ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,426
- 24,148
mkuu umeandika vyema.Niliahidi kumalizia kwa kusema Wayahudi siyo Miungu.
Wanashindwa sana na Wataendelea kushindwa tu (Hakuna namna)
Wala katika hili usidanganyike kabisa: Maana ukiamini haya ya maneno ni lazima utajiona kama wewe huna maana yoyote ile hapa duniani. (Hili siyo kweli)
Tatu,
Hili ni la mwisho linahusu mada hii (WAYAHUDI HAWASHINDWI)
Hili halina ukweli wa Kihistoria na Kijamii: Hakuna mwanadamu asiyeshindwa. Kushindwa kumuwekwa na MUNGU MUUMBA kwa madhumuni yafuatayo:
1. Kumkumbusha mwanadamu yeye ni nani mbele za MUUMBA wake.
-Kuna mambo yanatushinda na kama binadamu lazima tuombe msaada kwa Mungu.
2. Kumfanya mwanadamu awe anajiithamini kila siku (Asibweteke)
- Baada ya kushindwa mwanadamu ndiyo hujua ni jinsi gani unapwaya na ukaze buti. Hivyo wanasema FAILURE MOTIVATES YOU, na Historia inasema kwamba watu waliofanya makubwa duniania hapa wana kumbukumbu nzito ya kushindwa sana.
3. Kumfanya mwanadamu awe na heshima kwa binadamu mwenzake.
-Leo hii kuna msemo unasema huwezi kuwa mzuri katika kila kitu (NO BODY IS SELF-SUFFICIENT) unaposhindwa huwa tuna kawaida ya kuomna msaada kwa binadamu wengine na hili hutusaidia kujenga mahusiano na kuheshimiana.
- Hili linaanzia kwenye ngazi ya MTU BINAFSI, KIJAMII, KITAIFA hadi KIUKANDA. Mwanauchumi maarufu David Ricardo alishawahi kusema kwamba kila nchi duniani hata iwe Masikini kivipi ni lazima ina kitu cha pekee ambacho taifa kubwa linakihitaji. Hii inaitwa THE COMPARATIVE ADVANTAGE THEORY.
Wanadamu tunahitajiana kwasababu hakuna mtu ambaye ni KISIWA (NO MAN IS AN ISLAND)
NB: Kuhusu WAYAHUDI kutokushindwa ni PROPAGANDA za WAZAYUNI kama BENJAMIN NETANYAHU. Hebu tufanye rejea fupi ya historia ya WAYAHUDI kupima ukweli wa hii mada yako. WAYAHUDI wako duniani kote kwasababu WALISHINDWA kulinda ardhi yao dhidi ya UVAMIZI WA MATAIFA MBALI MBALI. Na tofauti na hotuba hii, Wayahudi walishindwa kulinda nchi yao hata wakati wana jeshi kubwa lenye nguvu:
1. Mwaka 605 K.B Mfalme Nebukadneza aliupiga Ufalme wa Misri ambao ndiyo alikuwa mshirika (MILITARY ALLY) wa Kijeshi wa Ufalme wa Yuda: Farau Necho alipigwa sana na Babeli hadi kupelekea Babeli kuvamia Yuda na kuwachukua nchi nzima Utumwani. Mfalme wa YUDA Yehoyakim aliuawa pamoja na watoto wake wote wa kiume. (HAPA WALISHINDWA)
2. Mwaka 538 K.B Mfalme Koreshi (CYRUS THE GREAT)wa Ufalme wa UMEDI na UAJEMI (PERSIAN EMPIRE) alivamia Ufalme wa Babeli na kuwakuta WAYAHUDI bado wako utumwani. WAMEDI ndiyo waliowasaidia WAYAHUDI kurudi kwao na kuanza kujenga upya hekalu la Mfalme SULEIMAN. (WALIPEWA MSAADA)
3. Mwaka 332 K.B Mfalme Alexander Mkuu (Alexander the Great) alivamia Ufalme wa UMEDI na UAJEMI na kuwakuta WAYAHUDI bado wapo utumwani. Alitoa amri YUDA ichomwe moto na wauwawe kwasababu WASAMARIA waliwachongelea ndugu zao. Lakini kuhani SIMON alienda kumpigia magoti mfalme Alexander na kumwambia sisi WAYAHUDI huwa tunawaombea WAFALME wote amani. YUDA kwa sasa iko chini ya MAKEDONIA basi hata wewe tunakuombea amani. Alexander alipewa kitabu cha UNABII WA DANIELI na kuelezwa kwamba Yeye ndiye ule UFALME WA TATU wa SHABA na hakika atamshinda mfalme DARIO kwenye vita. Hili kwenye vitabu vya historia huwa hawalisemi sana lakini Alexander alifurahi sana baada ya kusikia hayo na kuamua kwenda kutoa sadaka ya kuteketezwa kama tamaduni za WAYAHUDI zilivyo na kumshukuru MUNGU. (HIYO NDIYO IKAWA PONA YAO)
4. Baada ya Kufa Alexander Ufalme uligawanyika vipande vinne. YUDA ukawa chini ya Misri (PTOLEMAIC DYNASTY) lakini baadae Ukavamiwa na kuwa chini ya SELUSIDI (SELEUCID EMPIRE) mwaka 164 K.B. Hapa walifanikiwa kujipatia uhuru kwasababu WAYUNANI walikuwa hawana nguvu sana na wameganwanyika, WAYAHUDI walianzisha vita ya msituni wakiaongozwa na Familia ya Makuhani inayoitwa THE MACCABEES. Wakafurahia Uhuru kidogo sana mwaka 63 K.B. Warumi walivamia YUDA na kuwafanya koloni mwaka 70 A.D Kaisari TAITUS aliwaharibu Wayahudi ambao walitaka kujitoa kwenye Dola la RUMI.
