Kusindikiza Watuhumiwa/Wanarumande kwa Ving'ora

Kusindikiza Watuhumiwa/Wanarumande kwa Ving'ora

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,712
Reaction score
8,769
Husika na mada tajwa hapo juu
Nauliza hii imekaaje kaaje kuwasindikiza watuhumiwa kwa ving'ora
Mkoa flani huku kanda ya ziwa naona ndo mtindo uliopo watuhumiwa wanapotolewa magereza kupelekwa mahakamani wanasindikizwa kwa ving'ora halafu mapolice yanabeba mabunduki makubwa ya kivita cha ajabu badala ya hizo bunduki kuzielekeza kwenye gari lililobeba watuhumiwa hao wanazielekeza sehemu za wananchi yani barabarani
Je huu sio udharirishaji kwa watuhumiwa manake ukisikia king'ora ujue jamaa wanapelekwa mahakamani au wanarudishwa jela

Wataalam wa sheria hili suala lipoje naomba kujuzwa manake haya maving'ora yao hawa police yanakera mnooo
 
Mkuu labda ni kwa ajili ya sababu za kiusalama zaidi
 
Back
Top Bottom