Vijana Wengi Wanakosa Vitu Hivi Viwili.

Vijana Wengi Wanakosa Vitu Hivi Viwili.

Joined
Aug 9, 2018
Posts
95
Reaction score
294
Unapopewa kazi na mtu mara kwa mara, siyo kwamba wewe ni mfanyaji kazi mzuri /gharama zako nafuu kuliko wengine, ila yawezekana umejenga uaminifu mkubwa katika kutimiza kazi zako. UAMINIFU & UTU ni vitu muhimu katika kazi yako. Nimejifunza wengi wanakosa hivyo vitu viwili.
 
VIJANA TUJIFUNZE KUPITIA HAPA
 
Uaminifu na Utu pekee hitoshi kama kazi unayopewa hujui utaifanyaje...

Cc: mahondaw
Ajui ataifanyaje na amepewaje ukiona amepewa ina maana anakidhi vigezo vya kupewa ana uwezo na anastahili ivyo km mkuu alivyo sema uaminifu ni silaa ya vita vya maisha.
 
Back
Top Bottom