Arsenal wanatakiwa wawe na mbinu mbadala kwa hzi mechi 19 zilizobaki...tumeshaona waamuzi wanaokaa kwny VAR Wana changamoto kwny mechi zetu...vs Nyukesto...vs Villa...na hapa vs West Ham...Sasa ni kufanya vitu basics kwa usahihi...Zinchenko kuna mechi hatakiwi kuanza kabisa...hopefully Arteta atajifunza hili maana lile goli kosa limeanzia kwake...pili Martinelli anatakiwa aanze kutokea benchi maana ni kama uchovu umeshamvagaa...tatu tunahitaji striker this window....nne tunahitaji Midfielder....napata shaka ikitokea Rice ameumia aisee tutarudi kulekule