Anayelijua sShirika la Good Neighbors naomba kujua linajihusisha na Miradi gani nchini?

kengemajikwetu

Senior Member
May 12, 2022
158
669
Habari wapendwa.
Katika kuhangaika kutafuta Ajira, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi mara kwa mara yakitolewa na Shirika linaitwa Good Neighbors Tanzania. Kwa anayelijua Shirika hili naomba anipe taarifa zake kuhusu shughuli zake na mishahara wanayolipa Wafanyakazi wake
Asanteni
 
MAO au? Mana najua liko mwanza ni la social welfare
 
Habari wapendwa.
Katika kuhangaika kutafuta Ajira, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi mara kwa mara yakitolewa na Shirika linaitwa Good Neighbors Tanzania. Kwa anayelijua Shirika hili naomba anipe taarifa zake kuhusu shughuli zake na mishahara wanayolipa Wafanyakazi wake
Asanteni
Ni Shirika la KISHOGA la KOREA,lina kiofisi chake pale Boko Chama Dar,kazi yake kubwa ni KUHAMASISHA USHOGA vijijini likiahidi kusaidia wakulima vijijini kwa kuwapa pembejeo lakini kwa sharti wajaza Fomu wakikubali kwamba wao ni washiriki wa MAPENZI YA JINSIA MOJA,nalifahamu nje ndani mpaka Mkuu wao wa hapa nchini ni Mwanamke anaitwa Soni Jung namba yake ya simu ni 0785 105550,ni Shirika linaloeneza USHOGA MWANZA,KIGOMA,SONGWE huko nk
 
Aisee kumbe ni machoko ? Aiseee
 
Mkuu kama una ushahidi kwanini usiende kutoa taarifa na ushahidi kwenye wizara husika Ili wachukuliwe hatua?.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Huko kote wanakofanya Miradi yao uchwara ya kudanganya Wananchi kuna Serikali kuanzia ngazi ya chini kabisa,sasa kama hao watendaji wanapewa Pesa ili wakae kimya mimi mkulima baki wa kijijini nina uwezo wa kubadili nini??
 
Ni Shirika la KISHOGA la KOREA,lina kiofisi chake pale Boko Chama Dar,kazi yake kubwa ni KUHAMASISHA USHOGA vijijini likiahidi kusaidia wakulima vijijini kwa kuwapa pembejeo lakini kwa sharti wajaza Fomu wakikubali kwamba wao ni washiriki wa MAPENZI YA JINSIA MOJA,nalifahamu nje ndani mpaka Mkuu wao wa hapa nchini ni Mwanamke anaitwa Soni Jung namba yake ya simu ni 0785 105550,ni Shirika linaloeneza USHOGA MWANZA,KIGOMA,SONGWE huko nk
Utakua ulifukuzwa kazi hapo,umejenga chuki
 
Back
Top Bottom