Wanawake mtatuvunja viuno kwa hili.

Wanawake mtatuvunja viuno kwa hili.

Kwanza mwanamke ambae Sio pono star na amekupenda hata kama mtaenda 5 minutes atakuwa satisfied na atazidi kukupenda zaidi. Cha msingi mpende mwenzio na muandaane, michezo ya kitoto kwa sana, utaona maisha murwa tu hata kama unakibamia.
Wanaume tuache ku date/kuoa pono star utapoteza nguvu Zako na haliliziki.

Sent using Jamii Forums mobile app
watu wanaoa porno stars

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yuko sahihi wanaume tunajiharibu wenyewe... kuna demu ndani ya dk tano anakojoa mara mbili na kuna mademu wewe piga vumbi lako la kongo sugua 3hrs hamna kitu .utajimaliza nguvu tu ... una P ndogo tafuta inakofit siyo kulazimisha kuogelea kwenye mabwawa uishie kuitwa kibamia

Mkuu naonga mkono hoja na umeifanya siku yangu ya leo kuwa yenye furaha!
 
Kumezuka wimbi la hadithi nyingi za kutokuridhishana kingono wake kwa waume miaka ya hivi karibuni. Nimeona kushirikishane ujuzi juu ya hii dhana potofu na wana MMU.

Kwanza kabisa tujue jambo moja kwamba aina yeyote ile ya jambo likiwemo kuridhika (satisfaction) kibaolojia na kisaikolojia mzizi wake unaanzia kwenye ubongo (brain). Kwa maana hiyo basi ubongo ndio unaratabu kila aina ya maridhisho ( satisfactions ) na dereva pekee wa brain yako ni wewe. Ukitaka ubongo wako uamuru mwili uridhike mwili utatii, na vilevile ukitaka ubongo uamuru mwili usiridhike mwili utatii vilevile.

Walalamikaji wengi wa kutoridhishwa kingono hasa wanawake ni kwamba wameuamuru ubongo wao kutoridhika na vilevile mwili utaitikia kwa kutoridhishwa. Unaweza kungonoka na wanaume saba at once still bado usiridhike.

Kuna moja ya thread ilikua inasema " Hivi wanaume kwenda chini ya dakika 30 mnajielewa kweli ".
Ni kwamba huyu mwanamke ameu condition ubongo wake kwamba chini ya dk 30 haridhishwi hata kama atasuguliwa vipi chini ya hizo dakika hawezi ridhika, Kwa style hii wanawake mtatuvunja viuno.

Kwa wanaume sasa wakishasoma thread kama hizo wanapanic na kujihisi wana tatizo kama wanaenda kwa dakika chache ndipo Mavumbi ya Kongo yakavumbuliwa. Kwa wanawake nao wakisoma hizo thread wanaiambia akili
" Kusuguliwa chini ya dakika 30 kumbe hakuridhishi " akili kazi yake kutii tu utakavyojiambia, Michepuko inashamiri na ndoa kuvunjika kunapamba moto, na biashara ya sex toys inaingiza mapato manono na kulishana papuchi kunashamiri

Hii cycle ya kudanganyana inaendelea tu, wengine tunabaki watazamaji tu. Madhara makubwa yanatupata wanaume kwa kutumia madawa yasioeleweka tukidhani tiba kumbe tunalipua....!!

Wito kwa wanaume wenzangu

Tuungane kwa umoja wetu tuvunje hii cycle, Sugua dakika 5 kojoa, Geuka ukutani ..... Watatuuwa washenzi hawa, tutatalishwa papuchi hadi tushibe. Mke wangu mimi dakika nne nyingi ananisukuma hataki tena .... Wewe uliyeoa kahaba asiyeridhika endelea kubwia mavumbi uvumbike ipasavyo na bado utagongewa kwa kigezo cha kutoridhisha ....
HA?
 
Hizi tunaita fikra potofu.
Mimi napinga hii kauli yenu wanaume kusema mtavunjwa viuno.

Pia huo mimi naita ni uchoyo, ubinafsi, na kutojali kumbuka mwanamke naye ni binadamu na hisia za mwanamke huchelewa kupanda na hata kufika kileleni naye huchelewa kwa hiyo inahitajika kumuuanda mapema kisaikolojia tangu asubuhi na usiku mkafanya mapenzi kwa kuridhishana,

Kuna tabia ya wanaume ambayo wamekariri kuwa ni lazima upige bao nyingi ndio mwanamke aridhike hapana kikubwa ni maandalizi mazuri unaweza kupiga bao moja tu kwa muda mrefu na mwanamke akaridhika kabisa.

