Recent content by kambale mweusi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mama aliyepewa fedha kwenye mkutano wa Rais Magufuli, Morogoro aelezea kiasi alichopewa na alichozifanyia

    Ada gani tena amelipa kwa watoto wakati kwa sasa Elimu ni bure?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Inside Considence: Utata juu ya kifo cha muigizaji Bruce Lee..

    Bruce Lee alikuwa mteja big time wa unga!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Scarface ni hatariiiiii
  4. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO tuambieni,Morogoro tangu saa mbili Leo asubuhi mpaka sasa saa tano na nusu hatuna umeme,ni shida?

    Tegeta umekatika sasa hv!!si waziri alisema hautakatika tena
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Joel Bendera, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, afariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili

    R. I. P baba Mkwe wangu kipenzi!!nitakukumbuka sana nashukuru kwa kunipatia mke mwema baba yangu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa ya kufa mtu Dodoma inaendelea

  7. K

    JamiiForums Tanzania Basi gani zikitoka Mwanza zinafika Dar bila kulala Morogoro?

    Best line chombo ya safari hiyo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mume anahitajika 36+

    Mi nko tayari nimekidhi vigezo vyote so nakupataje mama?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo barabara kuu hatarishi Tanzania

    Mombo hadi Lushoto acha kabisa hiyo barabara
  10. K

    JamiiForums Tanzania OFFER YA SAA NZURI -Maonesho ya syria Diamond Jublee

    Nataka curren 4411 ya silva mkanda wa chuma nitapata nijibu naw
  11. K

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa mume wa Irene Uwoya

    Lakini huyu si mke wa mtu?kwa hiyo jamaa kaoa mke wa mtu da!!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mohamed Hussein 'Mmachinga': Mbinu zinazotumiwa na Mayanga hazisaidii Taifa Stars.

    Mayanga hana chochote anatafuta cv tu kutokupoteza mechi imependeza zaidi kama angewaita angalau vijana sita ama Saba kutoka Serengeti boys then wapate uzoefu tutengeneze timu ya bdae ila kwa mwendo huu milele tutakuwa hapa hapa mfano hai waangalie cape Verde juzi tu hapa tulikuwa tunawaonea...
Back
Top Bottom