Lema: Nilipigiwa Simu na mtu kutoka serikalini

Binafsi nashindwa kupata tafsiri halisi. Hebu nijitahidi kuwa rational.

Hivi kwa mbinu wanazotueleza viongozi wetu wa chadema mf. ajali za kutengeneza; na tukio la kuuwawa mh.chacha wangwe; zile zilikuwa mbinu za uwt/tiss kwa ajili ya kulinda utawala uliopo madarakani? Kama ni kweli mh. Chacha wangwe alikuwa tishio kwa ccm au chadema?.
mimi naomba watanzania tuwe makini. Tutofautishe maslahi ya nchi na ya watu(viongozi) binafsi.

Halafu, mbona wachangiaji hawazungumzii hili la chacha wangwe badala yake tunatoa mifano mingine? Au huyu alikuwa mbuzi wa kafara? Damu yake sio muhimu? Kulikoni wazalendo? Mko wapi?
Au mkuki kwa nguruwe sawa na kwa binadamu mchungu? Hoja yangu ni kuwa, ikiwa haya yanafanyika nje ya mfumo wa madaraka, je, ikiwa ndani ya mfumo itakuwaje?? Nani atasalimika???
Na je, ukanda gani wa nchi ujambazi ni kitu cha kawaida? Nani asiyejua?
Mzalendo haachi kuasa.
 
Agiza Gahawa na kashata ili uweze kuangalia series zote ili usingizi usikuchukue
Kajipanga kupoteza mada hawezi kuamini hata kama anafuatiliwa hasa Bwn Lema anaona ni sawa tuu, au analipwa kupotezea mada watu wasishtuke waone ni normal, kazi nzuri Ritz hadi uone Dr Uli !!!!

 
Ni ujinga ulokithiri kwa mwanasiasa wa upinzani kushangaa kufuatiliwa na usalama. Hivi i vitu ya kawaida, hata mabalozi wa nchi za nje, majaji na wafanyabiashara wakubwa hufuatiliwa na usalama. Get a bodyguard and do your thang!! Stop complaining like a lil gurl!!
 
Acha utumwa wa kijinga kubwa bure wewe!
Tumia kichwa kufikiri ndio uje humu jamvini!
Mkuu Liverpool huyu Ritz anapotezea mada watu tushindwe kujadili kwa nini Mhe lema anafuatiliwa ili tutafute ni nini cha kufanya, analipwa huyu na maghamba!!!

 
Wewe kweli unachekesha mie nikukimbie wewe Chadema-Kata kwanza huna hoja umeishaanza kuandika viroja.
Wewe ulishawahi kusema Lema ni jambazi, nani anajuwa wewe ni nani?Kombe bosi wao waliyekuwa wakimfahamu pale Moshi walimwita jambazi...

Kutokana na michango yako humu ndani, wewe ni fisadi kubwa.
 
Another series of endless stories.

You may be right on this, but do you know that the 'story' of Dr. Ulimboka's abduction and torture is also endless ??
You know why ?? The government has formed an inquiry team to investigate the incident, and at the same time the government has denied involvement even before seeing the report from its own inquiry team!!!
Endless, isn't it !!!
 
Kwani hukusikia ya Dr Ulimboka? Si alipigiwa simu na mtu anayemfahamu muajiriwa wa Ikulu?

Hii stori ya kitoto kabisa kwa hiyo ndio katishiwa kuuliwa kwa kusalimiawa?
 
Hii ni Series mpya ndio kwanza tupo Episodes I ina Episodes 20.

Ukizungumzia Series, Series hii inaitwa "Serikali itachukua hatua - Liwalo na liwe"

Episode 01 yake inaitwa 'Kutekwa na kuteswa kwa wabunge wawili wa Chadema (Mwanza)'
Episode 02 yake inaitwa 'Kutekwa na kuteswa kwa Dr. Ulimboka'
Episode 03 yake inaitwa 'Kutekwa na kuteswa kwa viongozi wa Chadema' - Hii ilikuwa ianze hivi karibuni.
Episode 04 yake inaitwa '..................................................'

Endeleza hapo ...
 
"Nilipigiwa simu na mtu mmoja kutoka serikalini akaniambia kuna gari nyuma inanifuatilia, nilipogeuka niliona na kusimama kisha nikashuka na kubadili gari na lenyewe likaendelea kunifuatilia," Lema alidai kwamba hata juzi asubuhi alikutana nalo katika nyumba aliyofikia na alipolikaribia watu hao walishusha vioo na kumsalimu wakimwita ni MBUNGE WA ARUSHA ALIYEKO KWENYE LIKIZO.

Uwongo mwingine hauna kichwa wala miguu; Chadema mna wasanii wengi sana mlisomea usanii wenu wapi? Hata mtoto mdogo huwezi kumfunga kamba hizi

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Yaani wewe ulivyokuwa na upeo mdogo unadhani wote tupo hivyo siwezi kuamini stori ya kitoto kama hii...

Hakuna mtu yoyote aliyekuambia uamini story hii. Maana wewe pia huamini kuwa Dr. Ulimboka alifuatiliwa, akatekwa na kuteswa.
Pia wewe huamini kuwa Genereli Imrani Kombe alifuatiliwa na kupigwa risasi na kuuwawa mwaka 1995.
Kwa wewe na wenzako hizi zote ni story za kitoto, story za watu kufuatiliwa na kuuwawa / kuteswa.
 
mimi sioni kama ni kweli vitisho dhidi ya wapigania haki kwa watanzania vinasaidia nafikiri avitasaidia kwasababu watanzani wanayasikika yanayoendela na huu ndio wakati wakushikamana kupinga kikamilifu vitisho dhidi ya wapigania haki kwa watanzania
 
Sasa walishindwaje kumuuwa wangetaka kumuuwa? anaetaka kukuuwa anakusalimu?

Mambo mengine ya kijinga kabisa na mijitu inakubali tu.

ufadhili mbaya sana humnyima hata mtu kusema kile moyo wake unapaswa kusema. Usiongee kwa kushurutishwa kwani ipo siku damu za wenye haki zitadai na wewe utakuwa mmoja wapo watakao daiwa. Stay tune.
 
Ha ha haaaaaa Craaaaaaaaaaaaaap , hakuna kitu hapa hata mtoto wa chekechea huwezi kumdanganya kitoto hivyo. Tangia avuliwe ubunge , jamaa hayuko sawa kabisa na ni mtu wa kuhangaikia perdiem za vikao


Haya bwana, kwa kuwa kabla ya LEMA kuwa mbunge ulikuwa unamlisha wewe. Haya kapokee ujira wako ila kwa wenye akili zao tayari wamekwisha elewa kitu hapa.
 
Acha kupooza watu ili wasiamini kuwa hayo si ya kweli. Mbona Dr. Ulimboka alipigiwa simu kabla ya mateso?
Yaani wewe ulivyokuwa na upeo mdogo unadhani wote tupo hivyo siwezi kuamini stori ya kitoto kama hii...
 
Haya mambo ndivyo yalivyo kwani Mungu huwatumia hawahawa binadam kutuokoa. Hiyo ni tipu ya kuokoa maisha ujue unapoingiza wazo lako la kishetani la kuangamiza mtu siyo wote watakubaliana nawe mahali pengine watahoji uhalali wa kitendo hicho
 
Back
Top Bottom