Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

Point yako nini hapa watu wanongelea Agness wewe unaleta habari za tindikali au unataka kusema Masogange yeye ndio muhusika wa tindikali?

Unajichetua fahamu??????

Tindikali ndo neno lililokustua akili katika maneno yote hayo???!!!!!!
Point yangu huwezi kuipata kama unachagua maneno ya kufanyia kazi katika sentesi ambayo composition yake imetumia maneno zaid ya moja!!!!!

Halikuwa bango la tangazo kulenga kila mpita njia!!!!!!
 
Wakubwa gani waumbuke live?mbona mnapenda kurukia tu kuna mkubwa gani anae ishi south africa au anae fanya kazi mahakama ya south africa?wabongo na kelele ndio mnazo zijua ndio mana hata haki zenu hamzijui mnabaki kulalamika tu

Hebu tulia wewe!!!!!!

So huko SA wanaishi na kufanya kazi mahakamani wote ni under age???!!!
Ukiwa na intention flan approach yako inatakiwa kuwa double pronged sio kuingia tu na kukanusha kila neno????!!!!!!!
Una skill ya dialogue au ni maneno tu kama khanga????!!!!

Humu kuna ustaarabu wa mijadala sio kubwata tu kila jambo unakurupuka na kuwa judgemental,learn how to pose your interests without annoyance
 
Sielewi mzigo huo, ambao kwanza ulithibitishwa kuwa dawa za kulevya, na wao kukamatwa na watu wenye ujuzi wa kutambua dawa za kulevya, kugeuka na kuwa si dawa za kulevya! Hilo ni swali ambalo wengi wetu tutakuwa tunajiuliza siku zote, na hata atakaporudi huku Tanzania, kila siku watu watakamuona, au jina lake kutajwa, wataendelea kujiuliza swali hilo. Jinamizi la kuhusishwa na madawa ya kulevya litamuandama siku zote, na si yeye tu, bali pia wote wale ambao walishirikiana naye ambao jamii imekuja kuwatambua. Wajue wazi kuwa hakuna kosa ambalo halina adhabu yake. Iko siku haki itatendeka.
Hoja nzuri. Au basi waishitaki Afrika Kusini au Mamalaka za uwanja wa Oliver Tambo kwa kuwadhalilisha wakiwa katika shughuli zao halali!

Wakubwa gani waumbuke live?mbona mnapenda kurukia tu kuna mkubwa gani anae ishi south africa au anae fanya kazi mahakama ya south africa?wabongo na kelele ndio mnazo zijua ndio mana hata haki zenu hamzijui mnabaki kulalamika tu

Mbona unataka kulia!?? wenye akili zetu tulijua ile safari ya dogo kutoka Bukoba moja kwa moja hadi South afu kazuga kupiga picha na mtindikali wa HSC inaenda kumaliza mchezo, Tusubiri tu kuambiwa wa South wamepewa nini kama hamjaskia kawahonga bandari ya DSM.. jiandaeni Kisaikolojia.
 
Wakuuu amekutwa na sampo za kutengenezea madawa si madawa yenyewe, sasa najiuliea zimebadilishwa au ???????????
 
sio siri inakatisha tamaaa kabisa, eeh kweli madawa ya kulevya mtandao mkubwa
 
we huyo melisa anakuambia walikutana na masogange kwenye ndege ndo akapewa huo mzigo huoni ni uongo wakati hao ni watu wanaoishi pamoja?
 
Yaleyalee.. Ukikutwa na mtambo wa kutengenezea gongo sijui inakuaje?

Kwa hizi sheria zilivyo za kijinga! Zinaweza kumwachia huru jambazi aliyekamatwa na SMG mkononi, simply because alikuwa hajaulia mtu bado! Nyambaf sheria! Mimi nikikuta kibaka kaiba sehemu, namalizana nae mwenyewe badala ya kuanza kumpeleka huko ujingani,
 
Tuna safari ndefu sana na hii vita ya madawa. Labda wachina waje ongoza Tanzania!
 
dah,.nimeishiwa nguvu...kweli haki mbinguni inshallah..inaumaaaa!
 
Mwakyembe hapa hakuna alichokosea yy anafanya kazi kwa mujib wa maadili yake ya kazi,hawa si wameachiwa huru wamekutwa na hatia ndo maana wamehukumiwa sasa ni adhabu gani hili nalo udhaifu wa seriakli ya SA.tuache kushadadia mambo ya kijinga
 
Nazani hapa Mwakyembe atakuwa amepata fundisho tabia za kukurupuka na kufukuza watumishi bila kufuata kanuni za utumishi itamgharimu
 
Hii part I bado tunasubiri sehemu nyingine ya story.
1. nani amelipa faini hiyo?
2. sawa siyo madawa ya kulevya, hivyo pale airport waliofukuzwa kazi kwa uzembe watarudishwa?
3. Je atashitakiwa hapa tanzania kwa kosa la kubeba madawa hatari bila kibali?
4. Je akirudi, atajilinda vipi na wanamtandao hao(maboss wake)
Hivyo sisi tunaendelea kusubilia sehemu, jambo kuu ni kwamba hamna siri duniani watajulikana tu, haijalishi tutawafunga au watatamba mitaani!!
SP
 
Sielewi mzigo huo, ambao kwanza ulithibitishwa kuwa dawa za kulevya, na wao kukamatwa na watu wenye ujuzi wa kutambua dawa za kulevya, kugeuka na kuwa si dawa za kulevya! Hilo ni swali ambalo wengi wetu tutakuwa tunajiuliza siku zote, na hata atakaporudi huku Tanzania, kila siku watu watakamuona, au jina lake kutajwa, wataendelea kujiuliza swali hilo. Jinamizi la kuhusishwa na madawa ya kulevya litamuandama siku zote, na si yeye tu, bali pia wote wale ambao walishirikiana naye ambao jamii imekuja kuwatambua. Wajue wazi kuwa hakuna kosa ambalo halina adhabu yake. Iko siku haki itatendeka.

ndo ushangae hapo,,,afrika inacheza wimbo mmoja kwenye mapambano dhidi ya hii biashara,Nzowa alishaenda kumaliza kazi
 
Mwakyembe ajui alitendalo,kamati ya kitaifa ishaundwa kuwapokea zikiwemo vyombo vya habari.
 
Kwa hiyo wale waliofukuzwa kwa jazba ya Mwakyembe ni lazima warudishwe kazini kwani mizigo walioruhusu kupita haikuwa na dawa za kulevya!!!
 
Back
Top Bottom