Recent content by Kassimu Mchuchuri

  1. Kassimu Mchuchuri

    SoC03 Ulinzi wa Bima kwa mtu wa tatu

    Elimu nzuri sana , nimejifunza mambo mapya kutoka kwako. Ahsante sana ndugu
  2. Kassimu Mchuchuri

    Changamoto za Ajira Portal

    Kwa mfano Ajira portal wametaja Bachelor degree in Biomedical Engineering lakini mimi nina Bachelor degree in biomedical and Electrical Engineering, je hapa system ya ajira itaweza kunikubalia? Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
  3. Kassimu Mchuchuri

    Kufuta vyeti vya degree ili kibaki cha diploma

    Hatakuja kukwama kwenye National ID maana laizma aweke Namba Ya kitambulisho cha Taifa.
  4. Kassimu Mchuchuri

    Je, ni kweli mshahara wa Mwezi April, 2020 umeshatoka?

    Tayari wahi tumia NM* Mobile zingatia kunawa mikono epuka mikusanyiko Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Kassimu Mchuchuri

    Msaada: Kati ya Bachelor Degree in Dental Surgery na Bachelor in Doctor Of Medicine ipi ipo sokoni zaidi

    Kati ya Bachelor Degree in Dental surgery na Doctor of medicine ipi kwa nyakati hizi inalipa sana na haisumbui katika upatiakanaji wa ajira. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kassimu Mchuchuri

    Msaada kwa wataalamu wa mitandao.

    Tuanze, Hiyo Music ni Audio Au video? App ya Google Drive Haina uwezo wa kuifadhi Audio But Video inawezekana.
  7. Kassimu Mchuchuri

    Naomba ushauri kuhusu mustakabali wa Elimu ya Mdogo wangu

    Kaka jina umebadilishajee JF? Nipe elimu kidogo
  8. Kassimu Mchuchuri

    Vijana Wengi Wanakosa Vitu Hivi Viwili.

    Unapopewa kazi na mtu mara kwa mara, siyo kwamba wewe ni mfanyaji kazi mzuri /gharama zako nafuu kuliko wengine, ila yawezekana umejenga uaminifu mkubwa katika kutimiza kazi zako. UAMINIFU & UTU ni vitu muhimu katika kazi yako. Nimejifunza wengi wanakosa hivyo vitu viwili.
  9. Kassimu Mchuchuri

    Kwa Vijana Wote Wanao Graduate Msimu Huu

    Pongezi kwa vijana wa kike na Kiume wanao graduate msimu huu, hongereni sana , lakini niwaambie mjiandae pia kisaikolojia baada ya Sherehe kwisha Mtaani pagumu ndugu zanguni. Only ubunifu Ndio utawabakiza mjini mkiwa na tabasamu zetu, Ajira zimekua kama kaka kuona .Kila la kheri
  10. Kassimu Mchuchuri

    Maisha ya mtaa yamenifunza mengi

    Maisha ya mtaa yamenifundusha mengi zaidi ya chumba cha darasa kinachozalisha wanataaluma. Shukrani ziende kwa wanangu wote kitaa[emoji1363][emoji1363][emoji109]
  11. Kassimu Mchuchuri

    Vipo vitu vingi vya kufanya

    Vipo vitu vingi vya kufanya, usipende kupoteza muda wako kwa kufanya kitu ambacho uwezi. Fanya kile unachoweza na ambacho unahisi kitakupa matokeo chanya.
Back
Top Bottom