtu anayekuja kufanya utafiti Africa atakuja na gari ya thamani ya $ 16,000?! si Toyota Mark II hiyo?! was he serious?! Na kama alijufahamu in advance kwamba registered NGOs zinakuwa exempted na taxes, so kwanini hakuenda kulalamika kwa vyombo vya juu kama kweli alihisi alikuwa na hiyo haki?! Eti "they don't even fucken know we're trying to help them" Eti alikuja kufanya research ya kutusaidia wenyewe, mpumbavu sana huyu mzungu!!! hiyo research aliyotaka kufanya ni reseach gani ambayo watafiti wengine hawajafanya?! Kwanza maelezo yake ni full kujichanganya, yeyey si keshapaki virago na kurudi kwao?! sasa kwanini asiende yeye kuriport huko State Department ili iwazuie waamerika kuja TZ kama anazani atakuta wapumbavu kama yeye wa kum-support upuuzi wake?! Na kwanini asisitize waamerica watafute shehemu zingine za ku-visit badala ya TZ?! Yeye alikuja hapa kufanya research au kufanya visit?!! Nishamshtukia huyu jamaa, hakuna cha research wala nini!!! yeye alikuja kutembea kwa kisingizio cha kufanya research kwa kile alichoamini mkoko wake utapita bure pale bandarini na badala ya reseach yake ya uongo angeiuza hiyo gari!!! shenzi taipu, bravo TRA Officials!!!Upuuzi wake mwingine unajionesha pale kwa mara ya kwanza anapomuambia swahiba wake Lisa eti alishawahi ku-visit Botswana na Msumbuji, alikuwa wapi siku zote hizo asimuambie hadi amuambie sasa?! Au urafiki wao umeanza juzi!!!!?? Na anachefua zaidi anaposema anashukuru hakufananishwa na Albinos!!!! Hoja ni pale pale kwamba alizani Wa-TZ washamba sana kwa wazungu hadi wakati mwingine hatujui albino yupi, mzungu yupi!!! Aende mbele na upuuzi wake, akiwa fara kila siku ataibiwa, sio tu TZ bali popote anapoenda!!!! Aende South Africa na uzungu uzungu wake akaone!!!
hili mail lilikuwepo hapa kipindi cha nyuma.lakini nawewe acha jazba na uzalendo haya mambo yapo bongo,halafu hii mail ni spam mail ukiangalia jina la aliyetumiwa utagundua zwarowski,russian,na ni mkenya alietengeneza hii story kuvuruga utalii wetu.adios
 
Hiyo barua ilishawahi kuzunguka tena nadhani humuhumu jamvini... all in all, kuna ukweli hasa ya pale airport lakini hilo la central duh!

Tanzania is corrupt to the extreme, yaani kwa sasa pale airport hata tartibu za kazi hazifuatwi, wanakuuliza tu unatoka wapi, ukijibu nchi wasiyo na interest nayo wanakuachia unapita tu hata hawakagui mizigo, wale porters ni wezi hasa kwa vitu vilivyo kwenze zipu za pembeni

siamini hiyo barua lakini RUshwa inatumaliza
 
Wala mzungu wa watu hajakosea...imagine mimi mTZ kabisa yalishanikuta tena kwenye safari ya humuhumu(dar-mwanza) nikaibiwa camera, perfume and extenal HD sasa unamshangaa mzungu? Njaa imezidi mpka basi, usimamizi wa nchi wenyewe umewashinda sasa watawezaje kusimamia wafanyakazi...jamaa wezi kabisa, hata kutoa gari pale bandarini utashangaa maafisa wanakulazimisha bei ya ununuzi, yani wanang'ang'ania kuiongezea thamani gari, alafu haiishii hapo kila step moja ahead unakutana na kizingiti, mtu anasema kwa uhuru kabisa "bila kunipa laki mbili sifanyi kazi, kwanza angalia makaratasi hapa mezani, kwani mimi robot nsichoke" utadhani ile kazi aliitwa kutoka kwao kuja kuifanya kumbe yy mwenyewe alipeleka CV yake...shame on you(TRA,TPA,POLICE) mnatudhalilisha tu...!
 
