Mnishauri kuhusu huyu askari police

Mnishauri kuhusu huyu askari police

Ungekuwa na details kamili ukatafuta namna ya kuzishusha hapa, kesho Bwana Afande angetibiwa na angeshaacha uonevu. Hizi ni zama za IGP Sirro, huyu Mzee namuamini angetunyooshea huyo mtu.

Waulize Kibiti nani ndio IGP now, si uneona wako kimyaaaaa. Sasa na huyo Afande mwonevu nae angetulizwa

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
 
Habari za usiku wanandugu wenzangu.
Nirejee kwenye head line mimi namchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa hivi karibuni mungu akijalia mwezi wa 12 tunafunga pingu za maisha kiukwel tumetoka mbali ni zaidi ya miaka 10 tukiwa o' level mapaka sasa tuko kwenye mahusiano yeye yuko mkoa mwingini ndipo sehemu yake ya kazi na mimi niko dar ndipo ninapofanyia kazi tumeishi kwa amani sana na furaha kwa kila mtu kuchukulia madhahifu ya mwenzake kama sehemu ya mahusiano yetu.

Huyu mchumba wangu ni askari police kanieleza Mara kwa Mara manyanyaso anayoyapata katika sehemu yake ya kazi kuna mkuu wake wa kazi mmoja anamtaka kimapenzi imekuwa nikero kubwa sana tena sana amekwenda kwa matroni wa hapo kazini kwao kumueleza lakini hakuna msaada wowote ikabidi haende kwa mkuu wa kituo kabisa lakini kinachotokea ni kuteteana mabosi kwa mabosi hakuna hatua zozote zile zinazochukuliwa hinamuuma sana mpaka anakuwa wa kulia tu kutokana kina anakoelekea kuomba msaada hasaidiwi kabisa.

Kwazini uwa wanashift za kazi anajikuta anapangiwa shift kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 8 mchana hakuna kupumzika na by saa 12 anaingia dolia na nikinyume cha sheria za kaz na wenzao hakuna anayeingia shift ya hvyo na huyo police anamwapia kwa kumwambia mpka hatanyooka tu na mpaka atamkubari tu yaani anamfanyia visa sana kilichonokela zaidi ni leo yeye yuko off kuingia kazini mpaka kesho sasa huyo askari kamfuata nyumbani anamwambia haende kazini na wakati huo yeye yuko off na ratiba inaonyesha kesho ndio anaingia kazini na ""anamtambia cha moto utakiona na mpaka utanikubali tu na anamwambia maneno yasiyo kuwa ya msingi mpka kafikia hatua ya kutaka kuchukua maamuzi mabaya ya kujitoa roho kwa manyanyaso ya huyo mkuu wake wa kazi.

Wanajamvi nifanyeje mninashauri analia tu na pia mpka wafanyakazi wenzake wanalalamika kwa anavyofanyiwa mchumba wangu kesha sema mara nyingi kwa kiongozi wake wa juu hakuna mwiitikio wowote ule.
Kaka polesana..ila kazi hii hainatofauti na BAR MED...hawa wanawake MA PC...wanaonewa sana namabosi kimapenzi...wanagongwasana ..that's why wanaoana wao kwa wao..

Mwambie apeleke mashitaka yake kwa RPC..AKISHINDWA IGP....FULL STOP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna zaidi ya hicho ulichokiandika , kama kweli unampenda nenda wewe mwenyewe ukajionee mazingira ya kazi ya Mpenzi wako, muda akiwa hayuko kazini kuwa naye kwenye matembezi .

Jichanganye na maaskari wa kiume kwenye maeneo yao ya burudani utajifunza mengi yawezekana Mpenzi wako ANAKUDEKEA uongeze speed ya kuoa.
 
