Nimridhisheje?

jamani mi naona sifikiriwi hapa! nyani ngabu unanishauri ninyonye 'koni' ndiyo nini hiyo mzee?
swala kubwa mume huyu ni kutoka kwa makabila yale ya' amri amri' kule kuzunguka ziwa maarufu hapa kwetu Tz, kitu ambacho nafikiria kinachangia na kutonijali mimi kwamba nahitaji kuridhishwa pia.
Kufanya mambo ya chumbani ni kama chakula hakuna lingine analowaza, hajali nimechoka wala niko kwenye hedhi.. angekuwa basi ananirusha roho kwa kachumbari nisingenungunika. Kwa upande wangu hata hayo niliyofundishwa kwenye kichen-party nashindwa kupractise kwake, kwani inapofika muda narukiwa kama mzoga. Akisha mwagilia na siku ndiyo imetoka hiyo.
Wakati mwingine natamani nimuulize kama alipobarehe alifundishwa jinsi ya kumridhisha mwanamke, ila naogopa kufanya hivyo.

wala usiogope wewe muuulizie tu. Yaani wewe unaogopa kumuuliza mumeo swali kama hilo? Kwenye mapenzi kunatakiwa kila mtu awe muwazi kwa mwenzie, hapo ndio itakuwa rahisi kila mmoja kumfahamu mwenzio vizuri.
 
NN, Umesema kweli tupu ndoa zinataka uvumilivu wa hali ya juu. Na hata mnapogambana na kuanza kurushiana maneno inabidi uwe muangalifu mno katika kuchagua maneno yako au unaweza kuleta kasoro kubwa sana ndani ya ndoa yenu kutokana na maneno hayo ambayo itadumu kwa miaka mingi.

Hebu fikiria Bubu, wewe na mwenzako mnagombana mnaanza kuapandishiana halafu in the heat of the argument unamwita mwenzako "ugly"....I'm telling you she'll remember that for as long as she can halafu hataacha kujiuliza kama ni mbaya kwa nini ulimuoa....
 
...:D mimi akiniuliza swali hilo namuwekea wimbo huu wa 70's wa Dr Hook;

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=q7YmqBaH2jk"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]

ARTIST: Dr. Hook
TITLE: When You're In Love with a Beautiful Woman
Lyrics and Chords

When you're in love with a beautiful woman
It's hard
When you're in love with a beautiful woman
You know it's hard
It's hard, you know it gets so hard
Everybody wants her, everybody loves her
Everybody wants to take your baby home

When you're in love with a beautiful woman
You watch your friends
Watch your friends, you gotta watch your friends
When you're in love with a beautiful woman
It never ends
It never ends, you know it never ends
You know that it's crazy, you want to trust her
Then somebody hangs up when you answer the phone...
 
jamani labda mtanisaidia, nifanyeje nimridhishe huyu mwanaume??? sasa kwangu kawa kama guberi haridhiki na mambo ninayompa chumbani japo hajishughulishi hata kuniandaa. na mbaya zaidi mume wangu huyu hata kama nikiwa kwenye 'siku zangu' anataka kuingia, jambo ambalo kikwetu ni mwiko. ukimkatalia anakutishia kutoka nje ya ndoa. .. jamani hii mwenzenu mbona imekuwa taabu tupu.

Kama haridhiki na anakutamkia hivyo, nadhani ni mwanaume anayekufaa sana. Wengi wasioridhika wanaishia kuwa na nyumba ndogo! Jaribu tu kumfundisha vile unavyotaka akufanyie na kamwe usichoke kumhudumia!
 
...mwenzenu anaumia, amridhishe vipi? mbona mnampiga dana dana tu :)
 
Hebu fikiria Bubu, wewe na mwenzako mnagombana mnaanza kuapandishiana halafu in the heat of the argument unamwita mwenzako "ugly"....I'm telling you she'll remember that for as long as she can halafu hataacha kujiuliza kama ni mbaya kwa nini ulimuoa....

