Open University of Tanzania website HACKED!

Jan 3, 2010
16
3
Naomba kusaidiwa kwa hili, leo kila nikifungua website ya Open University of Tanzania yaani www.out.ac.tz kinachokuja ni muziki wa kiarabu.

Nisaidieni niweze kufungua web hiyo.

attachment.php
 

Attachments

  • hacked.jpg
    hacked.jpg
    37.4 KB · Views: 614
hata ya tcu ilishapitiwa na hao hackers!!! so sishangai hii ndo tz bwana...kibish life linasonga....
 
mbona kwa hapa bongo ni jambo la kawaida tu, website za wizara ya afya,TCU,OUT na kuna wizara nyingine kama 2 hivi zimenitoka, kawaida sana hilo jambo hata wa ki hack watapata nini huko???
 
Back
Top Bottom