Nimempenda sana msichana huyu!!

Nimempenda sana msichana huyu!!

mh,mambo ya mtandao duh. . . kaka mahusiano ya style hyo ni ngumu kuendelea ku-exist. make kila m1 wenu ana imagination zake. yan ushamuumba hyo dada mpk na nguo ukamvalisha hadi make up ukampaka,cku ukikutana nae thn ukute ni tofaut na ulivyotarajia utakuwa very disappointed. we onana naye kwanza ndo utajua kuwa unampenda ama la. . . huez sema ur crazy over her kwa kuckia saut na kuona pics zake tu. u need to see each other first. . . talk face to face e.t.c. n-way all the best!

Asante sister, tunajifunza kupitia makosa natumain bado cjachelewa sana kuji-adjust!
 
Nawashukuru sana Mabibi na Mabwana kwa michango yenu katika hii MADA, nadhani huu ndio umuhimu wa kuwa na marafiki Welevu...mawazo yenu yote nimeyapokea na kiukweli nimeamka sasa na nimeshajua nini cha kufanya mind yangu sasa ipo sawa baada ya kusoma posts zenu wadau. Makosa mara nyingi husaidia katika kujirekebisha kwa mtu mwerevu kama mimi ingawa maswala ya MAPENZI wakati mwingine humfanya mtu mwerevu afanye vitu vya ajabu, ila sasa nimejifunza wadau. Aksanteni sana!
 
You know what Bro worry not she is all yours,you love her go for her and accept every thing hope she will do the same,the best home boy.
 
weka sasa recent pictures ili afahamu kuwa ukweli wako ni upi,kuliko kuficha,ila wewe ni mrembo tu hata mm ningekukuta sura ya kitabu mbona nisinge juiliza!!!!!
 
 
Last edited by a moderator:
Mie huo urafiki wa kukutana kwenye FB naona kama sikubaliani nao manake mtu humuoni na unaweza letewa pic ya mtu mwengine,ukampenda mpaka ukakosa usingizi ukija kumuona hafanani hata kidogo....
 
Mwanaume huwa hapendi, mwanaume huwa anatamani. Ndio maana baada ya kumega huwa anasepa kwenda kutamani mwingine! hata huyo ukishammega utaona ....
 
Huwezi sema umempenda mtu kwa hivyo kaa utafakari kwwani mke mwema mtu hupewa na Mungu, kwanza kwa kumuanika hapa tu utamfanya ajisikie vibaya du what are you doing man? Why? Think big
 
Uko crazy kwa mtu ambaye hujawahi kumuona?!haya kila la kheri,mkishaonana urudi kutupa feedback.
 
You know what Bro worry not she is all yours,you love her go for her and accept every thing hope she will do the same,the best home boy.

Thanx bro! I have considered all the people's opinions and am gonna make the most of them all!
 
Uko crazy kwa mtu ambaye hujawahi kumuona?!haya kila la kheri,mkishaonana urudi kutupa feedback.

Feedback muhimu sana maana nimewahusisha katika jambo hili na nitafurahi mkijua hatima yake ni ipi!
 
usipime kina cha mto kwa kukiangalia kwa macho, ingia uogelee yakikushinda achana nayo ukiyaletea ubishi hakika utazama
 
Hello wana JF wenzangu! Ndugu zangu kuna Binti mmoja nimekutana naye katika mtandao wa kijamii wa Facebook. Ki ukweli sijaelewa hata ilikuwaje hadi akawa friend wangu, ila nakumbuka niliona tu friend request yake na mara moja nikamkubalia kuwa one of my friends. Mara nyingi huwa si-add watu ambao siwajui lakini kwa huyu sikufikiria mara mbili, mara moja nilimkubalia. Niliangalia profile yake kama kuna "Mutual friend" lakini sijaona..

Ndugu yangu mtihani upo hapo! Mtu unampenda kwa mazingira mliyonayo nanyi mazingira na mapenzi yenu ni kupitia mtandao. Inawezekana mkakutana na mkakubaliana kuanzisha sasa mapenzi ya face to face ambayo yatareveal kila kitu au inaezekana hizo revealations zikawa tatizo. Pia baada ya kuanzisha mahusiano ya face to face kila mmoja anatakiwa asahau mapenzi ya mtandao kwani kuna hatari ya kuwa na mapenzi ya aina mbili baadae.
 
wewe ni mwanaume umepata mke mwema maana umepewa baraka zake Mungu .... umempataaa aaaa! wakufanana nae umempata aaa! wakufanana naeeeeeeeeeeee!
 
What happens in the internet should stay in the internet
 
Angalia usije ishiwa pozi, c unaju mambo ya FB? Profile snap ya JLO kumbe ni Chausiku Ndebwile kutoka Tandahimba anapaka lotion hadi kichwani. Hhahahahahahaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom