Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,863
- 37,614
Kakangu aliponea chupu chupu na sasa hivi alishahama hata mkoa na kukimbia kila kitu.
Jaribuni muone hasa ukishakuwa na hela uanze kuhesabu siku. Kama huani muulize na yule jamaa wa arusha.
Uwiii jamani mtanivunja mbavu zangu ...khaa! Nimechekajee