BAVICHA: Hatuwezi kumpongeza Magufuli kwa lolote. Kauli aliyoitoa Lowassa ni yake, sio yetu

Lowasa kabanwa kwenye vitega uchumi wake angefanyaje km c kujisalimisha na kupiga magoti ya msamaha? Ili aendelee kusainiwa safari za nje na posho za ustaafu kisiasa kafeli na hatawahi kuwa mgombea urais kupitia Chama chochote hapa duniani na kuzimu amekwisha atabaki stori mwacheni aende zake
 
Mzee mzima hawezi kuishi na kukaa na Chama chawatoto kalibu mzee ludi hata wapige kelele usijali kwani hatachula anapga kelele lakini tembo hupiga mkoga ndaniyamaji nakunjwa maji nakunya kalibu baba
 
Wapumbavu kabisa, Ishu ya Kibatala kuacha kumtetea Wema baada ya kuhama chama na Ishu ya Lowassa kwenda Ikulu imewavua nguo CDM. Wameonesha hawajakomaa kabisa kisiasa. Upinzani bado TZ



Moja ya ahadi iliyomfanya Wema arudi ugambani ni kufutiwa kesi yake ya matumizi ya dawa za kulevya,ulitaka Kibatala aendelee kusimamia kesi ambayo inatarajiwa kufutwa ili kutimiza ahadi za kumrejesha Wema ccm?
 
Moja ya ahadi iliyomfanya Wema arudi ugambani ni kufutiwa kesi yake ya matumizi ya dawa za kulevya,ulitaka Kibatala aendelee kusimamia kesi ambayo inatarajiwa kufutwa ili kutimiza ahadi za kumrejesha Wema ccm?
Si angesubiri Wema ndio amkache? Hiyo ingekuwa nzuri zaidi. Au angekaa kimya tu
 
Kwani Lowasa kasema hayo ni maoni ya BAVICHA?Hahahaaaa

Kwanza Lowasa ndio mmiliki wa CHADEMA
 
Kwani yeye alisemaje kuhusu kauli zake, ni msimamo wa chama au ni wake binafsi?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom