Faida na Hasara za Uwakala wa MaxMalipo na ButtonPay

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
Habari za asubuhi waungwana,

Katika kupambana na adui umaskini, nafikiria kuwa wakala wa MAXMALIPO au BUTTONPAY.

Ni faida/hasara gani naweza kupata nikiwa wakala wa moja kati ya Kampuni hizo???

Natanguliza shukrani
 
Sijatumia max malipo or hiyo nyingine kwangu natumia selcom mtaji ni laki 5
Faida yake unaipata papo kwa papo mfano..
Unapouza luku unapata faida ya asilimia 3 kila ufanyapo muamala so ukiuza umeme wa 10000 kwenye balance yako yani float itaongezeka kwa asilimia tatu yani mia 3 kwa hiyo ukiuza umeme wa 100000 unapata 3000 na inaenda hvyo...kwa commision luku ndio ina aslimia kubwa na huduma nyingine zina asilmia chache zaidi mfano vocha ni 1.5 dstv 1 na nyinginezo....uzuri wa hii uwe sehemu kwenye mzunguko wa hela ambapo una hakika itaisha haraka na pia ni kivutio kizuri kama una biashara nyingine unafanya eneo hilo yani ni kama vocha na soda....
Conclusion.
Kwangu biashara ya vocha inalipa kuliko hizi machine ingawa ni vizuri ukawa unavyo vyote sambamba....

Nawasilisha ....
 
Nakushukuru ndugu yangu....
 
Mkuu, ukishanunua hyo mashine huwa unaenda tena vodacom, hewatel, tigo, tanesco, dstv n.k ili kuuza bidhaa zao au hawa selcom wanakuunganisha 1 kwa 1?
 
Habari za asubuhi waungwana,

Katika kupambana na adui umaskini, nafikiria kuwa wakala wa MAXMALIPO au BUTTONPAY.

Ni faida/hasara gani naweza kupata nikiwa wakala wa moja kati ya Kampuni hizo???

Natanguliza shukrani

Mimi nilifanya kwa kutumia mashine ya Selcom,kama alivyosema mdau hapo juu uitumie kama kivutio cha biashara nyingine na uwe sehem yenye mzunguko lasivyo faida yake utaona aibu hata kuiangalia,commission zao ni ndogo kiukweli,mi ilinishinda sahivi mashine ipo tu ndani.Hasara; Usipokuwa makini unaweza pata hasara sana tu,mfano ukikosea kuingiza namba ya simu wakati wa kurusha vocha ukamrushia mtu mwingine ndo imekula kwako.
 
Mkuu, ukishanunua hyo mashine huwa unaenda tena vodacom, hewatel, tigo, tanesco, dstv n.k ili kuuza bidhaa zao au hawa selcom wanakuunganisha 1 kwa 1?

Unapoipata machine inakua tayari connected na huduma zote so unaenda kwenye menu yake na kuelekezwa kila kitu just plug and play...mfano baada ya azam tv kuanza wakaingiza kwenye malipo ya selcom na maxmalipo so wao maxmalipo na selcom waka update database yao automatic na kwa wateja ikawepo.....
 
Asante santa dada charminglady kwa kuuleta huu uzi,

Lakini pia shukrani za dhati zimwendee Bwana stany mzalendo kwa majibu yake muruwa yaliyojitosheleza, ninataka kuanza biashara ya vyakula so hii itakuwa sapoti.

Asanteni pia wadau wengine aliochangia mawazo.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilifanya kwa kutumia mashine ya Selcom,kama alivyosema mdau hapo juu uitumie kama kivutio cha biashara nyingine na uwe sehem yenye mzunguko lasivyo faida yake utaona aibu hata kuiangalia,commission zao ni ndogo kiukweli,mi ilinishinda sahivi mashine ipo tu ndani.Hasara; Usipokuwa makini unaweza pata hasara sana tu,mfano ukikosea kuingiza namba ya simu wakati wa kurusha vocha ukamrushia mtu mwingine ndo imekula kwako.

Mkuu, hapo kwenye red vp namba akiingiza mteja mwenyewe ili akikosea ile kwake?
 
[/COLOR]

Mkuu kwa maelekezo ya awali niliyopata ni kuwa katika kuingiza namba either za luku ama vocha huwa unatakiwa kuconfirm kama wafanyavyo mawakala wa mpesa, tigopesa n.k.
Issue ya mteja kupewa printer or whatever kujiingizia namba sidhani kama itapendeza....

Hivyo unatakiwa tu kuwa makini... Kila biashara ina risk zake.....
 
kama ni luku atakuja na karatasi ya luku atakugea utaingiza mwenyewe kwa kuisoma, kama amekuja nayo kichwani bora aandike kwenye karatasi ili akikosea kuwe na ushahidi alikosea namba kama ni vocha kumrushia mtu ukishaingiza namba unairudia kuisoma na yeye akubali kama ni sahihi au lah ili kama amekosea iwe juu yake...kwa kifupi inabidi ujitahidi kuwa makini mnoo kama ilivyo mawakala tena zaidi ya mawakala maana kama ukikosea hamna kurudishiwa chochote....

but the best way ni kuandika ni vizuri ukawa na vikaratasi vya wateja kuandika mfano luku namba au sometime vocha ingawa hii si rahisi kuandika kila namba ya mteja..... umakini muhimu kwenye biashara yeyote
 
Mkuu kwa maelekezo ya awali niliyopata ni kuwa katika kuingiza namba either za luku ama vocha huwa unatakiwa kuconfirm kama wafanyavyo mawakala wa mpesa, tigopesa n.k.
Issue ya mteja kupewa printer or whatever kujiingizia namba sidhani kama itapendeza....

Hivyo unatakiwa tu kuwa makini... Kila biashara ina risk zake.....

Asante kwa majibu na maoni mazuri.
 
Sijatumia max malipo or hiyo nyingine kwangu natumia selcom mtaji ni laki 5
Faida yake unaipata papo kwa papo mfano..
Unapouza luku unapata faida ya asilimia 3 kila ufanyapo muamala so ukiuza umeme wa 10000 kwenye balance yako yani float itaongezeka kwa asilimia tatu yani mia 3 kwa hiyo ukiuza umeme wa 100000 unapata 3000 na inaenda hvyo...kwa commision luku ndio ina aslimia kubwa na huduma nyingine zina asilmia chache zaidi mfano vocha ni 1.5 dstv 1 na nyinginezo....uzuri wa hii uwe sehemu kwenye mzunguko wa hela ambapo una hakika itaisha haraka na pia ni kivutio kizuri kama una biashara nyingine unafanya eneo hilo yani ni kama vocha na soda....
Conclusion.
Kwangu biashara ya vocha inalipa kuliko hizi machine ingawa ni vizuri ukawa unavyo vyote sambamba....

Nawasilisha ....

Nimejifuza kitu
 
Back
Top Bottom