UHAMISHO UKISHINDIKANA MWACHISHE KAZI MWAMBIE AANDIKE BARUA YA KUACHA KAZI IKIBIDI UMUANDIKIE KABISA, HALAFU KAMA HALI YAKO KIUCHUMI INARIDHISHA BASI MPE MTAJI WA BIASHARA AMBAYO ATAWEZA KUIFANYA MFANYE BUSINESS..USISUMBUKE AKILI NA HAO WANYATIA WAKE NA WAPENZI WA WATU, FIKIRIA KAMUONA HUYO, JE KABLA YAKE ASKARI WA KIKE WANAOKUJA AMESHATEMBEA NAO WANGAPI AMBAO WALIKUBALI NA KAMA ANA UKIMWI JE HAPO UNAKUA UMEMPOTEZA MKEO..TAKE ACTION.
 
Hakuna sehemu mbaya wanawake wanaliwa kimapenzi kama jeshini Kyle jwtz mademu huliwa Na maboss kama vile tambu mdomoni

Ole wake akatae atatumikishwa kwa kazi zisizokua Na kuchwa wala miguu hadi atakubali

Ukioa demu police jwtz. Ni shida ukubali kupigiwa pumbu Na wivu uwache
 
Habari za usiku wanandugu wenzangu.
Nirejee kwenye head line mimi namchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa hivi karibuni mungu akijalia mwezi wa 12 tunafunga pingu za maisha kiukwel tumetoka mbali ni zaidi ya miaka 10 tukiwa o' level mapaka sasa tuko kwenye mahusiano yeye yuko mkoa mwingini ndipo sehemu yake ya kazi na mimi niko dar ndipo ninapofanyia kazi tumeishi kwa amani sana na furaha kwa kila mtu kuchukulia madhahifu ya mwenzake kama sehemu ya mahusiano yetu.

Huyu mchumba wangu ni askari police kanieleza Mara kwa Mara manyanyaso anayoyapata katika sehemu yake ya kazi kuna mkuu wake wa kazi mmoja anamtaka kimapenzi imekuwa nikero kubwa sana tena sana amekwenda kwa matroni wa hapo kazini kwao kumueleza lakini hakuna msaada wowote ikabidi haende kwa mkuu wa kituo kabisa lakini kinachotokea ni kuteteana mabosi kwa mabosi hakuna hatua zozote zile zinazochukuliwa hinamuuma sana mpaka anakuwa wa kulia tu kutokana kina anakoelekea kuomba msaada hasaidiwi kabisa.

Kwazini uwa wanashift za kazi anajikuta anapangiwa shift kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 8 mchana hakuna kupumzika na by saa 12 anaingia dolia na nikinyume cha sheria za kaz na wenzao hakuna anayeingia shift ya hvyo na huyo police anamwapia kwa kumwambia mpka hatanyooka tu na mpaka atamkubari tu yaani anamfanyia visa sana kilichonokela zaidi ni leo yeye yuko off kuingia kazini mpaka kesho sasa huyo askari kamfuata nyumbani anamwambia haende kazini na wakati huo yeye yuko off na ratiba inaonyesha kesho ndio anaingia kazini na ""anamtambia cha moto utakiona na mpaka utanikubali tu na anamwambia maneno yasiyo kuwa ya msingi mpka kafikia hatua ya kutaka kuchukua maamuzi mabaya ya kujitoa roho kwa manyanyaso ya huyo mkuu wake wa kazi.

Wanajamvi nifanyeje mninashauri analia tu na pia mpka wafanyakazi wenzake wanalalamika kwa anavyofanyiwa mchumba wangu kesha sema mara nyingi kwa kiongozi wake wa juu hakuna mwiitikio wowote ule.

Ili kuimarisha Ulinzi na Usalama katika Taifa letu, na kwasababu ni jukumu letu wananchi kuhakikisha tunaitunza amani yetu, hizi hapa ni namba za makamanda wa polisi mikoa yote na kanda zote Tanzania. Toa taarifa sahihi ya uvunjifu wa amani au viashiria vya uvunjifu wa amani, au mashaka na mtu au kundi la watu wenye kupanga uhalifu au mtu/watu wanaotafutwa na Jeshi la Polisi.

