TRA waanza kuita: Ass/Accountant post

TRA waanza kuita: Ass/Accountant post

:A S-fire1:
Me wadau nimepigiwa cm leo mida ya saa SITA mchana ila email walini2mia jana mchana. Kama kuna m2 mwenye taarifa ya paper zao jinsi zinavyokuwa a2julishe. Kingine idadi ya wanaohitajika, mwenye taarifa a2julishe maana kuna hbr mtaan kuwa zmetangazwa nafac 300 wengine wanadai 250 bac tabu 2pu.
:help:
 
Mm mwnyw leo nmepgiwa cm leo asubuhi wanaita kwny interview then wanatuma email ila mm email bado hawajani2mia,sku ya kuenda unaenda na hiyo barua utakayotumiwa kwa email. wana jf naomba maombi yenu maana kitaa nipagumu mno wa2 tumechoka balaa!

mkuu,mimi mwenyewe wamenipigia leo mchana na wameniambia hivyo hivyo kuwa watanitumia email na niiprint hyo barua ila hadi sasa naingia net sioni kitu,inakuaje sasa?
 
wakuu eeeh,mimi mwenyewe wamenipigia leo mchana na wameniambia hivyo hivyo kuwa watanitumia email na niiprint hyo barua ila hadi sasa naingia net sioni kitu,inakuaje sasa?,msaada tafadhali,shavu hiliiiiiiiiiii,niwatimbie siku ya intavyuu na simu yangu niwaonyeshe namba yao na muda walionipigia nini huku nikiwa namivyeti yangu?
 


[TD="align: center"] Re: Invitation to attend Employment Interview for the post of Assistant Accountant [/TD]



Please refer to your application for employment as an Assistant Accountant with Tanzania Revenue Authority (TRA).

We are pleased to inform you that you have been selected to attend written employment interview for the post of Assistant Accountant which will take place on Wednesday 11[SUP]th[/SUP] September, 2013 at PTA Karume Hall - Sabasaba grounds beginning at 0800 hours.

Please bring with you this invitation letter, Identification card, Original Certificates, Ball pen and a Calculator.

We hope you will respond positively towards this invitation.





[TD="align: center"] P.J Ntale For: COMMISSIONER GENERAL [/TD]
 
angalieni kwenye email zenu wameelezea vizuri kila kitu ni sabasaba PTA Karume hall saa 2 asubuh kwenda na calculator na peni, gpa wanaangalia kwenye vyeti so ni kwenda na transciprt
 
mkuu,mimi mwenyewe wamenipigia leo mchana na wameniambia hivyo hivyo kuwa watanitumia email na niiprint hyo barua ila hadi sasa naingia net sioni kitu,inakuaje sasa?
be patient utatumiwa hawana longolongo hao
 
thanx God! ww ndio kimbilio langu lililobaki. kuitwa nako ni bahati mojawapo cjui huko mbele itakuwaje! sema Mungu ndo mpangaji wa yote.
 
Hongereni......
Jitahidi kuwa na speed coz maswali yao ni mengi na mara nyingi ni saa moja tu uwe umemaliza.
Maswali waulizayo ni ya g/knowledge......msisahau kujua borders!!!!!!
Wish u all the best.
 
Usisahau calculator! sjajua upande wa hiyo post mm mwezi wa pl nilifanya interview ya assistant tax officer ilikuwa nyepesi sana tatizo pale kunakufahamiana sana.

Kufahamiana ndio tatizo kubwa katika taasisi hii,vijana wetu ambao hawana mkono watakwenda pale pamoja na kwamba wapo vizuri wataachwa,huruma sana aisee
 
Msaaada, hivi Hapo PTA KARUME HALL SABASABA unapanda magari gani ili kufika hapo. Location please
 
Back
Top Bottom