MY NIGHTMARE IN TANZANIA

From: Ray Bergen

To: Lisana Koliskowski

Hello Lisa

I am glad to be back in America after such a disastrous trip to Tanzania . The most important thing was getting back home safely and seeing my family. The only thing I can assure you is that, I will never set my foot in that country, and will advice anybody planning to visit Tanzania to refrain from doing so. The nightmare started at the airport, when my luggage checked in from Amsterdam disappeared mysteriously in Dar es Salaam . And my inquiry with the airport authorities was forwarded to the police. At the police station (Central) I was told that I could not get help unless I bribe them $500, because they needed the money for fuel and other necessary needs to investigate the theft.Supposedly the police officer did not open the case and turned me to be the criminal, constantly coming to my Hotel room, asking me for money. In short all my four year work was lost with the laptop at the Airport.
Came clearing the vehicle we were supposed to use in the research, from the agents to the customs authorities, the vehicle exceeded the actual cost. I would have paid $38,000 for a $16,000 vehicle. I could not bear being in such a corrupt country and decided to terminate my research, and left the vehicle uncleared after one month of struggle with the customs, who needed money after money and bogus letters. Supposedly these exuberant fees were not supposed to be there in the first place, because all registered NGO’s are supposed to be exempted from paying these taxes and fees, but then the deal had been cooked to rip Muzungu off. Being a Muzungu is being a cash cow in Tanzania . They don’t even fucken know that we are trying to help them. I pity the African continent and her people, I am glad they did not confuse me with Albino.

Please advise any potential traveler to Tanzania to look for alternative country to visit, and if possible pass the message to the State Department as a warning to other Americans intending to visit this poor and corrupt country. I visited Botswana with my family in 2006. I tell you, could not be more satisfied with their politeness and straightforwardness, the same was in
Mozambique where we received utmost hospitality.

Please, be careful and only travel to Tanzania when there is need and not to visit and do not carry any valuable. As soon as you arrive, register with the American Embassy.

Sincerely,

Ray Bergen.

Mtu mwenye lugha kama hiyo hapo juu ! Sijui, lakini nashindwa kumuamini.
 
Hiyo barua ilishawahi kuzunguka tena nadhani humuhumu jamvini... all in all, kuna ukweli hasa ya pale airport lakini hilo la central duh!

Tanzania is corrupt to the extreme, yaani kwa sasa pale airport hata tartibu za kazi hazifuatwi, wanakuuliza tu unatoka wapi, ukijibu nchi wasiyo na interest nayo wanakuachia unapita tu hata hawakagui mizigo, wale porters ni wezi hasa kwa vitu vilivyo kwenze zipu za pembeni

siamini hiyo barua lakini RUshwa inatumaliza

Mizimu ya Uwanja wa Ndege JKN

photos
pix.gif
1261814218_air_port.jpg

Umekua ukisikia mara kwa mara vituko vya uwanja wa ndege wa JKN
kuanzia kuibiwa , kusachiwa kwa baadhi ya abiria , kulaghaiwa na aina
nyingine nyiingi sana za uharamu ndani ya uwanja huo kutokana na
ukuaji wa tekinologia hata hawa wezi na matepeli nao wanapandisha
viwango hata aina nyingine za uharamia wao .

Kwanza ni kwenye sehemu za kupitisha mizigo inayotoka na kuingia
nchini sehemu hiyo imejaa watu mbalimbali wanaohusika na usalama wa
uwanja na watu wanaotumia uwanja ule watu hawa kushirikiana na maduka
ndani ya uwanja huo ya kuuza vitu ni wadau wakubwa wa wizi unaoendelea
ndani ya uwanja .