5. Baada ya RUMI kuanguka mnamo Karne ya 4 A.D basi Waislamu wakina Caliph Umar Ab Bakr walifanya yao na kuichukua YERUSALEM. Mnamo Karne ya 11 na 12 Sultani Salahadeen alifanikiwa kuwashinda Wanajeshi wa Kikristo (Crusaders) na Kuifanya YUDA nchi ya Kiislamu. Wayahudi wakakimbilia ULAYA, ASIA na AFRIKA.
6. Iran, Hezbollah na Hamas wanawota jasho sana: Kumbuka kilichowakuta mwaka 2006 na 2007. Leo hii Israeli bila Marekani sijui kama anaweza kuwa na nguvu ya kupiga kelele nyingi hata kama ana jeshi lenye nyuklia. Watamminya tu wale Waarabu. Yeye mjanja kalijua hilo ndiyo maana siku zote hawezi kufanya kitu bila kuongea na Marekani.
John Kennedya alistisha misaada ya kijeshi nchini Isreal na wanasema wataalamu hali ingekuwa mbaya sana kwao kama angeendelea kuwepo hai.
Maana katika vipindi vyote kipindi cha Kennedy Mashariki ya kati kulikuwa na amani sana. (Walinyimwa silaha za kufanyia vurugu kama leo)
NB: Kipindi cha Adolf Hitler na kipindi cha Joseph Stalin hadi kufikia mwisho wa vita ya pili ya dunia WAYAHUDI walikiuwa wanauwawa sana tu.(HOLOCAUST and POGROMS) lakini ukweli ni lazima usemwe kwamba WAYAHUDI waliokolewa na mataifa makubwa na siyo wao wenyewe. HAPA WALISHINDWA KABISA: USSR, USA na UK ndiyo zilizomzuia HITLER na WANAZI wasiwafutilie mbali hawa WAYAHUDI. (HUU NDIYO UKWELI WENYEWE)
Sasa kushindwa kila mtu anashindwa sana
Lakini cha muhimu ni unachukuliaje kushindwa kwako. Je, unafanya yale niliyosema hapo juu:
1. Unamkumbuka muumba wako?
2. Unajitathmini na kukaza buti?
3. Unashirikiana na wanadamu wenzako kutatua matatizo yenu (YAKO) ?
Waafrika hapa tumeshindwa kabisa.
Tulitawaliwa na Wazungu na mpaka leo tumepotea njia yetu (Tunajiona hatuwezi)
Lakini hata leo hii TUKIJITAMBUA basi kushindwa kwetu kutakuwa ni CHACHU YA MAENDELEO YETU. (CATALYST FOR CHANGE AND DEVELOPMENT)
Mfano hai kabisa:
Wajerumani walishindwa VITA YA PILI YA DUNIA ya mwaka 1939-1945.
Lakini ndani ya miaka Ishirini tu walirudi kuwa matajiri kuliko hata UFARANSA, UINGEREZA na URUSI ambao walilipua sana UJERUMANi mwaka 1945. Wajerumani WALIJITAMBUA na hata katika yote walikumbuka wao ni wakina nani. Kama mababu zao OTTO VON BISMARCK na HENRY VON MOLTKE walifanikiwa huko nyuma basi kushindwa kwa HITLER kulikuwa ni tone la damu baharini.
