Nimerogwa na tiGO full LIMBWATA

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,822
Jamani haya mapenzi nimeamini kuwa yanavunja mgongo.
Nashindwa kujielewa, ni limbwata gani nimepewa mwenzenu, kweli tiGO ni noma.
No network, no making calls, no sms services, not on air, yaani kero ni mwanzo hadi mwisho.
Najihisi nimelishwa limbwata, maana na kero zote nizipatazo, mimi bado nang'ang'ana nao tu.
Japani huyu pepo mchafu anayenishikilia na tigo kwa kweli anitoke, niweze hata kuhamia TTCL MOBILE.
 
Pole mtu wangu lakini unahakika kama huna sababu tamu za Tigo zinazo kufanya usichomoe kwao? ebu sema kweli mshirika Tigo nao wana mambo matamu ilobaki basi tu.
 
kwa wanaopenda urahisi hawawezi kuikimbia tigo kamwe!!
Hata iwe na matatizo gani bado wataendelea kuing'ang'ania!!:bange::bange::bange::bange::bange:
 
kwa wanaopenda urahisi hawawezi kuikimbia tigo kamwe!!
Hata iwe na matatizo gani bado wataendelea kuing'ang'ania!!:bange::bange::bange::bange::bange:
nina simu ya kichina a.k.a Zong Hwa Garden, a.k.a machozi bendi, a.k.a Ledi JD, inabeba line sita, lakini mbili tu ni za voda na eyatel, nne za tigo.
 
kwa wanaopenda urahisi hawawezi kuikimbia tigo kamwe!!
Hata iwe na matatizo gani bado wataendelea kuing'ang'ania!!:bange::bange::bange::bange::bange:

Kwanini mtu usihame wakati mitandao ipo kibao
 
Hapo mchague moja kuwa na mtandao usiokuwa na network au mbadilike
 
Mitandao yote nchini inazingua tu,wezi watupu. Wanatangaza ofa kibao na hawazitekelezi,mbaya zaidi hakuna hata wa kututetea. Kweli Tz shamba la bibi.
 
Back
Top Bottom