Kama umewahi kuibiwa kitu kama laptop hatua ya kwanza ni kutoa taarifa
hapo uwanjani mara nyingi watasema vitu vyako vimeibiwa Nairobi au
Kilimanjaro na Ethiopia ukweli ni kwamba vitu hivyo huibiwa na watu wa
Swissport na Uhamiaji , sehemu za kwanza kuuzwa au kuhifadhiwa ni Duka
namba 5 ambao kuna Huduma za Internet Duka hilo hujaa mali zilizoibwa
ndani kwa kujidai Used Vimetoka Ulaya na Bara Asia .

Duka hilo hilo kama una haraka na kupanda ndege watakuuzia Vocha za
simu ambazo zimeshatumika , ukiondoka umeliwa

Saa zingine Abiria anaweza kua amefanya kosa badala ya askari
kumchukulia hatua anaweza kulazimishwa kuachia Laptop yake au Kamera
ili mradi ni kifaa kinachouzika haraka ndio maana ndani ya maduka hayo
vifaa vile havina charge , battery na vifaa vingine vya kuviwezesha
kufanya kazi kwa uhakika .

Ukizunguka upande wa Pili kuna duka la kuuza vyakula kuna mtanzania
mwenye Asili ya Asia ukizungumza nae kwa upole na vizuri anaweza
kukuuzia laptop hata kamera ambazo husahauliwa au huibwa katika
mgahawa anaousimamia uwanjani hapo kwa jina la Flamingo .
Ukienda mbele kidogo Kuna duka la ziada Nalo la vitu vidogo vidogo
kuna kijana mwenye asili ya visiwani kazi yake kubwa ni kununua simu
zilizoibwa uwanjani hapo ni mtaalamu wa kubadilisha hizo simu ziweze
kutumika Tanzania .

Ndani ya duka Iloilo wauzaji wa Tiketi bandia za kusafiria wapo na
ukitaka ni bwerere haswa za mashirika yetu ya ndani kama Air
Tanzania , PrecisionAir na ZanAir .

Ukikaa uwanjani usishangae kuona askari polisi anatoka kwenda kwenye
gari ya msafiri mara nyingi ni kwenda kupeana cha Juu
(na mwana Bidii)
 
mhh
 
Hata mimi ninawasiwasi kama hiyo email imeandikwa na mgeni wa nje naona kuna uswahili mwingi,kwa nchi za dunia ya tatu hayo ni mambo ya kawaida hayo hata kenya yapo,hata nchi nyingi za amerika ya kusini ni hayo hayo,lakini na sisi wa TZ inabidi tubadilike tuachane na dhana ya kupata kipato kwa njia zilizo kinyume na taratibu na tuchukie kutoka moyoni unampomfanyia mwanadamu mwenzako mambo yaliyo kinyume na utaratibu,jifikirie nafsi yake kama wewe ndio mtendwa je ingekuwaje,ndugu zanguni maisha bora hayaji kwanjia za mkato inabidi ufanye kazi na upate kipato halali na wengi hapa kila leo tunapiga kelele mambo ya ufisadi,hata udokozi ,kutenda maovu nayo ni ufisadi.
 
Mi siamini kama hii email ni ya mzungu lakini alieiunda hii amekerwa na mambo kama hayo hapo chini

EXPORTERS of various goods from Tanzania and airliners have criticized Value Added Tax (VAT) charged on freights, saying that the taxation will damage export business in the country.

Though the VAT Act categorizes exported goods as zero rated items, TRA requires airlines, shippers and road haulers to charge 18 per cent VAT on top of the cost of transportation of cargo abroad and later the VAT registered exporters are refunded.

But the small-scale exporters are said to suffer from the arrangement because they are not entitled to refunds. The reason is that they are not VAT registered. The Law requires any company that reaches thresholds of 40m/- in annual turnover to register with VAT.

