Profile ya Kanumba... kaiandika mwenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Profile ya Kanumba... kaiandika mwenyewe

Discussion in 'Entertainment' started by Ochu, Sep 22, 2009.

 1. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2009
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Steven Charles Kanumba is my name, i was born in a Christian family of 2 girls and i happen to be the last born and the only boy to Mr. & Mrs. Charles Meshark Kanumba.

  I was given birth on january 8th 1984. I originate from Shinyanga region in Tanzania. I am Sukuma by Tribe. I completed my Primary Education in Bugoyi Primary School in Shinyanga. After completing my primary education i started my secondary education right away in Mwadui Seminary Secondary School in shinyanga where by i shifted to Dar-es-salaam Christian Seminary Secondary school here in Dar-es-salaam when i was still in form II and complete my O-Level Education there. Thereafter i moved to Jitegemee Sec. School to complete my A. Level Education.
  Growing up, acting has always been something that i really liked to do. Apart from that i also liked singing and that made me grave to be an artist while i was still in teens, still in school ie. i started acting in church a lot of people told me i had a talent so i decided to join Kaole Sanaa Group which delt with Acting. After joining Kaole Sanaa Group i met different Teachers from Bagamoyo and other College who helped me to build up my career of Acting for a period of 1 year, after that i got a special Training from University of Dar es salaam Under Doctor Nyoni for about 3 months therefore i was sure to go to work and indulge myself in Soap Operas/Series. i then took acting as my career. Little by little i got to win peoples' attention which made me work even harder and become successful.

  After all the hard work that i kept in series i decided to play a part in movies so i took a step forward and associate myself in film industry. i happen to do a lot of movies that did very well in the market and i'm still doing movies up today and it just get better day by day. in addition to this i archieved a lot through my hard work that is prestigious awards, travel across different countries, working with people from different part of the world meeting different people and learn new things and experiencing different life.

  I also got to get to work with Nollywood in Nigeria where by i did more than five movies with famous actors from Nolllywood, it was the wonderfull experience. I also got a chance to Visit The United States of America and there is where i got the experience of a lifetime i got visit Hollywood, Warner Bros Pictures, Universal Studios and Disney Land, i learnt a lot i met people who work there so i got to ask alot of Quaestions and gained a lot of knowledge.


  Speaking about me as Steven Kanumba i'm a very down to earthguy i like hanging out with my friends and i like to associates myself with people, i love children with all my life, i'm just a simple guy, i'm not outgoing a lot, i love going to movies and just be chilled out and relaxed places. I'm not married for the time being but i am in a commitment in the name of God i hope that one day we will get married.


  I would like to end with my most sincerly appreciation, first and foremost i would like to thank God Almighty for giving and Blessing me a beautiful talent cause apart from acting being my Job, it also happen to be something i love doing and when i am at it i do it with passion.


  I would also like to thank my whole family but special appreciation goes to the most beautiful woman in the whole world that happened to be my mother (I Love you Mom) would also like to thank Game 1st Quality Tanzania Limited and again special thank to my brother, my executive Producer and my Advicer Mr. Mtitu G. Game and His Wife. I Would like to thank all the Artist, Producers and Directors i have worked with. Also my special Thanks to my sister Sharifa Kalala in USA and Sanura Hussein in Denmark. Most Importantly, i would lastly like to thank all my fans from different part of the world, thank you all very much for supporting me, I LOVE YOU all and God bless you.


  ................................
  Steven Kanumba.

  Biography hii ni kwamujibu wa tovuti ya www.kanumba.com
   
 2. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2009
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  tusitafutane wachawi kwenye mambo ya lugha...hii kaandika mwenyewe. literal translation from swahili to english.lol
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahahahahahahahahahahhhhhh
  ONE TO ONE TRANSLATION
   
 4. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  nimeipenda hii english ya kitanzania, imetulia mazee
   
 5. M

  Msindima JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hivi ilikua ni lazima aandike kwa kiingereza? au?
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  I said several times, to some of us, English is our fourth language!!! 1st being your two local venaculars (mom and dad), Kiswahili and English last!!! Sasa jamani tunachekana vipi??? Mbona some of East Asian Residents hawajui kabisa Kiingereza, na wako tayari kongea Lugha zao hata katika mikutano mikubwa na wanakuwa na wakalimali???

  Your command of any language depends on your first language teacher/instructor!! Sasa wale waalim wa Kiingereza walipata D ya English au walifeli wakapatiwa crush programme ya six months halafu wakatupwa darasani eti wafundishe watoto wetu. Think of the end results!!!

  Ila tu kwa Kanumba kwa kuwa ameshakuwa a star of some sort, anatakiwa ajitahidi kufanya english course na ataweza, japo ni ngumu kujifunza lugha ukubwani kuliko utotoni.

  I am happy of todays English Medium Schools, watoto wanajitahidi at least for a spoken fluent english na si bofoabofoa. Anyway, masuala ya kuelewa substances nyingine from these English medium schools sijapasemea hapa.
   
