siku hizi haipo sana...zamani nilikuwa nikisikia hivo napotezea naishiwa nguvu...ila baadae nikawa mzoefu hata nikisikia hiyo bado nafanikiwa kugegeda...siku hizi haaa limepotea aisee.....technology hiyoSalam Wakuu!
Kwa kweli miaka ya nyuma nilikuwa napata wakati mgumu sana ninapomtongoza mwanamke halafu anajibu simple tu 'Nina mpenzi wangu'
Nilikuwa nahisi kuishiwa nguvu mwili mzma Mwisho wa siku nakosa totoz kwa sababu stimu za kuendelea kumuimbisha zinakata kabisa!
Wenzangu mlikuwa mnasolve vp mkikutana na jibu kama hili?
Cku izi wanasema hawana mpnz sababu et wametendwaKatika pita pita zangu hilo neno sijalisikia mda mrefu kidogo
Nadhani siku hizi limeacha kutumika.
Itakuwa zamani hukuwa na pesa ila sasa unazoSiku hzi hawaniumiz kichwa kabisa mkuu
Salam Wakuu!
Kwa kweli miaka ya nyuma nilikuwa napata wakati mgumu sana ninapomtongoza mwanamke halafu anajibu simple tu 'Nina mpenzi wangu'
Nilikuwa nahisi kuishiwa nguvu mwili mzma Mwisho wa siku nakosa totoz kwa sababu stimu za kuendelea kumuimbisha zinakata kabisa!
Wenzangu mlikuwa mnasolve vp mkikutana na jibu kama hili?
Watoto wakike wapo wengi cku hzi, akidengua imekula kwakesiku hizi haipo sana...zamani nilikuwa nikisikia hivo napotezea naishiwa nguvu...ila baadae nikawa mzoefu hata nikisikia hiyo bado nafanikiwa kugegeda...siku hizi haaa limepotea aisee.....technology hiyo
Daah sa itakuaje, kuna binti mzuri maeneo ya home nimejaribu kumueleza ukweli kuhusu hisia zangu naye kajibu nna mpenzi wangu.. Ila sijakata tamaa namuhitaji kama wife wangu wa badaeMimi mwanamke akinijibu nina mpenzi wangu siendelei kutongoza kama simaanishi kwa sababu uhakika wa kumpata ni 100%, Bora akuambie yupo single ujue una competition
Asante mkuuacha moyo wa kukata tamaa, predators always get the prey they want hata azungukwe na madume.
Oh sio kirahisi hivo Mkuu utakuta demu umempenda balaa.. Ukifumba na macho unamuona yeye, akili yote inakushuhudia she is the one!Utakomaa nae vp wakat amekwambia anampenzi wake achana nae tafuta mwingne
Mpotezee kuhusu kumtongoza kabisa, we endelea kumsifia na kumsalimia, polepole utamsikia. Usiwe na haraka sana, Mwanamke kukupa moyo wake kwa anayejielewa huwa siyo haraka sana kivile, otherwise kama anatengeneza spare.Daah sa itakuaje, kuna binti mzuri maeneo ya home nimejaribu kumueleza ukweli kuhusu hisia zangu naye kajibu nna mpenzi wangu.. Ila sijakata tamaa namuhitaji kama wife wangu wa badae
Salam Wakuu!
Kwa kweli miaka ya nyuma nilikuwa napata wakati mgumu sana ninapomtongoza mwanamke halafu anajibu simple tu 'Nina mpenzi wangu'
Nilikuwa nahisi kuishiwa nguvu mwili mzma Mwisho wa siku nakosa totoz kwa sababu stimu za kuendelea kumuimbisha zinakata kabisa!
Wenzangu mlikuwa mnasolve vp mkikutana na jibu kama hili?
Hayo mambo ya kawaida sana.
Na mara nyingi mrembo anajiwekea mazingira ya kutosumbuliwa na kutoonekana rahisi/Maharage ya Mbeya.
Dawa kama una nia nae kweli, wewe endelea kuwa king'ang'anizi.
Baadae kinaeleweka.
Sio ukitolewa nje mara moja unakata tamaa.
Nikirudi kwako wewe muhusika, wewe kesi yako ni nyingine kwa kipindi hicho ilikuwa bado mgeni wa totoz.
Sio kesi, kawaida, mwanzo mgumu
Sasahivi amepata experience ya namna ya kuwaimbisha wenye watu waoTeh..Naona Umeamua uanze kabisa kuimbisha