Mkuu kama umewahi kuota na katika kuota hko ukawa unaona kabs kuna kitu Unafanya ila c katika hali ya ulimwengu wa kawaida bs tambua huo ndo ulimwengu wa roho.
@>Ila kumbuka ziko limwengu za roho kama mbili, moja ulimwengu wa roho wachafu na mbili ulimwengu wa Roho watakatifu. Xx utatambuaje...
Nahis makala hii umeiandika coz leo nane nane huna kazi.
>Nimefuatilia maada yako yote umeandika vitu vya kufikirika 2 wala c uhalisia na ungekuwa mjuzi kidogo kuhusu biblia inasema nn juu ya hawa watu unawaita wayahudi usingeandika pumba hizi . Pole xana.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.