Waziri moja wa UFARANSA alishawahi kusema kwamba "WE HAVE NUCLEAR BOMBS BUT GERMANS HAVE THE DEUTSCHMARK (SARAFU YA UJERUMANI" kwamba sisi tuna masilaha mazito lakini wenzetu wana sarafu imara.
Kilichoinua UCHUMI wa UJERUMANI kilikuwa ni Msaada kutoka serikali ya MAREKANI unaoitwa THE MARSHALL PLAN.
Mfano wa pili:
Wajapani walipigwa na yale mabomu kule NAGASAKI na HIROSHIMA lakini leo hii wako wapi? Jenerali wa jeshi la Marekani Douglas McArthur alisema " Wajapani walishindwa vita vibaya sana, tukawalipua na mabomu lakini ni pamoja na kushindwa kwao ni watu wenye kujitambua sana, wanaheshimu tamaduni zao. Hakuna siku ambayo sijaona Wajapani wakitamani kujifunza kitu kipya kutoka kwetu sisi Wazungu" Leo hii sisi Waafrika tumeshindwa hata kusoma alama za nyakati tu. Utajiri wetu unatumika kuwanufaisha wachache sana: Ni lazima tukumbuke kwamba kushirikiana na Wazungu waliotutawala hakutatufanya tuonekane wajinga wala kuuza Uhuru wetu. (Kila ushirikiano una mipaka na viongozi wetu ni lazima wayajue haya)
NB: Ikumbukwe miaka ya 1980's Uchumi wa Marekani uliyumba sana hadi kupelekea fikra kwamba wanaenda kushindwa VITA BARIDI. Lakini Serikali ya RONALD REAGAN ilipewa msaada wa mikopo kutoka Serikali za UJERUMANI na JAPAN (MATAIFA YALIYOSHINDWA VITA YA PILI YA DUNIA). Wasingetoa ule msaada basi leo hii historia ingekuwa tofauti kabisa: Warusi wangeshinda VITA BARIDI.
Hivyo basi hata sisi WAAFRIKA tuna kitu cha kujifunza katika hili.
Tusiamini hizi PROPAGANDA na WONGO kwamba WAYAHUDI au WAZUNGU wana vitu vya tofauti na sisi. Hilo halipo kabisa leo hii hebu waangalie WACHINA wanavyopiga hatua hadi kuogopesha mataifa ya Magharibi.
Namalizia kwa kutoa nukuu hii ya Mfalme Napoleon Bournaparte wa Ufaransa kuhusu UCHINA mnamo karne ya 19. Alikuwa na wanajeshi wake akaiangalia ramani ya dunia na kuionyesha UFALME WA CHINA (QIN DYNASTY) akasema " CHINA IS A SLEEPING GIANT, LET IT SLEEP. FOR WHEN IT AWAKENS IT WILL SHAKEN THE WORLD" . Leo hii tunaona kinachotekea baada ya Uchina kuamka. Hata mimi leo nasema AFRICA IS A SLEEPING GIANT, WHEN WE AWAKE THE WORLD WILL TREMBLE" hata wazungu wanajua hili.
Shida ni kwamba HATUJITAMBUI, tumelala na kuridhika.
CC: culture gal , izzo , MSEZA MKULU , Red Giant , Mshilu , Kingdom_man , Juma chief, Mzee Mukaruka
Mkuu nimefuatilia tangu mwanzo ulipo anzia hadi hapa. Umetoa maelezo na mifano mingi sana ambayo mingi kati yake ni hai kabisa.Niliahidi kumalizia kwa kusema Wayahudi siyo Miungu.

Mkuu nimefuatilia tangu mwanzo ulipo anzia hadi hapa. Umetoa maelezo na mifano mingi sana ambayo mingi kati yake ni hai kabisa.
Mifano ulio itoa ambayo ulitumia visa vya kimaandiko katika biblia, ulitakiwa kwanza kuangalia chanzo cha kisa husika.
Lakini hili ulichokiandika kitafanikiwa sana kuteka fahamu za wale ambao si wasomaji wa biblia kwasababu hapa umetoa fact kabisa ambazo kwa mtu anayezipata habari hizo kwa Mara ya kwanza na bila kuelewa vyanzo vyake huwezi kupinga hata kidogo.
Lakini kwa wasomaji wa biblia na wafuatiliaji wazuri wa visa hivi tangu kwa ISRAEL mwenyewe (Yakobo), vitabu vya manabii, Injili hadi Ufunuo.
Atagundua udhaifu uliokuwa nao mapema sana. Kwasababu visa vyote ulivovitumia humu kama mifano vina chanzo chake.
Labda kama utaweza kugundua na kujaribu kunielewa jikumbushe hapa.
