Kassimu Mchuchuri
Member
- Aug 9, 2018
- 95
- 294
Vipo vitu vingi vya kufanya, usipende kupoteza muda wako kwa kufanya kitu ambacho uwezi. Fanya kile unachoweza na ambacho unahisi kitakupa matokeo chanya.
au sio ?Kama mimi nilivyoachana na forex katika level ya demo tu.
Nimepiga demo na live cent nusu mwaka no progress ***** zake.au sio ?
Fx is not for everyone wanasema wenyewe.Kama mimi nilivyoachana na forex katika level ya demo tu.