Nzinyangwa
Member
- Aug 27, 2008
- 56
- 4
Mbona maoni yangu hayaonekani?
shetani ni wewe unaetaka kuleta uovu nchini, maneno yako tu yanaonesha wewe ni mpumbavu flani kama basterd hivi ambae huna muelekeoTuspoteze muda
Wakristu uchaguzi unakuja,chagua mkristu mwenzako,hii ndiyo njia ya kuyaua hayo mashetani.
Tuspoteze muda
Wakristu uchaguzi unakuja,chagua mkristu mwenzako,hii ndiyo njia ya kuyaua hayo mashetani.
Tuspoteze muda
Wakristu uchaguzi unakuja,chagua mkristu mwenzako,hii ndiyo njia ya kuyaua hayo mashetani.
Tuspoteze muda
Wakristu uchaguzi unakuja,chagua mkristu mwenzako,hii ndiyo njia ya kuyaua hayo mashetani.
Jamani tuache kuendekeza mambo ya UDINI!!!! Tuhoji tu tutapoona mtu anachaguliwa kwa dini yake na si vigezo vingine vya kiuongozi.
Ni ujinga na uzuzu mtupu mtu kusema eti chama fulani ni cha kidini kwasababu viongoziwe wengi ni wa dini fulani bila kuangalia sababu za msingi kwanza!! eti serikali ni ya kikristu etu tu kwasababu viongozi wengi ni wakristu !! Chaa! hamuoni kuwa wengi wao wameenda shule??!!
Kuendekeza mambo hayo mwishowe mtakuwa si watu wa DINI tena bali watu DUNI!!!
Mswahili,
Kama umefuatilia posting zangu hapa kuanzia nijoin rasm JF, nimekuwa napinga sana suala la udini na niliweka post kibao tu nikimpinga mchambuzi na skam yake ya kutaka rais ajaye Tz lazima awe mkristo.
Sijali kama viongozi wote wakati wa mkapa walikuwa wakristo au kama Dr Bilali alinyimwa kura na wakristo. Ukweli I dont give a damn about it.
Tanzania ni moja na ccm ni chama ambacho kipo bara na visiwani. Kama ccm waliendesha propaganda kupondea cuf kuwa ni chama cha waislam bila kujali hiyo sababu unayoiweka hapa kuwa zanzibar wengi ni waislam, then ccm nao lazima waangaliwe kwa ujumla wao kote kote bara na visiwani.
So far, viongozi wa juu 4, NEC, na CC ya ccm ina waislam zaidi ya asilimia 75%. Hawa ndio watoa maamuzi na sera za ccm. Sijali kuwa makatibu kata wa ccm wengi ni wakristo au kuwa wakati wa Mkapa waliokuwa wengi ni wakristo. I am talking about leo hii na wala sio longo longo zingine.
CCM wakiendelea na mchezo wao mchafu wa kuchafua vyama vingine kuwa vya kidini au vya kikabila, basi wategemee the same bullet ikituma back to them loud and clear.
KWA SASA, CCM INA VIONGOZI WENGI SANA WAISLAM. KWA STANDARD YA PROPAGANDA ZA CCM DHIDI YA CUF, CCM PIA NI CHAMA CHA WAISLAM.
Si afadhali hata Chadema top 4 leaders are from different ethnic backgrounds,nooow hebu tucheki CCM top 4 leaders,3/4 ni wa dini moja.m/kiti muislam,katibu muislam,makamu m/kiti Zanzibar muislam,makamu bara ndiye mkristo tu.Lakini tukisema ile dini ya ufisadi nadhani 100% au 4/4 wote ni wa dini moja.Sasa hapa si ndio udini ata its best? kaazi kweli kweli
Kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya ccm kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa ccm.
Ilivyokuwa CUF na viongozi wengi waislam watu waliita cuf, chama cha waislam. Sijui kama ccm itaitwa the same name? Viongozi wakuu wanne, Kikwete, Karume, Msekwa, na Makamba; ratio inaonekana tayari. Kwa kamati kuu (cc), ratio ipo wazi, cha ajabu hata NEC, ni the same trend.
Haya ni makubaliano ndani ya ccm au ni mabadiliko ya yale makubaliano ya awali? Naomba kuwasilisha
Jamani ngoja nimtetee huyu mtu...yeye si shetani hata kidogo...tunapomwita shetani tunamnyima fursa ya kutoa maoni yake...he is entitled to his opinions...hivi ndivo anavoona yeye, njia ya kuondoa udini ni wakiriso wote wamchague mkiristo mwenzake popote alipo. hivi ndivo walivo wakiristo wengi wa nchi hii hata wale ambao hawasemi...Hata mtoto mdogo ukimuuliza shetani ni nani atakujibu kwani kauli yako tu inaonyesha Ushetani wako na wote wenye mawazo kama yako.
Tumekuwa wepesi wa kusahau au kijisahaulisha au kujifanya hatuoni. Wakati wa Mkapa mbona safu yote 100% ya juuu ilikuwa ni Wakristo?! watu hawakusema au dini ni Uislamu tu labda tukubaliane hapo kwanza.