Joshua 1,1-10.
Hongera umejitahidi kutoa ufafanuzi mzuri kwa kadiri ya uwezo wako.
Unahangaika na udini badala ya kujiandaa kulea wanao ktk njia itayowafanya wajitambue,Madina was a jews country . Kulikuwa na mfalme wa kiyahudi
Walikuwa majority
Ulikuwa mji wao wa kujidai kwani jerusalam walishafukuzwa zamani.
Mtume aliwashinda wakatokomea mpaka leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanadumu sababu wanajifunza kutokana na makosa na wanaishi marekebisho ya makosa yao ya janamkuu umeandika vyema.
israel sio maroboti.
hata yesu aliwatabilia mathew 24 kichapo walipigwa vibaya sana na general nero 70ACE.
hawana kinga ya muda wote kama mtu yoyote duniani.
Quite InformativeMaisha ya mwanadamu yana maswali matano tu:
1. Mimi ni nani?
2. Mimi nimetokea wapi?
3. Kwanini nipo hapa?
4. Nini natakiwa kukifanya pindi nipo hapa naishi na kwa malengo yapi?
5. Mwisho wangu ni upi, naelekea wapi?
Haya Maswali yapo tangu kuanza kwa huu ulimwengu.
Waliofanikiwa kuyajibu ni wachache sana na walipoweza kuyajibu (The World Trembled)
Walijitambua na wakaishi maisha yenye maana (LIFE WITH A PURPOSE)
Somo la Baiolojia linatufundisha kwamba Mwanadamu ni kiumbe hai kama walivyo wengine:-
1. Anazaliana (Reproduction and Procreation)
2. Anatembea (Movement)
3. Anakua na kuendelea (Growth and Development)
4. Wanaishi kutokana na Mazingira (Respond to Stimuli)
5. Mwili wake umeundwa kwa chembe-chembe ndogo sana (Cellular Build Up)
6. Anaendana na mazingira (Adaptation)
Lakini kuwa Kiumbe hai ni jambo moja na kuwa Mwanadamu ni jambo jingine kabisa.
Sifa kuu ambayo hatuwafundishi watoto zetu mashuleni ni kwamba maisha ya mwandamu ni lazima yawe na LENGO : Hili ndilo linatufanya sisi tuwe tofauti na wanyama, ndiyo maana wengi hufa wakiwa na MAJUTO sana na wanasahaulika pindi tu msiba unapoisha. (Ni kiumbe hai lakini siyo mwanadamu kwasababu tu ameshindwa KUJITAMBUA) Lakini wengine huendelea kuishi hata pindi wakizikwa. (Purpose lives on)
NB: Wanafalsafa kama SOCRATES waliweza kuyajibu hayo maswali ya juu (WALIJITAMBUA) ndiyo maana hata watu wa ATHENE walivyomwadhibu afe alichukua sumu akanywa mwenyewe akafa huku anazungumza na wafuasi wake. (Death and Fear becomes meaningless at this point of Self-Discovery)
Find your own answers and BECOME A HUMAN BEING.!!!!
Mm najitambua sana..hapo kuna udini au huelewi mada ?Unahangaika na udini badala ya kujiandaa kulea wanao ktk njia itayowafanya wajitambue,
Huu ndo ujinga wa fikra za kitumwa,madina madina we vp wewe amka mwafrika wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu ukiwa kichwa panzi huambulii kitu
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Tafsiri ya haraka haraka ni hii:
Nilikaribia kulia nilipokuwa nasoma hotuba hii ya Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu,
lakini mwishowe nikasema, Utukufu apewe Mungu.
Hebu tusome kwa pamoja sasa.
Ndg Netanyahu alisema:
Ni miaka 70 tu iliyopita wayahudi walichukuliwa kwenda kuchinjwa kama kondoo.
> miaka 60 iliyopita!
> hatukuwa na nchi. Hatukuwa na jeshi.
Mataifa saba ya kiarabu yakatangaza vita dhidi ya taifa dogo la kiyahudi, muda mfupi tu tangu kuasisiwa kwa taifa hili!
> tulikuwa wayahudi mia sita hamsini dhidi ya ulimwengu wote wa nchi za kiarabu!
> Hapakuwa na IDF (Jeshi la Ulinzi la Israeli)
Hapakuwa na jeshi la anga, bali watu mashujaa wasio na msaada.
> nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Jordan, Misri, Libya, Saudi Arabia
> zote zikatushambulia kwa wakati mmoja.
> nchi tuliyopewa na Umoja wa Mataifa ilikuwa jangwa kwa % 65.
> vyovyote nchi haikuwa nchi!
