hey Jf members!
Kutukana sio uelewa mweleweshe aelewe!
kwenye jamii wapo wa2 walio nafikra za namna hiyo! Zingatia elimu na ndio maana ikawepo jamii forum! Wakati mwingine tuache hisia za bungeni! Hasa hili letu la tanzania!
jamani huu ni uhujumu uchumi kwa kiasi kikubwa haiwezekani serikali iseme watanzania tulipe kodi kuendeleza taifa letu kisha hawa wenye kushika au kumiliki haya makampuni kutolipa kodi kabisa nasema hivi kwa sababu wao kupandisha bei ya vocha ni wizi maana hizi 100tsh tunazotozwa zinatozwa kodi...
kwanza kabisa hakikisha hdd yako inayoweka ni jumper yake ipo kwenye sehemu ya slave au ikiwezekana itoe kabisa ndipo uiweke na pia uhakikishe kuwa data cable zote na power ya kwenye hdd imeikonect kama ile iliyo kama master pia hakikisha hiyo iliyo na os jumper yake ipo kwenye master.
wewe ndio unakosea na inaonekana wewe hujikamilisha kisha kumwekea ahadi ya kuru tena ili hali unampa mgongo na hii inakuwa yeye amekuandaa ukufika juu kisha unasahau wajibu wako kumfikisha yeye matokeo yake unajifanya kuwa upo kwenye hedhi ni uongo jaribu kutawala uwanja na hali ikiwa hivyo...
uelewa mdogo wa sisi wabongo hasa kama umekuwa maarufu ktk nchi yetu bila kuvunja mayai kwa kukuuliza kama 'unajua' amesoma kama 'u know'
Na siye yeye mwenyewe na baadhi ya maprofessor wetu unamuuliza swali ambalo ni jepesi hujifanya kutoa vipengele vingi vinavyohusiana na swali ulilomuuliza...
kweli anastahili adhabu tena kubwa sana ikiwa ni pamoja na kumuomba mheshimiwa JK samahani na watanzania kwa ujumla ikiwezakana ikiwa ni pamoja na kifungo atobolewe na macho kabisa.hata kama ni mtoto wa kigogo tena hao ndio wanaharibu baadhi ya viongozi waadilifu ktk nchi kwa chuki za wazazi wao...
asante mkubwa kwa ushauri huo vip hizi degree shirikishi vip kwa sisi tz zinakubalika katika sehem za kazi?
asante sana kwa kwa hivyo vyuo naomba nishauri kwa hili la degree shirikishi.
nimejaribu kuformat vista ili nilinirudie kuinstall fresh maana mwanzo ilikuwa kwa lugha ya kichina nilifanikiwa kiasi fulani mpaka kwnye kuweka key lakini inakuwa inajirestart kila inapoanza tatizo ambalo awali halikuwepo kabisa sasa nifanyeje maana mimi nilifanya hivyo ili kubadili lugha...
kinachota elimu ya vitendo zaid na vyeti vyake vinakubalika zaidi katika fani ya IT kwa ujumla kiwe cha mtaala wa nje ama ndani lakini kiniwezeshe kufanya kazi popote duniani bila mizengwe
nataka kuwa real profesional in IT katika recornized college/unv/institute katika level ya degree niweze kujiajiri hata kuwa na kampuni kwa sasa niko kwenye hii field ingawa sijaridhika na ninachokifanya ni mwajiriwa sijapata challenge ambazo zinanitisha ila nataka niwe na kitu baada ya kazi...
thanks mkubwa cd ni kweli ni ya kukopi lakini mara ya kwanza ilikubali vip ikatae mara ya pili.
kubadili settings za BIOS nilifanya bado ikataa kuanza kwenye cd
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.