UDSM Wametangaza Selection ya 2009-10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDSM Wametangaza Selection ya 2009-10

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kakalende, Jul 30, 2009.

 1. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Kwa wali mlioomba Mlimani, nendeni kwenye website ya chuo au fuata hii link hapa chini

  Undergraduate Selection
   
 2. Mwenda_Pole

  Mwenda_Pole JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tunashukuru mzee kwa hii updates, najaribu kujenga picha enzi hizo tulikuwa tunasubiri wakati huu kwa hamu sana na kisha kesho yake kununua magezi karibu yote kuchek jina lakini sasa tunawaangalia wadogo zetu tu.
   
 3. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Tunashukuru sana kwa updates. Sasa je unaweza kutusaidia ili angalau tupate selection ya Dodoma University?

  Tutashukuru sana hasa wale wa single admission wameonesha mtataoni lakini haifunguki
   
 4. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2009
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
 5. K

  Kamilah Member

  #5
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona hamna majina ya waliokuwa selected
   
 6. K

  Kamilah Member

  #6
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau nisaidieni, nimeingia kwenye website ya tanzania commission of universities 'www.tcu.go.tz' ili kuona majina ya students selected in more than one institution 2009/10 sasa kwenye multiple selection line ambayo ipo kwenye format ya excel na pdf nime download haikubali kuanzia jana na leo mpaka sasa sijafanikiwa. kama kuna mtu amedownload anisaidie
   
 7. f

  fmhema Member

  #7
  Aug 1, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ADMISSION UDOM 2009/10

  Najaribu kutafuta admission ya chuo kikuu cha DODOMA lakini mtandao wao haufunguki. Naomba msaada wenu.
   
 8. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  File ni kubwa (about 12MB). Nadhani kuna watu wengi wanajaribu ku-download toka kwenye website yao. Speed toka kwenye server iliko website yao nayo itakuwa mgogoro.

  Jaribu mapema asubuhi au jioni sana ukiweza
   
 9. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Jaribu link ya PDF, file size yake ni 3.57MB ni rahisi zaidi.
   
Loading...