Stakeholders in the export business told the 'Sunday News' today that the arrangement has been making Tanzania's export more expensive -- hence uncompetitive in the world market compared to the situation in Kenya and Uganda.

The Managing Director of Shipping Management Services, Mr Hashim Mashelle, said that Tanzania was still lagging behind on export compared to Kenya and that more incentives were needed than restrictions.

Mr Mashele said that some small-scale exporters of fruits, vegetables, rough gemstones and other goods have started using Kenyan airports to evade airfreight costs levied through VAT in Tanzania.

However, the Director of Taxpayer Services and Education, Mr Protas Mmanda, said that transportation of goods (cargo) is taxable provided that the value exceeds the threshold for registration of an annual turnover of 40m/-, VAT is paid by the owner of the goods and at the end of the month he is refunded.

"Those exporters who have not been registered with VAT are not refunded," he said adding that, that is what the law says. The Chairman of Tanzania Horticulture Association, Colman Ngallo, said that VAT is an impediment for small-scale exporters.

"The horticulture industry is still young. This arrangement affects our business because unregistered VAT exporters become less competitive compared to others who are refunded," said Ngallo, adding that they were now struggling to find a cargo airliner for smoother export of their products.

In October some international airlines flying to Tanzania contested the VAT arrangement and reported it to the International Air Transport Association (IATA) because their passengers are exempted from tax and cargo is zero rated.

The 'Sunday News' understands that IATA wrote a letter to TRA the same month to explain that the decision TRA had taken was not internationally accepted under aviation practices.

However, TRA in a letter signed by its Commissioner General, Mr Harry Kitilya, on October 20 said that the decision was in line with the VAT Act, Cap. 148 section 19(4) which states, 'the commissioner is also empowered to register for VAT any person on the basis of national economic interest even if the person has not applied for registration or is below the threshold,'

Airliners, transporters and freight forwarders particularly are concerned about the arrangement because, they say, it adds cost in their operations to deal with VAT transactions.

British Airways' cargo section has already notified its clients that it will be charging the VAT on their cargo as from next month. Further reports had it that all airliners were getting ready to go to court to petition the TRA move.
 
Mzungu kalonga... Ni aibu kweli. Nami yalinipata nilitua ZBR nikitokea Imarati: Mkasa wangu ulikuwa hivi.... Kuchukuwa toroli la kubeba mizigo ..yapo nje ya eneo la kupokea mizigo kwa hio kutoka ni lazima uache passport yako ( nikamwachia mfanyakazi dada mmoja aliyevaa baibui....sijui kama ndo sare ya kazi??? Nikatoka nje kumwita mwenye toroli... niliporudi nikamwomba huyo anirudishie pass yangu akaniambia..bado anayo nimalize suala la kukaguliwa mizigo atanipa....nikiwa narekebisha namba za siri..mwenye tooli akaniambia.. braza ongea na afisa huyu akurekebishie kama una mambo mazito??? nikamwambia yangu mepesi tu...nikalifungua ... mkaguzi akakaniruhusu kufunga sanduku na kuliweka alama ya chaki.. na yue mwenye toroli akayapakia masanduku yangu ... namfuata yule dada mwenye baibui.. ananielekeze niende kwa mkubwa wkae amempa passport yangu na kwamba kuna maswali natakiwa kujibu.... ofisa yule wa uhamiaji sijui ni wa usalama akanipeleka kwenye ofisi yake ..akaanza kuniuliza masuali..ambayo kama si vumili hapa mtu unaaza kukasirika...
Swali moja... wewe unakwenda Dar kwanini umeshukia Zanzibar??... Nilibania hisia zangu zisifyatuke maana hapa niliona anaingilia uhuru binafsi..... Nilimjibu kiungwana na haikuishia hapo....akauliza masuali mengi yasiyo yamsingi na aidha si muhimu kama kweli walikuwa wanajaribu kunidadisi juu ya kushukia kwangu Zanzibar ukizingatia kwamba nilikuw ana vitu vya kawaida tu kwenye izigo angu..Hatmaye akafikia lile ombi nililolitegemea..... akaniomba nimpe madola ya huko Imarati sikuamni kwamba hajui kwamba Imarati hatumii Dola bali Dirham....