 7. K

  Kamilah Member

  #7
  Sep 22, 2009
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kanumba ushauri wa bure kwako, kama ni lazima uwasiliane na watu kwa kiingereza tena kikiwa kwenye maandishi, baada ya kuandika kwanini usiwape watu wanaojua vizuri hiyo lugha wakusaidie kukurekebishia kuliko hii aibu unayopata. Inakuwa tabu kama ni lazima kuongea hapo huna ujanja hakuna wa ku-edit but kwenye maandishi hakuna sababu ya wewe kuaibika. Na si lazima kwa kingereza ungeweza kuweka kwa kiswahili na bado ungekuwa star tu mkubwa. Wakina mtitu msaidieni
   
 8. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #8
  Sep 22, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Waswahili kwa kushikia bango kitu ni noma, jamani muacheni Kanumba wa watu atulie na atafakari mustakabali wa ustaa wake,mwisho mtafanya ashindwe hata kutoka nyumbani kwake kwa jinsi mnavyo muumbua humu kwenye mitandao...Mimi naungana na wale wate walio mshauri akajifunze zaidi hii lugha.
   
 9. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Haijalishi kama kaandika mwenyewe au ka expert ka lugha,kilichotokea hapo ni busara za bubu tuu!!!
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Sasa kwa kumsaidia si muedit kisha mm nimpeleke kule kwao TMK.
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nasikia aliandikiwa na Mh Kapteni John Komba!
   
 12. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  He he he he heh he heeee,
   
 13. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  This is too low kumjadili kanumba kwani kuna binadam alizaliwa anaongea kimombo alipotoka tumnoni mwa mamaye?Kanumba jifunze mwaya utakuwa champion wa kiinglish
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Sep 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Na wewe "one to one" translation ndio nini? Unamcheka mwenzako wakati na wewe uko hivyo hivyo!! Ujinga kitu kibaya sana.
   
 15. K

  Koba JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  kuwa na maendeleo au kuheshimiwa sio lazima kujua kiingereza,bora ya kanumba anajua anafanya nini,ushauri wa bure kwa kanumba kiingereza unachojua kinatosha sana na nina uhakika huwezi kupotea hata ukifika Airport maana unaonekana basic unayo na unaweza kuwasiliana na ukaeleweka na yeyote ambaye anajua kiingereza na wala usipoteze muda kuandika kiingereza wewe tumia kiswahili na ukitaka translation tafuta mtalaam wa kiingereza akufanyie kazi ili upanue masoko yako..nina uhakika wanaokucheka hawajui!
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Sep 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kwa mara ya kwanza umeongea pointi tupu! Sijui umekunywa nini leo.

  Halafu cha kushangaza ni kwamba Waingereza wenyewe wala hawatamcheka Kanumba kwa kuongea Kiingereza kilichopinda. Wanaomcheka ni Watanzania wenzake. Strange!!
   
 17. Z

  Zanaki JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2009
  Joined: Sep 1, 2006
  Messages: 544
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ...huyu jamaa mi nadhani anahitaji sifa kama kaandika hii mwenyewe, kwa sababu anatupa picha kamili ya yeye ni nani na katoka wapi. Angeweza sana kumpa hata huyo labda aliymtengenezea hio website, kuna uwezekano mkubwa kuwa ana kimanya kingereza kuliko Kanumba, au mtu mwingine yyote, but he chose to do it himself. Kudos, man...achana na wanaokubonda. African Americans wa ghetto wanaongea broken English ile mbaya na ni lugha yao ya kwanza...utasikia anakwambia ' we was, instead of we were...' and so forth
   
 18. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama wanamcheka. Watu wanasema kwa sababu Kanumba anakanusha kuwa hakuongea kiingereza kibovu. wanaosema, kwa kiasi kikubwa, naamini wanafanya hivyo kwa lengo la kumsaidia, lakini yeye mwenyewe hataki kukiri kuwa lugha hiyo haipandi. Ukiangalia alichokiandika kinathibitisha kuwa lugha haipandi, kwa nini anaendelea kubisha? Uungwana ni kukiri ili apate mwanya wa kujifunza zaidi... haya mambo kayakuza mwenyewe, ilikwua ni kukiri tu na kueleza wazi kwua kiingereza si lugha yake hivyo si ajabu kutoifahamu vema, siadhani kama kuna mtu angemcheka. Mbona tupo wengi hatujui kiingereza na hatuchekwi licha ya kukiri kuwa hatuijui lugha hiyo
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kujuwa lugha ni kitu kingine. si wote tunaojuwa lugha zote, lakini huyu mwenzetu ni mjinga sana, blog yake si angeandika kiswahili tu, kama na hicho kingemshinda angeandika japo kwa kisukuma. Mijitu mingine bwana, mifala kweli.
   
 20. F

  FOE Member

  #20
  Sep 22, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  You have said it all!!!!!!!!!!
   
Loading...