Naam, ndiyo maana inabidi kuwa very careful au maneno machache yanaweza kutia dosari kubwa kwenye ndoa yenu na hata kuivunja. Kwa mfano kauli hii, "Bora ningewasikiliza wazazi na ndugu zangu ambao walikataa kata kata nisikuoe, sasa ninajuta kwa kutowasikiliza." Dung!!!! there goes the marriage!!!
 
mbadilishie mtandao tuu ataacha kukubeep, mtandao mzuri wenye network nzuri na inayoaminika na wengi mujini ni "Tigo".mpatie huo atapoa tu na hata ukiwa kwenye siku zako apana shaka mtandao wa tigo ndio wenyewe.Kitu kitamu unakula na mpenzio.

dont do tigo...please
 
Mh pole sana dada omugasi yaani hata sijui nianzie wapi ila mengi nadhani umeshaambiwa na kujuzwa. Umesema mumeo anatoka kule kwa kina chacha mwita maranya au nimekosea? Swali langu je na wewe ni wa huko huko? kama ndio naomba kujua yafuatayo
1. Ndoa yenu ikoje? (Umerithiwa au mlichaguana wenyewe?)
2. Wewe ni mke wa ngapi wa shemeji? (uko mitala?)
3. Umri wenu mmepishana miaka mingapi? (Maana unasema kuna vitu unaogopa kumwuliza)
4. Mlipoanza mapenzi enzi za uchumba alikuwaje?
5. Una udhaifu wowote kwake? ulushawahi kumkosea kitu kikubwa au anajua kuwa unampenda sana ndo mana anakushurutisha akijua huwezi pangua!!
 
Mi nakushauri mpe angalau TG uone kama hajaridhika. Siku moja unajifanya hujui unapeleka kwenye mlango wa dharula yawezekana anautumia anashindwa kukwambia.
 
wewe ndio unakosea na inaonekana wewe hujikamilisha kisha kumwekea ahadi ya kuru tena ili hali unampa mgongo na hii inakuwa yeye amekuandaa ukufika juu kisha unasahau wajibu wako kumfikisha yeye matokeo yake unajifanya kuwa upo kwenye hedhi ni uongo jaribu kutawala uwanja na hali ikiwa hivyo usiwe unang'ang'ana kukomalia ufike juu mara nyingi katika siku moja jitahidi kuserve kwa ajili ya kesho tena.ni hayo tuu.
 
kweli wanawake tuna uvumilivu wa kutosha, hata kama mkeo hakuridhishi au wewe mwenyewe huridhiki si ishu ya kuongelea tu, kama unaona hakuridhishi mwambie plz tufanye hivi na vile, umsaidie/msaidiane sio kutishiana kwenda nje, khaa huko nje ndio ataridhishwa wakati yeye mwenyewe "one touch"...anatafuta kicngizio tu huyo....mnatukatisha tamaa sana!
 
k kama unaona hakuridhishi mwambie plz tufanye hivi na vile, umsaidie/msaidiane sio kutishiana kwenda nje,

Ndo maana mimi wewe Nyamayao iwa nakupenda sana.
Ndo maana mimi nimemwambia ajaribu kujiexpress naona utakuwa ndo ugonjwa wa mzee labda anaogopa tu kumwambia si amwonjeshe tu alafu askilizie.
 
Ndo maana mimi wewe Nyamayao iwa nakupenda sana.
Ndo maana mimi nimemwambia ajaribu kujiexpress naona utakuwa ndo ugonjwa wa mzee labda anaogopa tu kumwambia si amwonjeshe tu alafu askilizie.

Fidel utakuwa unaliongeleaga hilo suala tu lakini cdhani kama ulishawahi hata kuliongelea /kumdokeza wifi.
 
jamani labda mtanisaidia, nifanyeje nimridhishe huyu mwanaume??? sasa kwangu kawa kama guberi haridhiki na mambo ninayompa chumbani japo hajishughulishi hata kuniandaa. na mbaya zaidi mume wangu huyu hata kama nikiwa kwenye 'siku zangu' anataka kuingia, jambo ambalo kikwetu ni mwiko. ukimkatalia anakutishia kutoka nje ya ndoa. .. jamani hii mwenzenu mbona imekuwa taabu tupu.

Mhh!! Inamaana huwa anataka kila siku??
 
Mi nafikiri ofisi yako bibie iko vizuri, ndo maana jamaa anataka ashinde humo ndani. Nafikiri siku chache kabla ya siku zako inabidi round ziongezwe hadi 5 ili ukamue kila kitu abakiwe na povu tu. Kwa mtindo huo ataweza kuvumilia kwa siku angalau mbili tatu. Ila ni jambo la kushukuru Mungu kwani wanzako wanalalamika kuwa wanakata hata wiki mbili hawajaguswa.

Anza mazoezi kuhimili mbio ndefu.

Kwani mumeo ni mtu wa musoma??????
 
Back
Top Bottom