Naomba ushauri kuhusu mustakabali wa Elimu ya Mdogo wangu

Aug 9, 2018
95
293
Habari wanaJF,

Nina mdogo wangu anataka kuomba Bachelor degree mwaka huu wa masomo 2019/2020.

Malengo yake baada ya kuhitimu shahada yake sio kuajiriwa ni ajiajiri je?

Kati ya Bachelor in Information Technology na Bachelor in Marketing ipi inauwanja mpana katika kujiajiri hapa Bongo?

Asanteni
 
Aha kumbe mwafahamiana basi endeleeni kukumbushiana sisi tutapita tena hapa baadae
 
Back
Top Bottom