Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,192
- 99,924
Nimeshauri wanunuliwe Vitz wamegoma!!!
Kumbe hatujaanza siku hizi serikali kutumia magari ya 'kifahari'! 109 enzi hizo lilikuwa kama V8 tu...
HOja ni kuwa vitz kwa barabara za vijijini utaiacha njianiNimeshauri wanunuliwe Vitz wamegoma!!!
HOja ni kuwa vitz kwa barabara za vijijini utaiacha njiani
Kumbe hatujaanza siku hizi serikali kutumia magari ya 'kifahari'! 109 enzi hizo lilikuwa kama V8 tu...[/QUOTE]
Wacha kabisa weweee!! 109 hadi leo ni gari ya kazi..Nenda minadani huko MANYARA uone inavyopiga kazi....Tangao la LAND ROVER wanasema 75% ya magari yao waliyotengeneza bado yako barabarani.
Yaani Mwalimu alikuwa katika gari ya kawaida kabisa ila imara na ya kazi. Siyo haya ma VX ya kileo yanazimika kwenye barabara za DAR ES SALAAM....
Mwalimu alipong'atuka Tanzania ilikuwa imepiga chini maendeleo au ilikuwa imepiga hatua kimaendeleo?Mwalimu akiwa kazini na watendaji wengine kuleta maendeleo ya Taifa
Uzalendo wake haupimiki..........................................
Mwalimu alipong'atuka Tanzania ilikuwa imepiga chini maendeleo au ilikuwa imepiga hatua kimaendeleo?
Kweli Mwalimu alikuwa mzalendo lakini aliiacha nchi ikiwa katika ufukara na foleni refu. Au ndio uzalendo na maendeleo yenyewe tuliyopata chini ya mwalimu?
Mwalimu aliamua kung'atuka baada ya fikra sahihi za mwenyekiti kugonga ukuta. Kosa la mwalimu aliongoza serikali kutokana na haiba ya mtu mmoja badala ya kujenga taasisi/ mfumo wa kitaasisi. Hili kosa bado linaendelea na hivyo hakuna chombo cha kumwajibisha mtendaji anapoboronga mambo.
Tuna safari ndefu kama Taifa. Hivi bado nchi yetu inafata sera ya ujamaa na kujitegemea?
Fikra zako wewe zikoje? Tumia uhuru wako wa mawazo, jieleze tufaidike na mchango wako.Hizo ni fikra zako, na ni upo sahihi kuwaza ufikiriavyo na uhuru wa mawazo...............
Fikra zako wewe zikoje? Tumia uhuru wako wa mawazo, jieleze tufaidike na mchango wako.
Kumbe hatujaanza siku hizi serikali kutumia magari ya 'kifahari'! 109 enzi hizo lilikuwa kama V8 tu...
enzi hizo '109' haikuwa gari ya kifahari. Jaribu ku-google uone gari za kifahari 1970s : Chrysler Imperial, Lincoln Continental (kama hii aliitumia Kwame Nkrumah), Buick Riviera, Cadillac Eldorado, Lincoln Mark V, Audi Coupe, Lamborghini Jalpa, na nyingine nyingi
Ufukara gani unauongelea mkuu, wa akili au rasilimali asilia?Mwalimu alipong'atuka Tanzania ilikuwa imepiga chini maendeleo au ilikuwa imepiga hatua kimaendeleo?
Kweli Mwalimu alikuwa mzalendo lakini aliiacha nchi ikiwa katika ufukara na foleni refu. Au ndio uzalendo na maendeleo yenyewe tuliyopata chini ya mwalimu?
Mwalimu aliamua kung'atuka baada ya fikra sahihi za mwenyekiti kugonga ukuta. Kosa la mwalimu aliongoza serikali kutokana na haiba ya mtu mmoja badala ya kujenga taasisi/ mfumo wa kitaasisi. Hili kosa bado linaendelea na hivyo hakuna chombo cha kumwajibisha mtendaji anapoboronga mambo.
Tuna safari ndefu kama Taifa. Hivi bado nchi yetu inafata sera ya ujamaa na kujitegemea?
Kumbe hatujaanza siku hizi serikali kutumia magari ya 'kifahari'! 109 enzi hizo lilikuwa kama V8 tu...
Acha utani bwana.......hilo lina bawaba kabisa milangoni litakuwaje sawa na V8 na halina hata AC.......NILICHUKIKUBALI HAPO NI YEYE KUTUMIA GARI LA MKUU WA WILAYA..........siku hizi mkuu akienda mafia shurti ile Merc S500 ibebwe nayo kwa ndege