Pia mwanamke huandaliwa kwa dakika 40 mpaka saa 1
hata mtakapo ingia mchezoni hakika ataridhika.
 
yuko sahihi wanaume tunajiharibu wenyewe... kuna demu ndani ya dk tano anakojoa mara mbili na kuna mademu wewe piga vumbi lako la kongo sugua 3hrs hamna kitu .utajimaliza nguvu tu ... una P ndogo tafuta inakofit siyo kulazimisha kuogelea kwenye mabwawa uishie kuitwa kibamia
KWELI KABISA.
 
Tatizo shughuli huiwez unakuja kujiliwaza hapa.

Mwanaume ujuee bhanaa

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Kumezuka wimbi la hadithi nyingi za kutokuridhishana kingono wake kwa waume miaka ya hivi karibuni. Nimeona kushirikishane ujuzi juu ya hii dhana potofu na wana MMU.

Kwanza kabisa tujue jambo moja kwamba aina yeyote ile ya jambo likiwemo kuridhika (satisfaction) kibaolojia na kisaikolojia mzizi wake unaanzia kwenye ubongo (brain). Kwa maana hiyo basi ubongo ndio unaratabu kila aina ya maridhisho ( satisfactions ) na dereva pekee wa brain yako ni wewe. Ukitaka ubongo wako uamuru mwili uridhike mwili utatii, na vilevile ukitaka ubongo uamuru mwili usiridhike mwili utatii vilevile.

Walalamikaji wengi wa kutoridhishwa kingono hasa wanawake ni kwamba wameuamuru ubongo wao kutoridhika na vilevile mwili utaitikia kwa kutoridhishwa. Unaweza kungonoka na wanaume saba at once still bado usiridhike.

Kuna moja ya thread ilikua inasema " Hivi wanaume kwenda chini ya dakika 30 mnajielewa kweli ".
Ni kwamba huyu mwanamke ameu condition ubongo wake kwamba chini ya dk 30 haridhishwi hata kama atasuguliwa vipi chini ya hizo dakika hawezi ridhika, Kwa style hii wanawake mtatuvunja viuno.

Kwa wanaume sasa wakishasoma thread kama hizo wanapanic na kujihisi wana tatizo kama wanaenda kwa dakika chache ndipo Mavumbi ya Kongo yakavumbuliwa. Kwa wanawake nao wakisoma hizo thread wanaiambia akili
" Kusuguliwa chini ya dakika 30 kumbe hakuridhishi " akili kazi yake kutii tu utakavyojiambia, Michepuko inashamiri na ndoa kuvunjika kunapamba moto, na biashara ya sex toys inaingiza mapato manono na kulishana papuchi kunashamiri

Hii cycle ya kudanganyana inaendelea tu, wengine tunabaki watazamaji tu. Madhara makubwa yanatupata wanaume kwa kutumia madawa yasioeleweka tukidhani tiba kumbe tunalipua....!!

Wito kwa wanaume wenzangu

Tuungane kwa umoja wetu tuvunje hii cycle, Sugua dakika 5 kojoa, Geuka ukutani ..... Watatuuwa washenzi hawa, tutatalishwa papuchi hadi tushibe. Mke wangu mimi dakika nne nyingi ananisukuma hataki tena .... Wewe uliyeoa kahaba asiyeridhika endelea kubwia mavumbi uvumbike ipasavyo na bado utagongewa kwa kigezo cha kutoridhisha ....
Mwanaume wa Dar

Asante sana mkuu mimi sijaoa ila nimejifunza kitu hapa
 
Kitambi nona.
Sawa peter msechu tumekusikia. Ila wabaya sisi tutaendelea kwenda nao hadi dakik 50
 
watu wanaoa porno stars

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu ukitaka kujua kama watu wanaoa porno star, wanaume wanashinda wanahangaika kumridhisha mwanamke kwa game ya 30+minutes eti anahisi mwanamke ndo anakuwa satisfied mbaya zaidi anaiga kwenye video za porno kwa kuwa njemba inasugua kwa 30+dk. Wamesahau kuwa porno video imekuwa edited na ni game ya week Nzima ndo wanaunganisha kutengeneza single video clip Sasa cc wanaume tunaanza kuiga kupiga game kama Hao ma porno stars ni kuto kuwa na uwelewa juu ya sex.
Me nilisoma gazeti moja ndo lilifafanua juu ya hizo porno video kwamba ni game nyingi then zinakuwa edited na kutengeneza single clip.
Sasa waacha waige hizo game za porno star kwenye real life watakondeana Bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kwenye lile tendo sio lazima kufanya kwa masaa mawili, sifanyi kwa kuigiza hayo mengine tuwaachie kina mandingo tu.
 
Back
Top Bottom