Recent content by kengemajikwetu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mimi ni Gunners mpaka Card ya Uanachama nilinunuaga wakati nasoma PhD UK,lakini kila siku huwa nampinga huyu mpuuzi HAMIS na uongo wake humu,hata leo alipoandika humu kwamba tunashinda nilimwambia aache uhuni wake tuna Timu mbovu tena ya KICHOKO,na ndicho kilichotokea,hii ni Timu lainilaini,nina...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Acha kuaminisha watu UJINGA wako humu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Na kiongozi wa kudanganya watu humu ni yule Mhuni HAMIS,na kuna mambumbumbu huwa yanamuamini kama Mungu kumbe ni kahuni tu,timu ya KICHOKO hii lainilaini!!!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tena mfungaji alikuwa Arsenal huyo tukamuona hafai,usenge mtupu hii timu,kupeana false hopes tu na kina Hamis🤣🤣huwa nikionaga maandiko ya Hamis humu anavyotoa hopes za uongo huwa nashangaa sana,Timu ya KICHOKO hii
  5. K

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kupeleka moto kupeleka moto kumbe false hopes tu,hapa kuomba angalau Draw tu,zaidi ya hapo cha nguruwe hakichomoki hiko
  6. K

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  7. K

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Shida sijui nini,hawa Westham waligongwa 5 bila na Fulham wiki tatu zilizopita,leo Arsenal wanarukaruka TU,inakera sana
  8. K

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Utaniutani hivi muda unaenda,Timu inashangazaga sana hii
  9. K

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Yule Zinchenko ana UPUUZI sana,lile goli la Salah angekuwa beki aliyekamilika Salah asingeweza kufunga,badala ya kumkabia kulekule juu kanamkabia kwa macho kakimruhusu aingie ndani,pia kuna mipira kama miwili kalichomesha kijingajinga tu tukakoswakoswa,na yeye mwenyewe Zin alishasema hapendi kukaba🤷
  10. K

    JamiiForums Tanzania Chadema yawasilisha barua Ofisi ya Bunge kufuatia sakata la kina Mdee

    Hakuna jipya hapo ndugu,Bunge watadharau na hakuna cha kuwafanya,full stop
  11. K

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mpira sio rahisi hivyo wewe mhuni eti fulani kapita fulani katoka,Man U aligongwa na Bournamouth tena OT goli 3 lakini jana kadinda Anfield,ingekuwa ni rahisi kama ulivyoandika hapo basi kusingekuwa na haja ya wanaume 11 kuingia uwanjani,acha ufala
  12. K

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wachezaji wengi ni majeruhi hivyo ilikuwa ni lazima wacheze makinda jana
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike ngono imekuwa jambo la kawaida kwao, Walezi "wamelala"

    Naomba niunganishe nae tafadhali,mimi ni Mme mwema na sahihi kwake,karibu PM tujadili hilo jambo tafadhali
  14. K

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mpira una maajabu sana,yaani unafungwa na Bournamouth OT,kisha unamdindia Liverpool Anfield!!kama naona Mikeka ya watu ilivyochanika jana
  15. K

    JamiiForums Tanzania Anayelijua sShirika la Good Neighbors naomba kujua linajihusisha na Miradi gani nchini?

    Habari wapendwa. Katika kuhangaika kutafuta Ajira, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi mara kwa mara yakitolewa na Shirika linaitwa Good Neighbors Tanzania. Kwa anayelijua Shirika hili naomba anipe taarifa zake kuhusu shughuli zake na mishahara wanayolipa Wafanyakazi wake Asanteni
Back
Top Bottom