Miradi ya umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miradi ya umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KATIZAJI, Oct 17, 2011.

 1. KATIZAJI

  KATIZAJI Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wataaalam wa umeme tunaomba watujuze; Hivi umeme wa gesi (Gas Plant) unaweza kutumika kama 'Continuous power' au 'Standby power'?
  Kwa nini TANESCO na Serikali wanang'ang'ania umeme wa gesi kama vile vyanzo vya umeme wa maji hakuna wakati vipo tele! Tena sio maji ya kusuasua kama Mtera! Makaa ya mawe yapo, hatutaki kuyatumia kuzalisha umeme!
   
Loading...