looking for college/unv/institution | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

looking for college/unv/institution

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kampton, Apr 8, 2009.

 1. K

  Kampton Member

  #1
  Apr 8, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nataka kuwa real profesional in IT katika recornized college/unv/institute katika level ya degree niweze kujiajiri hata kuwa na kampuni kwa sasa niko kwenye hii field ingawa sijaridhika na ninachokifanya ni mwajiriwa sijapata challenge ambazo zinanitisha ila nataka niwe na kitu baada ya kazi.
  cheti kiwe kinatambulika ikiwezekana world wide,practicle iwe more than 80%.kiwe hapa tz
   
 2. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  As far as i know chuo kama hiki unacho taka bado hakijagwa hapa tanzania....ila nachofahamu kuna course zainatolewa na baadhi ya vyuo kama learn IT,IIT,NewHorizon etc ambao wako wazuri kwenye practical na unaweza soma uku unafanya kazi....Ila sijui kama wana mtaala wa mpaka degree....achilia mbali zile degree shirikishi ambazo wanakuwa na vyuo vingine marekani na ulaya..so naona kama wewe unataka chuo chako na cheti unacho taka wewe....na kiwe na specification zako....
   
 3. K

  Kampton Member

  #3
  Apr 20, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante mkubwa kwa ushauri huo vip hizi degree shirikishi vip kwa sisi tz zinakubalika katika sehem za kazi?
  asante sana kwa kwa hivyo vyuo naomba nishauri kwa hili la degree shirikishi.
   
 4. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Tz...miaka mitatu iliyopita wakati namaliza zilikuwa zinagomewa serikalini...lakini kwenye private sector zilikuwa zinakubalia...kwa kuwa wao wanatafuta
  compitance anaye jua nin cha kufanya sio too academic.Kuna rafiki yangua aliapply DBA Administrator....wakamtosa wakampa wa IFM...na jamaa alikuwa na degree ya JV(Joint venture)

  Sijui kwa sasa kwama wamebadilika...siku mingi bongo...sipo.
   
  Last edited: Apr 20, 2009
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Mimi nadhani uweke mkazo kwenye Certifications zinazokubalika, e.g MCSE,MCSA etc. Certificate nzuri ya kuchukua inategemea uko kwenye sector gani ya IT.
   
Loading...