Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,528
- 18,722
Huyo jamaa unae muombea mabaya huwa ana bahati sana ya kufunga
Natamani scott mctominay apate majeruhi
Natamani scott mctominay apate majeruhi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tumecheza pungufu wameshindwa kutufunga.
Mimi naamini Man U ni timu kubwa lakini si Man U ya sasa,mimi ni shabiki wa Man U lakini kwa game ya jana dhidi ya Liver aliye kwenye ubora tena nyumbani kwake ikiwa tumetoka kufungwa na Bournemouth 3-0 tena OT jana nlitegemea tungefungwa tu. Si sawa kushangilia draw ila kwa mimi kwa matokeo ya jana nmeridhika kabisaManyumbu hatuwapendi ila asanteni sana kwa kazi nzuri mliyofanya.
Tunawaombea muingie top four. UEFA bila nyumbu is boring!
Ila hii mentality ya kushangilia droo sio nzuri kwa timu kubwa kama nyumbu!
Kutakuwa kuna mgomo baridi pale. Jana wamecheza makinda.Mpira una maajabu sana,yaani unafungwa na Bournamouth OT,kisha unamdindia Liverpool Anfield!!kama naona Mikeka ya watu ilivyochanika jana
Wachezaji wengi ni majeruhi hivyo ilikuwa ni lazima wacheze makinda janaKutakuwa kuna mgomo baridi pale. Jana wamecheza makinda.
Liverpool wenyewe wachumba tuMpira una maajabu sana,yaani unafungwa na Bournamouth OT,kisha unamdindia Liverpool Anfield!!kama naona Mikeka ya watu ilivyochanika jana
Na dadakoNyie humu UEFA mmepangwa na nani?[emoji3]
Mumeo anatambua kuwa unapata homa kisa nyumbu ?Yaani napata homa
Juzi ulimzungumzia DIEGO RICO, LB wa Getafe. Kila ukiangalia Game za Hawa jamaa Umwone MASON unakutana na Jamaa anatoa Mechi kweli kweli!usiku wa jana wale wahuni wa el cholo wamelala na viatu,
View attachment 2847664
Mkuu unaandikia left brain maana sikuelewi, pointi unayo ila kuikamata ndio kaziJuzi ulimzungumzia DIEGO RICO, LB wa Getafe. Kila ukiangalia Game za Hawa jamaa Umwone MASON unakutana na Jamaa anatoa Mechi kweli kweli!
Nawazaga sana alishindwaje EPL, Jamaa msimu huu amekuwa mmoja kama sio Best LB kwenye La Liga.
Moja ya Maamuzi naweza sapoti Utawala unaokuja ni kama watafanya juu chini Huyu Dogo acheze tena UTD, Hii ni Sajili Mpya ya thamani ya zaidi ya 100m. Ni moja ya Maana halisi ya Generational. Blanc kazoea Kashfa akiweza isafisha ya Huyu Bwana atakuwa ameokoa Pesa Mingi sana za UTD
Feminists washenzi sana.usiku wa jana wale wahuni wa el cholo wamelala na viatu,
View attachment 2847664