> miaka 35 iliyopita! Tulipigana dhidi ya majeshi matatu yenye nguvu
> majeshi yenye nguvu mashariki ya kati, na tuliyafagilia mbali ndani ya siku sita.
Tumepigana dhidi ya muungano na ushirika mbali mbali wa nchi za kiarabu, zilizokuwa na majeshi ya kisasa na silaha za kivita za kirusi, na daima tumewapiga!
Leo hii tuna:
> nchi,
> jeshi,
> kikosi cha anga chenye nguvu,
> uchumi imara, wenye kutoa mamilioni ya dola(hela za kimarekani).
> intel - Microsoft - Ibm wanazalisha bidhaa zao hapa nyumbani.
> madaktari wetu wa kiyahudi wanapokea tuzo mbalimbali kutokana na tafiti zao katika tiba.
> tumeifanya nchi ya jangwa kustawisha, tunauza machungwa, mauwa na mboga za majani duniani kote.
> Israeli imetuma satelaiti zake yenyewe angani!
> satelaiti tatu kwa wakati mmoja!
> Tuna jipongeza kwa kuwa tuko hadhi moja pamoja na mataifa ya:
> Amerika, yenye watu milioni 250.
> Urusi, yenye watu milioni 200.
> China, yenye watu bilioni 1.3
> nchi za ulaya- Ufaransa, Uingereza, Ujerumani, zenye wakaazi milioni 350.
> nchi pekee duniani ambazo hutuma vyombo vya uchunguzi anga za mbali!
> Israeli kwa sasa ni sehemu ya familia ya nchi zenye nguvu ya kinyukilia,
> pamoja na Amerika, Urusi, China, India, Ufaransa na Uingereza.
> (hatujakiri rasmi, ila kila mmoja anajua)
> miaka 60 tu iliyopita,
> tulikokotwa, kwa aibu, pasipo tumaini, tulikokotwa kwenda kuchinjwa!
> Tumeong'oa dalili za maumivu ulaya,
> tumeshinda vita vyetu hapa tukiwa hatuna kitu
> tumejijengea ufalme pasipo chochote.
Hamas ni nani wa kututisha?
> kunitishia mimi?
> unanichekesha!
> Pasaka ilishatimilika;
> Tusisahau haya:
> Tulimshinda Farao
> Tuliwashinda wayunani
> Tuliwashinda waroma
> Tulishinda majaribu huko Uhispania
> tulishinda machafuko na mauaji huko urusi
> tulipenya kwa Hitler
> tulishinda wakati wa Ujerumani
> tulishinda mauaji ya kimbali,
> tulishinda dhidi ya majeshi ya mataifa saba ya kiarabu,
> tuliokoka wakati wa Saddam.
> Tutawashinda maadui zetu wa sasa.
Hebu tuangalie historia!
Angalia historia ya wayahudi.
> hali haijawahi kuwa tulivu kwetu.
> tutaukabiri ulimwengu.
Tukumbuke:
> mataifa au makundi yote waliojaribu kutuangamiza,
> hawako tena bali sisi tupo tuhai tunaishi!
> Misri
> Uyunani
> Alekzanda wa Makedonia?
> waroma?(jiulize siku hizi kuna taifa wanaozungumza lugha yao ya kilatini?)
> utawala wa kijerumani (1945)?
> Tuangalie sisi,
> Taifa la Kiblia,
> watumwa wa wamisri,
> bado tungalipo,
Na bado tungali tunaongea lugha ile ile!
> wakati ule hadi leo hii!
> Waarabu bado hawajajua,
> ila watajifunza kwamba yuko MUNGU.
> ili mradi tunajitambua uasili wetu, tuko milele.
Kwa hiyo hatuogopi
> msilie
> msiogope
> hali ni nzuri itaendelea kuboreka.
Pamoja na hayo:
> usiamini vyombo vya habari,
> haviwapasheni,
> mambo yanaendelea,
> watu wanaishi,
> watu wanazidi kuja, wanakuja kuona rafiki zao.
Naam, morali wetu umeshuka.
> ili iweje?
Ni kwa sababu tunaombolezea vifo vyetu huku adui akifurahia umwagaji wa damu.
> na ndiyo maana hatimaye tutashinda.
*Usilale, usilale mlinzi wa Israeli! Yahweh Mungu wa Abraham, Isaka na Yakobo.*
Sambaza hotuba hii kwa jamii yote,
> na kwa watu wote duniani.
> wao ni sehemu ya nguvu zetu.
*_Sambaza kwenye mitandao yote na kwa rafikizo_*
_(Imetafsiriwa na eedoh05)_