Recent content by Kenneth Mwazemb

  1. Kenneth Mwazemb

    JamiiForums Tanzania Israel Plans to Open Embassy in Dar es Salaam

    Am Blessed Full Blessed
  2. Kenneth Mwazemb

    JamiiForums Tanzania Biashara ya eneo la parking or ujenzi wa shule

    Eneo la ekari 11 wilayani Mbozi linauzwa linafaa kwa ujenzi wa shule, parking ya malori yaendayo Zambia na DRC likiwa na umeme simu 0762246322
  3. Kenneth Mwazemb

    JamiiForums Tanzania Shamba ekari 1000 zinauzwa

    Wadau mwenye kupenda kuwekeza katika kilimo basi anunue shamba ekari 1000 zinazouzwa kwa shs 120,000 kwa ekari katika kijiji cha Isanga wilaya ya Momba mkoani Mbeya piga 0762246322
  4. Kenneth Mwazemb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa za mwanamke wa kimachame

    ode mandede
  5. Kenneth Mwazemb

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Weruweru watamba kutoa rais wa kwanza nchini

    hayo ni mambo ya malawi hatujajifunza?
  6. Kenneth Mwazemb

    JamiiForums Tanzania Natangaza kutonunua tena nyama ya ng'ombe kwenye butcher

    Mimi siafikiani na Mheshiwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliyetoa kauli jijini Mwanza kuwa kwa mazoea waislam waendelee kuchinja. Hebu tuangalie imani zote mbili. Wailslam katika Surat Al-maida yaani meza iliyoandaliwa wanaambiwa kuwa chakula cha mtu wa kitab yaani Mkristo ni halali kwa muislamu na...
  7. Kenneth Mwazemb

    JamiiForums Tanzania Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

    Ukizungumza habari za Mwalimu Nyerere kwa Watz walio wengi yeye huongelewa mema tu japo ana mabaya yake kwani shilingi ina pande mbili. Hali hiyo inatokana pia kwa mitazamo kama ni hasi au chanya. mabaya ya Nyerere yanazidiwa na mazuri yake. Sasa tujitahidi kuona mambo yanarekebishwa, ndiyo...
  8. Kenneth Mwazemb

    JamiiForums Tanzania Open University of Tanzania website HACKED!

    Naomba kusaidiwa kwa hili, leo kila nikifungua website ya Open University of Tanzania yaani www.out.ac.tz kinachokuja ni muziki wa kiarabu. Nisaidieni niweze kufungua web hiyo.
  9. Kenneth Mwazemb

    JamiiForums Tanzania Simu - Wabunge Chadema wafanyiwa ujasusi, mtoto wa kigogo CCM ahusika

    Ndibalema hujui mwana umleavyo ndivyo akuavyo?
  10. Kenneth Mwazemb

    JamiiForums Tanzania Mbunge Zambi ashitakiwa mahakamani

    Nadhani hIlo ni kundi la wafanyakazi wa LIMA kwa mtu mwenye akili zake hathubutu kufanya hivyo
  11. Kenneth Mwazemb

    JamiiForums Tanzania Lema: Nilipigiwa Simu na mtu kutoka serikalini

    Haya mambo ndivyo yalivyo kwani Mungu huwatumia hawahawa binadam kutuokoa. Hiyo ni tipu ya kuokoa maisha ujue unapoingiza wazo lako la kishetani la kuangamiza mtu siyo wote watakubaliana nawe mahali pengine watahoji uhalali wa kitendo hicho
  12. Kenneth Mwazemb

    JamiiForums Tanzania Nauchukia udaktari. Wanafunzi msiusomee. Hauvutii kama Ubunge, Uwaziri

    We kijana umesema kweli kabisa, tatizo lililopo ni kwamba udaktari ni fani ya kale mno na ina watu wake. Sayansi kawaida wasomi wake wanakuwa na vichwa moko kidogo kwasababu ya kubundia. Mtoto mmoja aliulizwa swali akimaliza shule angependa afanye kazi gani au awe nani alidai anataka awe fisadi...
  13. Kenneth Mwazemb

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kahawa mbivu (Red cherry)

    Mnyukano mkubwa wa biashara ya kahawa mbivu kati ya mabepari wachache na wakulima umetokea na kuiyumbisha serikali. Tatizo ni aliyekuwa waziri wa kilimo Prof. Jumanne Magembe aliyeteua Bodi ya Kahawa bila kuzingatia kanuni za uteuzi matokeo yake ni kurundika wajumbe kutoka kanda moja na wengine...
  14. Kenneth Mwazemb

    JamiiForums Tanzania Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    Uthibitisho uko wapi? Nilitegemea serikali ambayo haijawahi kushindwa jambo kuwaita madaktari kujieleza kwa yale yanayowezekana na kwa yale ambayo serikali inaona haina uwezo ingewaeleza mabingwa hao kwa staha na unyenyekevu mkubwa kwani madaktari nao ni binadamu. Unaposema huna fedha za...
  15. Kenneth Mwazemb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempenda sana msichana huyu!!

    Huwezi sema umempenda mtu kwa hivyo kaa utafakari kwwani mke mwema mtu hupewa na Mungu, kwanza kwa kumuanika hapa tu utamfanya ajisikie vibaya du what are you doing man? Why? Think big
Back
Top Bottom