K/Katibu Mkuu UVCCM Shaka H Shaka azidi kurindima Mkoani Kigoma

Mondoros

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
629
472
Kigoma tar 17/07/2017

Ndg:Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka Mapema ya leo ametembelea Kituo cha Afya katika kijiji cha Nguruka wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma.

Akiwa Zahanati hapo Amekagua ujenzi wa wodi mpya na kukagua wodi mbalimbali za zahanati hiyo,kugawa zawadi kwa wagonjwa kisha akawahakikishia wahudumu wa zahanati Serikali itamaliza changamoto nyingine

100..jpg
101..jpg
101..jpg
103..jpg
104..jpg
 
Kigoma tar 17/07/2017

Ndg:Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka Mapema ya leo ametembelea Kituo cha Afya katika kijiji cha Nguruka wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma.Akiwa Zahanati hapo Amekagua ujenzi wa wodi mpya na kukagua wodi mbalimbali za zahanati hiyo,kugawa zawadi kwa wagonjwa kisha akawahakikishia wahudumu wa zahanati Serikali itamaliza changamoto nyingineView attachment 544580 View attachment 544581 View attachment 544581 View attachment 544582 View attachment 544583
Kumbe ndiye huyu!
 
e

Endeleeni tu kujirusha uwanja wenu subirini tuanze najua mtatulinda kwa kutumia washawasha na whilspaner zile mlizomgonga nazo LIPUMBER na zile jibwa coco zenyu:rolleyes:
 
Kigoma tar 17/07/2017

Ndg:Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka Mapema ya leo ametembelea Kituo cha Afya katika kijiji cha Nguruka wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma.

Akiwa Zahanati hapo Amekagua ujenzi wa wodi mpya na kukagua wodi mbalimbali za zahanati hiyo,kugawa zawadi kwa wagonjwa kisha akawahakikishia wahudumu wa zahanati Serikali itamaliza changamoto nyingine

View attachment 544580 View attachment 544581 View attachment 544581 View attachment 544582 View attachment 544583
Hivi huyu si ndio tuliambiwa kaolewa Mombasa?
 
Wanatufanya sisi wajinga nazawadi zao za kitoto toto yote hayo hili wapige picha ilituone mnafanya mneleta utani kwenye maisha ya watu
 
Nchi imejaa ujinga sana hii! Wengine wanazuiwa kufanya shughuli za chama wengine wanaruhusiwa.. Halafu tunaambiwa kila siku tuwe na umoja...unafiki huu hata shetani anaushangaa.
Zaidi ya yote Serikali hii imelipasua Taifa hili la maarufu afrika.
 
ACHENI SHOBO PUMBAVU NYIE. CCM INAFANYA KAZI KUBWA KATIKA NCHI HII. UVCCM KAMA MOJA YA JUMUIYA IMARA NA MUHIMU NDANI TA CHAMA NA TANZANIA INAFANYA KAZI KUBWA.
 
Povu la nini? Kwani nani amesema hawafanyi kazi? Na nani amesema uvccm ni jumuiya dhaifu?
Tuache hayo.... Hivi ndio shaka aliolewa kenya?
 
Nchi imejaa ujinga sana hii! Wengine wanazuiwa kufanya shughuli za chama wengine wanaruhusiwa.. Halafu tunaambiwa kila siku tuwe na umoja...unafiki huu hata shetani anaushangaa.
Zaidi ya yote Serikali hii imelipasua Taifa hili la maarufu afrika.

Sindio nashangaa. Wengine wamewekwa 48hrs ndani ijumaa tu kwakufanya mikutano ya ndani. Sasa hawa wanaandamana kabisa kweupe lakini hakuna wa kuwagusa. Kweli wengine ni watoto wa kambo hapa nchini
 
Povu la nini? Kwani nani amesema hawafanyi kazi? Na nani amesema uvccm ni jumuiya dhaifu?
Tuache hayo.... Hivi ndio shaka aliolewa kenya?

UKITAKA KUJUA HILO KAMPE MKUNDU WAKO, NDIO UTATHIBITISHA:D:D:D
 
Back
Top Bottom