RPC MWANZA 0715009949

RPC MTWARA 0715009948

RPC MOROGORO 0715009946

RPC IRINGA 0715009921

RPC SINGIDA 0715009959

RPC TABORA 0715009961

RPC KAGERA 0715009916

RPC TANGA 0715009963

RPC MBEYA 0715009931

RPC RUVUMA 0715009956

RPC DODOMA 0715009914

RPC KIGOMA 0715009915

RPC ARUSHA 0715009912/0754380176

RPC MANYARA 0715009929

RPC KINONDONI 0715009976

RPC KANDA DAR 0715009983

RPC NJOMBE 0658376495

RPC SIMIYU 0658376481

RPC ILALA 0715009980

RPC TEMEKE 0715009979

RPC GEITA 0658376488

RPC SHINYANGA 0715009957

RPC KASKAZIN UNGUJA 0715009918

RPC KUSIN UNGUJA 0715009925

RPC KUSINI PEMBA 0715009924

RPCLINDI 0715009927

RPC MARA 0715009930

RPC TARIME LOLYA-RPC 0715009964

RPC PWANI 0715009953

RPC KILIMANJARO-0715009923

RPC RUKWA 0715009954

RPC Songwe 0677025491

RPC Katavi 0658777778
 
Sasa kuwaza kujiua na kuacha kazi kipi bora? Yy Anaona bora kujiua kuliko kuacha kazi? Si bora huo muda aliovumilia angekusanya kamtaji akajishika muda alioacha kazi. Kuna watu wanachangamoto zaidi yake na hawawazi kujiua, yeye anakazi, Ana mchumba mwenye ajira bado anawaza kujiua duuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aende Kwa Mkuu Wa Mkoa Maana Ma Rc Wako Hot Sana Wanasaka Dili Kama Hzi Wazifanyie Kaz Kama Angekua Dar Au Arusha Mbona Ingekua Poa Sana Maana Hao Ndo Ma Rc Wa Mfano Tz Nzima
 
Kuacha Kaz Co Suluhu Ya Hilo Jambo Hyo Mkuu Wake Mbona Anakamatwa Kama Kuku Tu
 
amfanyie mitego yote awe na ushaidi wa kutosha akamshtaki sidhani kama mabosi wote ni mafedhuli
 
Ukishakua na askari hayo ni kawaida..kaza moyo tena mwambie aache kukusimulia yanayomsibu huko kazin kwake...
Cha kufanya funga ndoa tu inawezasaidia kwa kiasi fulani..
Sababu tayar iitaonekana ni mke wa mtu
 
Iko hivi: Kwenye sehemu yoyote ya kazi {serikalini} haikosekani sehemu ya kupeleka malalamiko labda iwe sekta binafsi, na muundo wa kijeshi hufuata utaratibu wa ngazi kwa ngazi {chain of command} au taratibu nyingine. Kwahiyo yeye kupeleka malalamiko yake kwa matroni lazima ajue kuwa huyo matroni sio mtu wa mwisho au labda iwe kwa Matroni wa Polisi yote. Inatakiwa afuate ngazi nuingine kupeleka malalamiko yake na ikishindikana aende Wizarani, naamini atapatiwa ufumbuzi wa tatizo lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya vitu baba yangu alikua ananiusia kabla sijaoa ni kutooa askari
 
Nakosa la kukushauri ndugu yangu maana maboss walio ofisi moja wanalindana na akienda ngazi za juu ataulizwa kama alipitia chini.
Muhimu apeleke malalamikog yake kwa maandishi na hata akienda ngazi nyingine awe na Nakala.

Au anapopeleka malalamiko ngazi ya chini basi na ngazi ya juu apeleke Nakala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kijana ila polisi huwa wanawezana kuoana wenyewe kwa wenyewe mara nyingi wakubwa huwa wanawafanyia INTERVIEW mara ya pili nje ya kazi kuoa polisi ni mateso tu labda mkeo awe na cheo la sivyo ni chakula cha wakubwa haswa wakiwa depot au lindo
 
Back
Top Bottom