Msaada: Kati ya Bachelor Degree in Dental Surgery na Bachelor in Doctor Of Medicine ipi ipo sokoni zaidi

Umewahi kusoma maandishi ya Nyerere kuhusu Elimu!?
Soma uje uwatumikie Watanzania,vyote hivyo ni wito ,ndani ya wito na huduma utalipwa!

Kama unatafuta kinacholipa sio kwenye Udaktari! Nenda kafanye uchuuzi wa kitu chochote kitakachokuja mbele yako ...inalipa!

Au jiongezee komaa na kusoma Udaktari huohuo then uje mtaani ufanye uchuuzi kwenye Elimu yako!
 
Mtoto wa jirani yangu alipata DDS kwa kupitia skolasrhsip ya jeshi la marekani, hivyo akatakiwa kulitumia jeshi la Marekani kwa miaka kadhaa nadhani sita au nane hivi kama dakatri wa meno. Alipomaliza mkataba wake na jeshi akarudi nyumbani akafungua bishara ya kutibu meno, sasa hivi anatengeneza pesa kama kufuru.
 
Back
Top Bottom