Mpango wa kwanza ilikuwa kumuwekea airport wakati anasafiri, mmoja kati ya vijana walioandaliwa akamtonya Mengi safari ikahahirishwa.
Mpango wa pili ni kumuwekea kwenye gari huyo mtoto wa Mengi, Mengi akajulishwa mpaka mpango utakapokamilikia ambapo ni Slipway. So mengi akaanda watu wake...
kanumba ushauri wa bure kwako, kama ni lazima uwasiliane na watu kwa kiingereza tena kikiwa kwenye maandishi, baada ya kuandika kwanini usiwape watu wanaojua vizuri hiyo lugha wakusaidie kukurekebishia kuliko hii aibu unayopata. Inakuwa tabu kama ni lazima kuongea hapo huna ujanja hakuna wa...
big up zitto, endelea kuwaburuza. sisi tunaofaidika ndio tunaokuelewa, wasiojua hawawezi kukuelewa milele. Big up. BY THE WAY MWANAKIJIJI nakuomba 2010 uingie mjengoni na wewe. ili mkasaidiane na zito kuwaburuza hawa wazee
wadau nisaidieni, nimeingia kwenye website ya tanzania commission of universities 'www.tcu.go.tz' ili kuona majina ya students selected in more than one institution 2009/10 sasa kwenye multiple selection line ambayo ipo kwenye format ya excel na pdf nime download haikubali kuanzia jana na leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.