Nilipomkatalia kiungwana kwamba sina cha zaidi kwa watu wengine zaidi ya familia yangu....akasema haya bwana..Mungu kawajalia ninyi..hamtukumbuki sisi... nikaondoka nikiwa nimeumizwa moyoni hasa juu ya "professionalism" ya wafanya kazi wetu....wa sehemu nyeti kama hio...

Kwa hio haya yapo.. na kwamba yanatia kinyaa... lakini ni jukumu letu sisi tunaokumbana nayo kupambana vilivyo.... Mzungu alifuatwa hoteli kuchunwa.... na kwamba alighairi alipoona kila kitu kimepotea na mzigo... na gari lilikuwa linaleta mauza uza...Yaani mambo FIX ya TRA li akwepeshwe kulipa kodi/ushuru.

Mzungu alipaswa kutumia njia salama zaidi ya kubeba laptop yake mwenyewe...na upotevu wa mzigo ni juu ya airline na wana kiwango cha kulipa....japo hakitoshelezi..lakini tunashauriwa kuwa na zaidi ya mzigo mmoja ili kuweka tahadhari ya matukio kama haya... YANAYOLIPA TAIFA LEU NA WAANZANIA WALIO SAFI..MATOPE!!!
 
Mzungu yupo sawa. Hapa bongo bana ukiingia kama wewe umetoka nchi ambayo rushwa ni zero degree utadhani ndio umetia mguu jehanamu inayozungumzwa kwenye vitabu vya dini. Mtu unaripoti kuibiwa bado unatakiwa kugharimia upotevu wa mali zako.??

Rais wake wa marekani anasifu Tanzania hata alitepita alikuja Tanzania,huyu pia alikuwa wa kwanza kumuarika Rais wa Tanzania kule white house.

Alikuwa anajifurahisha tu,Moja ya nchi inayoongoza kwa kupiga vita rushwa ni Tz kwa Afrika.
 
jamani sio siri pale airport ni noma kweli na aibu tupu sio kweli Wizi wa airport ni airline wa kulaumiwa ni police dahako na wafanyakazi wengine
 
