Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

attachment.php
 
Mh. Mdee ndoa yako na mh.Yule wa arumeru ni lini? Tunaisubiri kwa hamu. Halafu dr. Slaa ndoa na mchumba wako bado, maana tunataka tutakapokukabidhi nchi ya kaskazini mwaka 2015 uwe umeoa sio utangetange barabarani. Naomba mwenyewe majibu ajibu Kama hakuna basi wajibu wenyewe watakapoingia humu jf. Viva cdm


Mwingine huyu, kakurupuka kutoka kwenye shimo lenye kinyesi, bila kuoga, kaenda ukumbini kwenye harusi.
 
Ilionyesha wakati wenzake wapo bungeni yeye yupo ktk ulevi na mademu,leo kakurupuka anakuja kuchangia jambo ambalo tayari limeisha tolewa ufafanuzi. Ametia aibu sana!
Wahenga walishaga sema kitambo, Ukiwa mjinga kaa kimya ili watu wadhani kuwa wewe nimjinga kuliko kuongea na watu wakathibitisha kuwa wewe kweli ni mjinga. Sasa Ngereja anona alivyoumbuka
 
hey Jf members!
Kutukana sio uelewa mweleweshe aelewe!
kwenye jamii wapo wa2 walio nafikra za namna hiyo! Zingatia elimu na ndio maana ikawepo jamii forum! Wakati mwingine tuache hisia za bungeni! Hasa hili letu la tanzania!
 
Ngeleja ni Mtu mwenye "kiherehere" nilimwelewa hivyo tangu alivyokurupuka na kugombana na mlinzi wa ATM. Atunze na kutengeneza ajira kutoka kwa mabilioni aliyopiga asije akampa Rostam amwekee atamliza bureee maana ameshampa nyingi katika harakati za siasa
 
Kuachwa!kuachwa!kuachwa!kubaya x 3.
Wewe unakonda,
mwenzio ananenepa!
Khalid cholaa aliimba bwana.
Machungu ya kuachwa yote hayo.uwaziri mnono kumbukeni omary nundu alitaka mpaka kulia!

Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah tz naipenda mpaka kufa
 
Waheshimiwa JF members

Tuache kuuma maneno;

Ngeleja hana uchungu wowote na budget bali kinacho muuma ni M4C jimboni kwake maana vijana hawana huruma naye kabisa na si muda mrefu utamsikia akilalamikia hizi harakati
 
Mimi nawasoma tu hawa mafisadi tangu Paul Chizi, Mwigulu na huyu Ngeleja badala ya kujibu kisomi wanajibu kihuni. Mtu akisema bajeti ya harusi maana yake nini? uhuni mtupu
 
Mh. Mdee ndoa yako na mh.Yule wa arumeru ni lini? Tunaisubiri kwa hamu. Halafu dr. Slaa ndoa na mchumba wako bado, maana tunataka tutakapokukabidhi nchi ya kaskazini mwaka 2015 uwe umeoa sio utangetange barabarani. Naomba mwenyewe majibu ajibu Kama hakuna basi wajibu wenyewe watakapoingia humu jf. Viva cdm

huna taarifa wewe si ndo mwenyekiti wa
kamati ya maandalizi,pilipili usiyoila ina kuwashia nini kuna kati ya wahusika ameleta lalamiko,au sheria no ngapi?
 
watu wasio na aibu kama ngeleja ndio wanaleta laana katika hili taifa,he nds to get a life,kugaragara kwenye tope na kutafuta aliyemsukumia humu hakutamsaidia ki2
 
Waheshimiwa JF members

Tuache kuuma maneno;

Ngeleja hana uchungu wowote na budget bali kinacho muuma ni M4C jimboni kwake maana vijana hawana huruma naye kabisa na si muda mrefu utamsikia akilalamikia hizi harakati
Mkuu,huyo ubunge mwisho wake 2015.Hilo analijua fika,vijana tumejipanga vilivyo.


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Leo nilishangaa kumwona Ngeleja akiwa anachemka kwa hisia kali, yaani ungeweza kufikiri alikuwa amepagawa. Hizi hisia si za bure, ni lazima atakuwa ana uchungu wa kutemwa.
 
mh. Mdee ndoa yako na mh.yule wa arumeru ni lini? Tunaisubiri kwa hamu. Halafu dr. Slaa ndoa na mchumba wako bado, maana tunataka tutakapokukabidhi nchi ya kaskazini mwaka 2015 uwe umeoa sio utangetange barabarani. Naomba mwenyewe majibu ajibu kama hakuna basi wajibu wenyewe watakapoingia humu jf. Viva cdm
juu kwa juu nataka nikuoe jk ni dhaifu simtaki!
 
labda sengerema anakubalika lakini bungeni kwishneeeey,, mr,unanijua mimi standard chartered atm
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom