Recent content by KATIZAJI

  1. KATIZAJI

    Nina mpenzi wangu

    Hivi siku hizi bado kuna jibu la aina hiyo?! Mi najua siku hizi inaitwa 'Gusa unate'!! Kwanza siku hizi nasikia hata maneno ya kutongozea yamepungua!!
  2. KATIZAJI

    Je,Wakili ni Mwanasheria?

    Wakili lazima awe mwanasheria, lakini mwanasheria sio lazima awe wakili.
  3. KATIZAJI

    Kozi ambazo ajira zake ni ngumu kupata

    Kusoma kwa malengo ya kuajiriwa ni sumu mbaya sana ambayo watanzania tumewekewa katika akili zetu. Hatusomi kwa ajili kuongeza upeo wa kupambana na maisha, bali kuajiriwa. Elimu yetu imeandaliwa kutufanya waajiriwa na sio waajiri!!!!! Au kuwa Wajasiriamali. Nchi hii ina madini na maliasili...
  4. KATIZAJI

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Hii ni baada ya uhuru sio 1947! Na hapa ni IPS Building!!!!!
  5. KATIZAJI

    Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo adanganya tena

    Lakini Rungwe haiko Mbeya mjini??!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  6. KATIZAJI

    Tujikumbushe mambo Enzi za Mwalimu

    enzi hizo '109' haikuwa gari ya kifahari. Jaribu ku-google uone gari za kifahari 1970s : Chrysler Imperial, Lincoln Continental (kama hii aliitumia Kwame Nkrumah), Buick Riviera, Cadillac Eldorado, Lincoln Mark V, Audi Coupe, Lamborghini Jalpa, na nyingine nyingi
  7. KATIZAJI

    IPE MANENO-Obama in Colombia

    Aisee! Hivi nilipokuteua kuja colombia, ulikuja bila suti?!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. KATIZAJI

    Wanawake fake!!....

    :shock::shock::shock::shock:
  9. KATIZAJI

    Gaddafi's Female Super Guard

    Samsoni na delila1 remember!!!!!
  10. KATIZAJI

    Kilewo: Rais usisaini muswada wa sheria ni hatari ukisaini kuliko unavyodhani

    Amani ipi iliyopo Tanzania?!!! Amani na Demokrasia ni pale ambapo mwananchi wa hali ya chini anaweza kupata huduma zote muhimu bila rushwa, anaweza kutoa maoni yake ya msingi bila kubugudhiwa, na kwamba KATIBA inamlinda na sio kuwalinda viongozi.
  11. KATIZAJI

    Nimerogwa na tiGO full LIMBWATA

    Umeshtuka nini na wewe!!!!!!!!!:eyebrows::eyebrows:
  12. KATIZAJI

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Uzuri wa ubaya wa Ghaddafi ndio huu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  13. KATIZAJI

    Miradi ya umeme

    Wataaalam wa umeme tunaomba watujuze; Hivi umeme wa gesi (Gas Plant) unaweza kutumika kama 'Continuous power' au 'Standby power'? Kwa nini TANESCO na Serikali wanang'ang'ania umeme wa gesi kama vile vyanzo vya umeme wa maji hakuna wakati vipo tele! Tena sio maji ya kusuasua kama Mtera! Makaa ya...
  14. KATIZAJI

    JK amekaa nchini miaka 4 ndani ya miaka 6 ya uongozi wake

    Hii inatisha! Ila kama gharama kwa kila safari ni Tsh. 200,000,000 na jumla ya safari ni 317, mtalii katumia Tsh. 63,400,000,000! na kama ni gharama kwa kila siku, ina maana kwa siku 634 ni Tsh. 126,800,000,000! Hii ni Dowans nyingine!
  15. KATIZAJI

    GE2010 Igunga: Mbunge kunywa sumu CCM ikishindwa

    Lusinde anafikiri kwa kutumia masaburi!!!!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom