Duuu kafa sie bado hatujazaliwa, kumbe miaka mingiLee Jun-fan au Bruce Lee alizaliwa tarehe 27 November 1940 na kufariki tarehe 20 July 1973 mjini Hong Kong.
Kosa langu ni kukutag..
Dadaa pedi ishaanza kulowa damu badirisha nyingine
Da'Vinci ameonesha ukomavu mkubwa ambao si vema nikaupuuzia. I tried to tease him up there but amejibu kwa utulivu sana. Kumbe JF BILA MATUSI inawekana.i wish ngekuwa na muda nielezee kwa kina what happened kuhusiana na kifo cha bluce lee na baadaye brandon lee. Lakini nina majukumu ya kujenga taifa hapa natumia muda huu kipindi cha matangazo ....baada ya dk chache narud tena kwenye game mpaka mida ya wanga. Nitarudi nikimaliza kupiga show....
aisee,kumbe ile miaka yetu ya 90 wakati sinema zake ndo zinatamba huyu jamaa walishamzika tayari?
Inaonekana hata wadau wakubwa wa sinema wakati huo hii taarifa ilichelewa kuwafikia...maana siku zote niliamini bruce lee alifariki wakati nishazaliwa tena alifariki ama mwishoni mwa miaka ya 90 au mwanzoni mwa miaka ya 2000! 1973 hata dalili ya kuzaliwa sina duh...
Lufufu mbona alikuwa hatupi hizi update? kumbe wakati wetu ilikuwa tunamuenzi tu kwa kuangalia kazi zake!
kipindi movie kwenye mikanda sio cd,wala internet ni mpaka zipande meli[emoji3][emoji3][emoji3]aisee,kumbe ile miaka yetu ya 90 wakati sinema zake ndo zinatamba huyu jamaa walishamzika tayari?
Inaonekana hata wadau wakubwa wa sinema wakati huo hii taarifa ilichelewa kuwafikia...maana siku zote niliamini bruce lee alifariki wakati nishazaliwa tena alifariki ama mwishoni mwa miaka ya 90 au mwanzoni mwa miaka ya 2000! 1973 hata dalili ya kuzaliwa sina duh...
Lufufu mbona alikuwa hatupi hizi update? kumbe wakati wetu ilikuwa tunamuenzi tu kwa kuangalia kazi zake!
😀😀😀😀😀kipindi movie kwenye mikanda sio cd,wala internet ni mpaka zipande meli[emoji3][emoji3][emoji3]
VHS ,siku hz HD ,na movie za 3Dkipindi movie kwenye mikanda sio cd,wala internet ni mpaka zipande meli[emoji3][emoji3][emoji3]
Unazo ktk Quality gani? Km HD unisaidie na mm mkuuInasemekana kutokana na speed ya Bruce Lee ilibidi baadhi ya scene arudie ili camera ziweze kupata tukio! Hii ilitokana na technology kuwa chini. Pia Bruce kwa kupenda real challenge alikuwa anatafuta mabingwa wa mapigano ambao wangeweza kumpa challenge ya kweli ( si kuigiza tu) na alitafuta kila aliposikia kuna nchi ina wakali kisawasawa....imagine filamu za Bruce zimerekodiwa early 70s na late 60s lakini hadi leo huoni mpinzani kwa hawa wanaosaidiwa na technology. Mimi ninazo filamu zake zote na kila nikiboreka lazima niziangalie hadi my first born anazijua kama wimbo wa Taifa!
nlichogundua watz wengi km sio wote kbs,wameanza kumjua bruce kuanzia late 80s-90s,huku wakiwa hawajui kbs km huyo mtu alishafariki toka early 70s...maana historically miaka hiyo sidhani km watz waliokuwa wanamiliki tv na deki walizidi 5 (km na wenyewe walikuwepo)Bba yangu alikua hajategemewa kuzali mimi 🙂🙂