Kufuta vyeti vya degree ili kibaki cha diploma

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Wakuu,

Mdogo wangu mmoja ananiuliza, kuna kazi za TRA zimetangazwa ajira portal.

Anataka aombe lakini ameshindwa, system inamkatalia sababu yeye ana degree ya accountacy.

Lakini pia alisoma diploma ya accountancy.

Kazi iliyotangazwa inataka kigezo kiwe diploma ya accountancy, lakini sababu yeye ameweka vyeti vya diploma na degree ya uhasibu anaonekana ame-over qualify

Je, kuna uwezekano wa kufuta cha degree kwenye system kibaki cha diploma?

Maana sio fair, watu wana vigezo lakini wanaonekana over qualify.

Wataalamu karibuni.
 
Inawezekana inatakiwa aingie kwenye system halafu aende kwenye academic qualifications afute hizo data za degree.
 
Inawezekana inatakiwa aingie kwenye system halafu aende kwenye academic qualifications afute hizo data za degree.

Sent using Jamii Forums mobile app
inagoma mkuui yani nimehangaika academic qualification haiwe futa labda msaada wa muongozo màana tatizo la over qualify ni kubwa kunaajiria mpaka za certificate tu
 
kwa mabadiliko ya system ya ajira portal kwa sasa haitawezekana, hizo details zake zimesharekodiwa kwa level ya degree hata akifuta system itajua na haitamruhusu aapply hiyo nafasi na kibaya zaidi tayari kuna utambulisho wa National ID

Binafsi siyakubali kabisa haya mabadiliko yao ni ya kipuuzi
 
Wakuu,

Mdogo wangu mmoja ananiuliza, kuna kazi za TRA zimetangazwa ajira portal.

Anataka aombe lakini ameshindwa, system inamkatalia sababu yeye ana degree ya accountacy.

Lakini pia alisoma diploma ya accountancy.

Kazi iliyotangazwa inataka kigezo kiwe diploma ya accountancy, lakini sababu yeye ameweka vyeti vya diploma na degree ya uhasibu anaonekana ame-over qualify

Je, kuna uwezekano wa kufuta cha degree kwenye system kibaki cha diploma?

Maana sio fair, watu wana vigezo lakini wanaonekana over qualify.

Wataalamu karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajiraportal wanalimit vitu vingi sana, kwenye academic qualifications unaruhusiwa kuongeza tu, kupunguza haiwezekan,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom