Nyie wanaume acheni fikra zenu potofu wanawake Fake?Je wanaume Fake nao tusemeje.
Ndoa nyingi zinavunjika siku hizi kwa kukosa maadili si kwa kijana wa kiume na vivyo hivyo kijana wa kike.
Tunajitahidi sana kuwavumilia na maulevi yenu nyumba ndogo uchafu na kila aina ya uozo.lakini hamna lolote zaidi ya kuishia kutunyanyasa hovyo.I khali wote tunatoa michango katika Familia.
Hapo hapo akina mama siku hizi ndo tumekuwa waangalizi wa familia Kuanzia Chakula mavazi na School fees.Maana pesa zenu zinaishia kwenye hizo starehee zenu.Na kurudi usiku wa manane
Tena naawambia wanawake mwenzangu mulio kwenye ndoa jipodoee kadri ya uwezo wako vaa kadri uwezavyo na Beer kunywa kama munywaji ukiendekeza hawa viumbe utachakaa kuliko bibi yako alie kijijini.