Mkuu Derick, wewe ndie Lisa?! Kama sio, how did u get the email?! aliamua kutuma copy kwako?! If so, what was it for?Kama lengo ilikuwa ni kuwa-alert his fellow americans, ilikuwaje atume copy kwako?!Hivi, ngoja kwanza!!! Ina maana mdhungu akishaibiwa tu pale airport issue yake inapelekwa directly Central Police?! Si kuna kituo cha police pale?! Sasa ilikuwaje issue ya bwana mkubwa ray iende moja kwa moja central?! Acheni masihara!!! Huyu jamaa anavyoongea ni kama anamaanisha TZ kwa wizi huwezi kulinganisha na popote pale duniani; hii si kweli- ni upuuzi mtupu!!! Hata huko kwao kuna wezi wa kutisha tena kuliko hapa. Nilikutana na dada mmoja Mholanzi, nae alilizwa pale airport!!! Nilipomuuliza endapo atathubutu kuja tena TZ, akajibu kila mahalai kuna wizi.....na huo ndo ukweli! Tatizo la bwana mkubwa Ray, alizani yeye na udhungu wake basi atanyenyekewa, kiasi kwamba angeweza hata kumpa mtu mizigo yake ampelekee hata hotelini wakati yeye yupo hapo airport kv yeye ni mzungu!!! pyuuu, ukizubaa lazima uibiwe-popote uendapo whether africa, america europe or even mideact!!! Ebo! eti polisi hawakufungua kesi( au jalada?) na badala yake wakamfanya mwalifu kwa kila wakati kwenda hotelini alikofikia na kumuomba hongo!!!! huu ni upuuzi!!Eti miaka yake 4 yote ikapotea na Laptop pale airport!!!!!!!! Anataka kutuambia kwamba kazi zake alizofana kwa miaka hiyo 4 zote alizihifadhi humo kwenye laptop sio?! kama ndivyo, basi ***** na sakala na ndio maana aliibiwa!!! mtu mwerevu hawezi kuhifadhi kazi muhimu in ONLY ONE storage media!!! Hata wakati nipo chuo sikuthubutu kuhifadhi kazi zangu kwenye media moja, je huyu aliye mtaalamu?!!!Bwana Mkubwa Ray anadai alitakiwa kulipa $38,000 kwa gari yenye thamani ya $ 16,000 !!!!!! huu ni uongo mwingine!!! kama alifanya udanganyifu alitarajia nini? Hivi mtu anayekuja kufanya utafiti Africa atakuja na gari ya thamani ya $ 16,000?! si Toyota Mark II hiyo?! was he serious?! Na kama alijufahamu in advance kwamba registered NGOs zinakuwa exempted na taxes, so kwanini hakuenda kulalamika kwa vyombo vya juu kama kweli alihisi alikuwa na hiyo haki?! Eti "they don't even ****en know we're trying to help them" Eti alikuja kufanya research ya kutusaidia wenyewe, mpumbavu sana huyu mzungu!!! hiyo research aliyotaka kufanya ni reseach gani ambayo watafiti wengine hawajafanya?! Kwanza maelezo yake ni full kujichanganya, yeyey si keshapaki virago na kurudi kwao?! sasa kwanini asiende yeye kuriport huko State Department ili iwazuie waamerika kuja TZ kama anazani atakuta wapumbavu kama yeye wa kum-support upuuzi wake?! Na kwanini asisitize waamerica watafute shehemu zingine za ku-visit badala ya TZ?! Yeye alikuja hapa kufanya research au kufanya visit?!! Nishamshtukia huyu jamaa, hakuna cha research wala nini!!! yeye alikuja kutembea kwa kisingizio cha kufanya research kwa kile alichoamini mkoko wake utapita bure pale bandarini na badala ya reseach yake ya uongo angeiuza hiyo gari!!! shenzi taipu, bravo TRA Officials!!!Upuuzi wake mwingine unajionesha pale kwa mara ya kwanza anapomuambia swahiba wake Lisa eti alishawahi ku-visit Botswana na Msumbuji, alikuwa wapi siku zote hizo asimuambie hadi amuambie sasa?! Au urafiki wao umeanza juzi!!!!?? Na anachefua zaidi anaposema anashukuru hakufananishwa na Albinos!!!! Hoja ni pale pale kwamba alizani Wa-TZ washamba sana kwa wazungu hadi wakati mwingine hatujui albino yupi, mzungu yupi!!! Aende mbele na upuuzi wake, akiwa fara kila siku ataibiwa, sio tu TZ bali popote anapoenda!!!! Aende South Africa na uzungu uzungu wake akaone!!!
NaziDas;
Uko sahihi 99%. Ananllysis yako na ukali wako nimeupenda sana. Natamani siku moja upate fursa ya kutema sumu juu ya ufisadi. Baada ya lecture hiyo, nadahani kama kuna mtu ataendelea kuwa fisadi ni mmoja au wawili kati ya watu million 45. Unajua kutema sumu ya uhakika, nimekupenda. Big up!
 
Airport Dar wanaiba mpaka perfume - shame!

Kweli kabisa niliwahi kuibiwa pefume hata mimi, tena nilihisi hili pale nilipokuwa na check in kwa Internal flights, jamaa aliyekuwa anabeba bag baada ya kupima uzito alinitolea jicho fulani nikashangaa, kumbe alikuwa anakula hesabu, nafika safari yangu nikakuta pefume na vitu vingine wameiba.
 
Back
Top Bottom